Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki...
22 Reactions
112 Replies
7K Views
Kwa sasa Mikutano anayofanya Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan pamoja na Wah. Mawaziri kwa ajili ya kutatua kero za Wananchi ndio yenye nguvu. Mikutano ya Chama ni...
0 Reactions
0 Replies
335 Views
Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili. Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika...
28 Reactions
121 Replies
11K Views
Mchungaji Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa "Mnatuona Nyani tu" amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila...
22 Reactions
454 Replies
39K Views
CCM ni watu wazima walioamua kubakia madarakani bila kujali lolote. Wanajua kuwa pumzi imekata, wamechoka na wamechokwa wala hawana jipya. Ripoti zote (za karibuni) za CAG zinao uthibitisho huo...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika mkutano wao leo alisikika kada mmoja akisema vyama vya upinzani ni wapiga kelele kama mbu wakati ana ongea pia baada ya kusema visima anasema vichimba ama kweli ccm makada wao ni mapapai na...
17 Reactions
66 Replies
5K Views
Singida ndio nyumbani Kwa Waziri wa Fedha na Waziri wa Mipango.na Uchumi Prof.Kitila Mkumbo lakini wanafurahia birthday ya miaka 60 ya Mkoa wao Kwa kukata Keki ilhali Mkoa Bado unaogoza Kwa...
5 Reactions
66 Replies
5K Views
Je, tamko la Rais ni sheria? Kama ni sheria au lazima litekelezwe? Ikitokea halijatekelezwa au kufanyika kama alivoagiza inakuwaje? Mimi ni mmoja kati ya wahanga waliokutana na tamko hilo halafu...
0 Reactions
6 Replies
948 Views
Waziri Biteko ni kama ameshindwa kuelewa waliomteua wanataka nini kwake. Je, wanataka umeme au wanataka azunguke kufanya siasa za uchaguzi? Amekimbizana na majukwaa mfululizo toka alipoteuliwa...
21 Reactions
65 Replies
6K Views
Mimi niliposikia sakata la ubinafsishaji wa Bandari ilibidi nifaatilie mataifa mengine ambayo yaligundua Bandari zao hazifanyi vizuri wakazibinafsisha sasahivi zinaongoza kwa kufanya vizuri...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Fuatilia kinachoendela. Hali hapa Dar sio nzuri, nyumba za wajane zinauzwa usiku na mchana.
4 Reactions
152 Replies
18K Views
KAZI NZURI YA RAIS DKT SAMIA INAHITAJI KATIBA MPYA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na mjadala wa Katiba mpya ambao umekuwa ukiibuka na kufifia. Mjadala umekuwa unaibuka na kufifia kwa kuwa...
1 Reactions
4 Replies
539 Views
Kuendesha serikali ni sawa na kuendesha duka, mapato yatokanayo na makusanyo ya kodi mbalimbali na miradi ya nchi ndiyo mtaji kama ilivyo kwa mwenye duka. Bidhaa za serikali ni huduma kwa...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
12 October 2023 Marrakech, Morocco Waziri wa nchi fedha na mipango wa Zanzibar Mh. Saada Mkuya Salum aikaribisha IDA https://m.youtube.com/watch?v=dthlTxsLjFw December 2023 Benki ya Dunia...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Nimefikiri Kwa kina sana na kuona Tanzania inaweza kupata faida kadhaa kutokana na kuandaa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON): 1. Kukuza Uchumi wetu: Kuandaa AFCON kunaweza kusababisha kuongezeka...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna tatizo la mapokezi ya viongozi wa chama limejitokeza Manyara na Singida. Kuna mgawanyiko mkubwa umejitokeza jambo lililopelekea Nyalandu na Kabudi kurejeshwa jukwaani wakisaidiwa na askofu wa...
3 Reactions
2 Replies
809 Views
Rais Samia Suluhu Hassan ameweka wazi kuwa ataifumua na kuisuka upya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ili kuirudishia hadhi baada ya kuwa na utendaji usioridhisha kwa...
14 Reactions
91 Replies
10K Views
Yajayo yanafurahisha Leo nilikuwapo jijini Mwanza maeneo ya Buhongwa nikaona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu waziri mkuu, Dotto mashaka Biteko ikijengwa kwa kasi Sana nikajua tu yajayo kwa...
6 Reactions
22 Replies
5K Views
HOTUBA YA KAIMU MWENYEKITI WA UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM), NDUGU BENNO MALISA KATIKA KIKAO MAALUM CHA MAKATIBU WA VIJANA MIKOA NA WA WILAYA ZOTE NCHINI, DODOMA, 15 JANUARI 2012...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Samia ameuheshimisha Mkoa huu ambao ulikuwa unadharauliwa Kwa miaka Mingi. Nakumbuka Lisu akiwa Bungeni alikuwa akihoji sana na kulaumu formula ya mgawanyo wa keki ya Taifa ambayo ilikuwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…