Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni kama wafugaji wa Tanzania hawaelewi umuhimu wa maeneo yanayohifadhiwa na kilindwa kwa maslahi ya Taifa linapokuka suala la wao kuwapatia malisho mifugo yao. Ni kama pia idara za serikali...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Butiama, Jumanne Sagini ameagiza kukamilika kwa wakati Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Polisi Daraja B cha Wilaya ya Butiama Mkoani Mara...
8 Reactions
87 Replies
11K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya zote Zanzibar kuhakikisha wanatoa kipaumbele kwa suala la Ulinzi na usalama...
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuhusu mjadala wa kukamilika kwa kituo cha Polisi Butiama kwa thamani ya sh mil 802. Kwanza nawapongeza waandishi kwa kuibua hoja na mjadala, ingawa hoja na...
3 Reactions
42 Replies
7K Views
Kwanini wanasiasa kutoka kanda ya ziwa wanashambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii. Je, kuna chuki dhidi yao au kuna agenda maalumu asitokee mwanasiasa mwenye nguvu kutawala siasa kanda ya ziwa...
12 Reactions
70 Replies
5K Views
2020 ballot paper ilikuwa na picha ya Magufuli na mgombea mwenza Samia. Baada ya March 2021, inaonekana kila alilofanya Magufuli lilikuwa baya. Ni ilani ipi mnayotekeleza? Au chama kina ilani...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Salaam, Shalom! CDM na CCM hoyee! Twende haraka kwenye mada. HOJA ya swali hapo juu ni kutaka kujadili madhara na faida za kuingiza siasa michezoni. Tumeona hivi sasa imeibuka TABIA ngeni...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Habarini za leo, nimepata barua ikiniomba kutoa maelezo dhidi ya tuhuma ya kuanzisha mazungumzo pembeni wakati mkuu wa mkoa akitoa hotuba, kiukweli sikuwa mimi, walio kuwa nyuma yangu ndio...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimekuwa nafuatilia vikao vyao na matamko yao. Jamaa wapo vizuri hawana unafiki wa kujikomba kwa watawala na hawana uoga wala unafiki. Binafsi nawapongeza sana kwa kuwa wasemaji wa wananchi...
21 Reactions
86 Replies
7K Views
Wanabodi, Baada ya mahojiano ya jana ya mtu kukwepa kuzungumzia suala la kufoji vyeti vya elimu, kuna watu wanaliona hili ni jambo dogo, hivyo kujitokeza kule, kumelimaliza rasmi, no its not...
109 Reactions
386 Replies
39K Views
MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE AWANUFAISHA WANANCHI WA MKOA WA SINGIDA KWA MAFUNZO YA WAJASIRIAMALI. SHIRIKA lisilo la kiserikali la Star Entrepreneur General kwa ufadhili wa Mbunge wa Viti Maalum...
1 Reactions
1 Replies
559 Views
Nimeona andiko la mdau World light akiwatuhumu TRA kwa mambo ambayo angejipa muda na kusoma angeelewa maana ni mambo ambayo yako wazi sana. Iko hivi Ni muhimu kuelewa mifumo yetu ya kodi na...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Hii ni kufuatia kauli yako uliyoitoa hivi karibuni juu ya walimu ya kukatwa kwenye mishahara Yao na vyama viwili vya wafanykazi. Tangu mwaka 2014 vianze kusajiliwa vyama vingine vya walimu mbali...
2 Reactions
1 Replies
743 Views
Doha 2 October 2023 Mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan awasili Doha, Qatar kwa ajili ya International Horticultural Expo 2023 Doha Picha na habari : Rais Samia Hassan na Waziri wa Nchi...
3 Reactions
72 Replies
9K Views
Wadau CCM ya Magufuli oyee Wakati wa Utawala wa Awamu ya 5 chini ya Mwenyekiti Magufuli aliwahi kulitangazia Taifa na Dunia kuwa Kuna MAJIZI yamepora MALI za CCM na kwamba Atapambana nao na...
0 Reactions
3 Replies
779 Views
Rais Magufuli amesema haiwezekani CCM ikatoa mwongozo au kuiwajibisha serikali yake kuhusu rushwa na ufisadi wakati CCM haifanyi hivyo ndani yake. Rais ameyasema hayo mbele ya wananchi na...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Nimeona video clip ikimuonyesha mwenyekiti wa UWT Jokate Mwegelo akiwapongeza wasichana waliofanya mtihani wa kidato cha 4 huku wakiwa wananyonyesha watoto wachanga wa siku 3 hadi 8. Frankly...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
MKUTANO wa hadhara upo Geita. Mhitubiaji mkuu ni Katibu wa NEC CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda. Mara, Makonda anaagiza Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, apigiwe simu. Halafu, Makonda...
15 Reactions
41 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Embu niambieni ndugu zangu Watanzania kuwa ni jambo gani ambalo unaweza kusema kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka ,jasiri muongoza njia, shujaa wa...
4 Reactions
146 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…