Tundu Lissu: Kauli ya Diaspora watuache ni ya CCM, anayesema kauli hiyo anafanya kazi ya CCM

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,879
35,877
Kwa lugha ya staha na hekima kubwa, mwanasiasa nguli huyu asikilizwe:

===
Alichozungumza Tundu Lissu ktk video iliyowekwa hapo juu

"Naanza kuona maneno hivi hawa diaspora hao wasitubabaishe wasituingilie, hiyo ni lugha ya CCM. Anayezungumza lugha ya aina hiyo anasaidia wale waliotuumiza miaka yote.

Kwasababu lugha hiyo inaweka utofauti kati ya waliopo nyumbani na diaspora."

Tundu amesema diaspora ni muhimu ndio maana wamekuwa wakisaidia shughuli za kisiasa sio tu kuishia kulipia mawakili. Kwa hiyo sio kweli kwamba hawana umuhimu
.

Amesema wanaotumia lugha hiyo kwa kujua au kutojua wanafanya kazi ya CCM.
====
Nyuzi mbili hIzi zinahusika:

1. "CHADEMA, Wanaharakati waalikeni waungwana mpatanishwe"

2. "Heko CCM: Wao wakifarakana, wewe kandamiza hapo hapo!"

Mafarakano ya nini wandugu?

F8-fwCVX0AAdjBL.jpeg

Kupigania "haki" ndiko kunako tukutanisha. Kulikoni tusikomae na adui yetu?

CCM project haiwezi kuwa kutafuta mapatano yetu. Bali kupalilia mafarakano.
 
Lissu kapona?

Huko xhadomo Mbowe kazi yake kuwatia waytu wazimu tu, Mnyika ndiyo hivo, sasa Lissu ndiyo hivyo.

Zitto alistuka mapema akajionea ni heri nusu shari kuliko shari kamili.

Halima Mdee ndiyo walewale.

Mavazi hayo hayakuhusu:

F8-fwCVX0AAdjBL.jpeg

Wenye kuyavaa hayo nawaona humu:

Tutambuane: Wenye ujasiri au sababu za kuikabili CCM

bIla kusahau kuwa inafahamika ma CCM na vibaraka wao kuchachawa mno wakisikia dalili zozote za mapatano yetu.
 
Tundu Lissu ashauriwe kuacha kuropoka na kuongea kila kitu. Tundu Lissu ana lose FOCUS. Kwa mfano mkutano wake aliofanya Columbus Ohio jana kwa CHADEMA in Diaspora. Alikosoa uteuzi wa CCM kumteua Makonda kuwa Katibu Mwenezi.

Kama Makonda hafai kuwa Mwenezi mimi naona hiyo ni faida kwa UPINZANI kwa kuwa wana mtu asiyefaa. Sawa na kwenye mpira kwa mfano Tanzania tunacheza dhidi ya FRANCE, halafu Kocha wa Taifa wa France anampanga namba saba Ngolo Kante badala ya Kilian Mbappe. Je tukilalamika tutakuwa tuna akili kweli?
 
Unaonekana kuwa na ushauri mwingi kwa Lissu. Kama hafanyi vyema si ilikuwa ni faida zaidi kwenu?

Screenshot_20231007-155515.jpg

Hapo juu kwake unaukumbuka pia?
 
Back
Top Bottom