Kwa lugha ya staha na hekima kubwa, mwanasiasa nguli huyu asikilizwe:
===
Alichozungumza Tundu Lissu ktk video iliyowekwa hapo juu
"Naanza kuona maneno hivi hawa diaspora hao wasitubabaishe...
Kwanza kabisa mimi sio shabiki wa Makonda, ni mfuatiliaji wa habari mitandaoni juu ya namna wasemavyo baadhi ya Watanzania wenzetu.
Nijikite kuhusu aina ya baadhi ya wachangiaji wenzetu, ambao...
Nakumbuka hapa jukwaani issue ya ripoti ya CAG ilikuwa moto sana, kila thread ilioanzishwa ni moto kwelikwel majizi yawawajibike,lakini kimyaa!
Hiyo ndio imetoka, majizi kwa sasa yanapumua...
Hapa ni sehemu ya hotuba nzito ya TAL mwana halisi wa nchi hii:
"Umoja wetu - nguvu yetu."
𝗕. 𝗞𝗨𝗛𝗨𝗦U 𝗛𝗔𝗥𝗔𝗞𝗔𝗧𝗜 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗞𝗢𝗦𝗢𝗟𝗘𝗪A CHADEMA
Tunahitaji umoja makundi yote bila kubezana Lazima...
Chama cha ACT Wazalendo hakiliridhishwi na kasi ya Serikali katika kushughulikia matukio ya tembo kuvamia makazi, kuharibu mali (mazao) na kutishia usalama wa wananchi nchini. Tangu mwaka 2021...
Kama Nyaraka za Siri za Viongozi Wetu Zinahifadhiwa Nje ya Nchi,Maktaba Zetu, Mwalimu Nyerere foundation nk wao wanahifadhi nini?
Pili hizo Nyaraka zinahusu nini hasa Hadi zitunzwe na kufanywa...
Nchini Tanzania, ushiriki wa vijana katika nafasi muhimu za uongozi bado ni mdogo sana, hali ambayo haionyeshi ukweli wa idadi ya watu wa nchi. Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 ilifunua kuwa...
Katika kubadirisha viongozi wa nchi kila baada ya miaka mitano au kumi, ni bora kila Rais aje na Ajenda Kuu moja ya kutekeleza kwa miaka kumi zingine zikiwa ajenda ndogondogo.
Mfano kwa mwaka...
Ndugu Watanzania mwezangu naomba niwasalimie kwanza, heshima zote nawapa. Baada ya salam, naomba nijitambulishe kwa ufupi tu mimi ni nani, mimi ni Mtanzania tu wa kawaida mwenye umuri wakati, sio...
Pole pole anasema kataa wahuni na wahuni wenyewe wako ndani ya CCM.
Matukio haya ya leo yamekuja ilimradi kutuchanganya tu ...tujadili lipi tuache lipi ...
Kwa ufupi sisi tutajadili yote pamoja...
Kama walihudhuria basi watakuwa wametenda dhambi hizi:-
Wamesaliti waraka wao waliousoma kwa majuma 6 mfululizo kupinga uwekezaji huo;:-
Wamepofushwa na fedha sh milioni 100 waliopewa hivi...
MHE. ABOOD AZUNGUMZA NA WANANCHI KATA YA CHAMWINO MTAA WA MAELEWANO ENEO LA POMBE SHOP .
Mnamo Majira ya saa kumi tarehe 24.10.2023, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Abdulaziz M. Abood...
usomi ni kitu kinachopendwa sana hasa na wale wasio na ubavu wa kusoma. Viongozi wetu wa kada zote wanapenda kujibebesha au kubebesha kwa kuzawadiwa vyeo hivyo baada ya kuhonga ili waheshimike...
Pamoja na kudai kuwa CCM ina wanachoma milioni tisa lakini kila teuzi zinazo fanyika majina ni yale yale. Kibaya zaidi wameteuwa mtuhumiwa wa uuwaji kuwa katibu mwenezi wao. Hivi kama hii si zarau...
Bashite akiwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliandamwa na kashfa nyingi za kuteka watu, kuanzia wanasiasa, wana harakati, wafanyabiashara wakubwa na hata wanamuziki.
Ubalozi wa Marekani ulimtaja...
Ni ushauri tu kwa chama pendwa cha CHADEMA.
Fanyeni hima Tundu Lissu arudi haraka ajiunge kwenye Operesheni. Kama tatizo ni nauli pitisheni kikapu cha sadaka fasta tuchangie.
Ni ushauri tu!
Sasa kwa sababu kuna kundi moja kazi yake ni kuvimbisha matumbo tu linaona umuhimu wa kuleta maendeleo hakuna.
Hili kundi la watawala lina ona kuendekeza ufisadi na kuneemesha familia zao ndilo...
Ukisoma vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi hali inaonekana nzuri sana kwa Tanzania chini ya Rais Samia.
Wawekezaji wanaonekana kuwa na imani nae sana na hadi wanapohojiwa na makampuni...
Mkataba uliopigiwa kelele na wananchi HGA na DP WORLD umesainiwa upya leo ikulu Chamwino.
Je, wahusika wàliopotosha bunge na kukubali ule mkataba wenye madhaifu kupitishwa na kulichafua...