Ado Shaibu: Ukifunga mlango wa Demokrasia, unafungua mlango wa machafuko

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,714
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, amesema maridhiano ya kisiasa hayawezi kufanikiwa bila kuwepo kwa ukweli na uwajibikaji kuhusu matukio ya kisiasa yaliyotokea nchini.

Amesema hatua ya kwanza katika mchakato wa maridhiano ni kuweka wazi ukweli kuhusu matukio yaliyojitokeza kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa mwaka 2025 akidai kuwa kipindi hicho kilizalisha wafungwa wa kisiasa, watu waliotekwa na wengine kuuawa.

Ado amesema hatua inayofuata ni uwajibikaji, ikiwemo kuachiwa huru kwa watu wote wanaokabiliwa na kesi za kisiasa, akidai kuwa mazungumzo ya maridhiano hayatakuwa na maana ikiwa bado watu wanaendelea kushikiliwa au kukamatwa kwa tuhuma za kisiasa.

Absolutely
 
Hata Mandela aliachiwa Kwanza naMakaburu, Ndio kukawa na Maridhiano Hadi uchaguzi,SI jambo jipya!
 
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, amesema maridhiano ya kisiasa hayawezi kufanikiwa bila kuwepo kwa ukweli na uwajibikaji kuhusu matukio ya kisiasa yaliyotokea nchini.

Amesema hatua ya kwanza katika mchakato wa maridhiano ni kuweka wazi ukweli kuhusu matukio yaliyojitokeza kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa mwaka 2025 akidai kuwa kipindi hicho kilizalisha wafungwa wa kisiasa, watu waliotekwa na wengine kuuawa.

Ado amesema hatua inayofuata ni uwajibikaji, ikiwemo kuachiwa huru kwa watu wote wanaokabiliwa na kesi za kisiasa, akidai kuwa mazungumzo ya maridhiano hayatakuwa na maana ikiwa bado watu wanaendelea kushikiliwa au kukamatwa kwa tuhuma za kisiasa.

Chama chake (na yeye binafsi)wamefanya uchambuzi na kubaini makosa waliyoyafanya hadi kuchangia madhila ya Oktoba 29?
 
Back
Top Bottom