Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiachana na huo utani wa “Millennials” na “Gen Z”, kuna eneo moja nakubaliana na Gen Z 100%. Ni ukweli kwamba Millennials tumelifikisha Taifa letu matopeni. Hatuwezi kuiwajibisha Serikali hata...
1 Reactions
0 Replies
159 Views
Kwa mujibu wa Ripoti ya CAG ya mwaka 2025/2026, imeainisha Moja kati ya Madeni wanayodai Tanesco Kwa Taasisi za serikali, madeni hayo ni ya muda mrefu madeni hayo ni kama yafuatavyo. ZECO: Tsh...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
“Msajili wa Vyama vya Siasa anawataka CHADEMA muwasilishe maelezo kueleza kwa nini usajili wa chama chenu usisimamishwe au kutozwa faini kwa kukiuka masharti ya Sheria ya Vyama vya Siasa, ikiwemo...
6 Reactions
21 Replies
507 Views
Leo, Mei 14, 2026 Mfumo wa sauti Bungeni umebuma. Wabunge wamerudi ukumbi wa Msekwa. Vifaa viliwekwa na Mchina, ku-upgrade wameleta Mzungu, ngoma imebuma. Jana jioni ilianza kupiga alarm ya moto...
6 Reactions
22 Replies
617 Views
Mara kwa mara nimekuwa nikisema kwamba taasisi inayoongoza kwa kuwa na vilaza wengi sana nchini, ni JWTZ ikifuatiwa kwa karibu na polisi. Kipindi cha mauaji ya Watanzania hapo mwaka jana, katika...
14 Reactions
12 Replies
268 Views
Wanabodi, Iwapo itathibitika pasipo shaka, (proven beyond reasonable doubt), kuwa viongozi wakuu wa CHADEMA, walijua, walishiriki, na walihusika kwa namna moja au nyingine, katika kupanga au...
19 Reactions
119 Replies
11K Views
Tumeona Jaji Mkuu analalamika kutukanwa anawakemea Gen-Z lakini anasahau kwamba uwazishwaji wa mahakama ni kwa ajili ya kutenda HAKI sasa mahakama ikishindwa kutenda haki ya wazi wazi unafikiri...
2 Reactions
16 Replies
219 Views
Wanabodi, Uendeshaji wa vyama vya siasa nchini, unaongozwa na sheria, taratibu na kanuni. Ikithibitika pasipo shaka kuwa chama fulani, kinakiuka sheria, taratibu na kanuni, kinapaswa...
20 Reactions
269 Replies
31K Views
Kamati ya Bunge ya mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya imepiga kura ambapo kura 53 zimeunga mkono pendekezo la kusitisha Euro Milioni 156 kwenye mpango kazi wa Tanzania kwa mwaka 2026 huku kura mbili...
19 Reactions
264 Replies
7K Views
Katika hali inayoibua hofu kuhusu mustakabali wa siasa za ushindani nchini Tanzania, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekiandikia chama cha CHADEMA barua ya kukitaka kujieleza kwa nini...
3 Reactions
4 Replies
390 Views
Hawa Jamaa ni wapumbavu sana!! Kwao Kuua si kitu chochote Tena. Kuweni Makini , Kwasasa Kuna Mauaji yanafanyika na yataendelea kufanyika ni MIILI AU MAUAJI HAYO YATATENGENEZEWA MAZINGIRA YA...
8 Reactions
21 Replies
410 Views
Tangu Tume ya Uchunguzi wa matukiuo ya Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Oktoba 29, 2025 ilipoanzishwa Novemba 20, 2025, watu waliitilia shaka utendaji wake na kwamba haiwezi kuwa huru. Tume...
0 Reactions
5 Replies
392 Views
Credit to Hilda Newton (X) 1960, polisi wa Makaburu katika kitongoji cha weusi cha Sharpville nchini Afrika Kusini walifyatua risasi kwa umati wa watu wasio na silaha waliokuwa wakiandamana kwa...
7 Reactions
26 Replies
676 Views
Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa. Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani. Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya. Jaji...
12 Reactions
55 Replies
1K Views
Utafiti mkubwa unaohusisha Chuo Kikuu cha Durham unaonyesha kwamba kufikiria upya kwa kina muundo wa nyumba za vijijini katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kunaweza kuwalinda watoto kutokana...
1 Reactions
3 Replies
145 Views
Feminist na malalmiko katika mkutano kati ya Rais wa China Xi Jinping na Rais wa Marekani Donald Trump. Kwa nini hawana wawakilishi ? Je, anayo hoja azingatiwe au apuuzwe ...
0 Reactions
3 Replies
120 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi, Kenani Kihongosi amesema Chama hicho hakijawahi kukosea na kwamba maamuzi yote yanayofanywa ndani ya...
0 Reactions
4 Replies
172 Views
Asema atakifutilia mbali CHADEMA kama kisipofanya shughuli zake za Siasa inavyotakiwa. Hapa nafikiri ndugu Msajili alimaanisha CHADEMA wamsifu Madame Presider ikiwezekana wampe na Tuzo ya Rais...
0 Reactions
4 Replies
161 Views
Serikali imeidhinisha Shilingi bilioni 24.08 kupitia mradi wa Dar es Salaam Maritime Gateway Project kwa mwaka wa fedha 2025/26 ili kuboresha miundombinu ya Port of Dar es Salaam na kuongeza...
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Watu wengi wakisikia “ukoloni” wanafikiria wazungu walifika Afrika na bunduki tu wakaanza kuteka maeneo kwa nguvu moja kwa moja. Ukweli ni kwamba sehemu nyingi ukoloni uliingia taratibu sana...
1 Reactions
5 Replies
143 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…