Katika siasa anguko la mmoja ni faraja kwa wengine.Hii imedhihirika ndani ya CCM ambako baada ya anguko la Daniel Chongolo baadhi ya makada wenzake wanahaha kutaka kuwa mrithi wake.
Wafuatao...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mara ya kwanza imefanya majadiliano ya kidiplomasia na Serikali ya Finland kwa lengo la kuimarisha, kukuza na kudumisha ushirikiano katika sekta...
UKWELI KUHUSU UJENZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa yeye mwenyewe anaeleza, ananukuliwa kama ifuatavyo:
"Sikuwashinikiza nilitaka watumie busara zao tu. Ilikuwa hivi...
Ni huzuni lakini inabidi tukubaliane na ukweli kuwa tumekubali kuwa kimya ili serikali iendeleze operation yake ya "cultural genocide" Ngorongoro.
Wazungu kutoka ulaya wakati wanafika bara la...
Naingia kwenye mada moja kwa moja sitaki kuwachosha. Mnakumbuka vizuri madhila yaliyotupata watanzania mwaka jana wakati serikali ilipoongezeka tozo za miamala maradufu hivyo kufanya maisha ya...
Leo nilikuwa nafuatilia mahojiano katika channel ya Zamaradi TV kati ya mtangazaji na Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania ndg Gilead Teri. Katika mahojiano hayo, Mkurugenzi alijikita zaidi...
Tatizo kubwa la nchi za Afrika, na hasa Tanzania, ni mifumo mibaya kabisa ya kiutawala. Mifumo ambayo imekaa kinadharia na wala haifanyi kazi. Ni kama tunataka tu tuonekane mbele ya uso wa mataifa...
Haya mambo watu walikuwa wanadhani ni kwenye movie tu mnaweza jikuta nchi nzima mpo gizani watu washafanya yao. Nchi kama hizi huwa tunajisahau sana. Haya mashambulizi katika hii karne yanakuwepo...
Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Makatibu Wakuu
1. Dkt. Francis Michael amehamishiwa Wizara ya Elimu, sayansi na teknolojia
2. Prof. Eliamani Sedoyeka amehamishiwa Wizara ya Maliasili na...
Nape Nauye Katibu wa uwenezi Ccm amesema kuwa wakati anamaliza masomo ya shule ya msingi mwaka 1993 alikuwa ni miongoni mwa vijana watatu kati ya 106 ambao walikuwa na akili shuleni alikosoma na...
Ameandika Martin Maranja Masese.
Kiumbe ambaye CIVICS kidato cha nne alicheza na mswaki (F) anawezaje kuwa waziri wa kushughulika na masuala nyeti ya teknolojia, Habari na mawasiliano? Hatupo...
Huyu Bwana licha ya kukabiliwa na tuhuma nyingi za ufisadi, kitu pekee tunachoweza kumshukuru ni kauli yake juu ya Mapillato wa Bongo kupigiwa simu na kupewa maelekezo watoe judgement za ain gani...
Ghafla pameibuka mijadala ya CV za Viongozi na namna walivyopata Vyeti vyao vya Elimu mfano Joshua Nassary n.k
Niseme tu huu Mjadala hauna Tija yoyote kwa sababu Viongozi wote wa Upinzani CV zao...
Kama mwanafasihi, mwanafalsafa, mwanasaiklojia, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kijamii nimesikiliza kwa makini sana hii hotuba ya rais wetu ndugu yangu na mama yangu Leah Ulaya nimegundua...
Ndugu Wana jukwaa hasa wadau wa demokrasia kuna tatizo kubwa sana nimeliona kwenye uharaka wa kufanya maamuzi ndani ya CHADEMA. Hapa tuangalie baadhi ya mifano.
1. Kuondoka kwa Dr. slaa...
Makamu wa Rais nakusalimu. Wewe sio makamu wa Rais wa familia yako.Wewe ni Makamu wa Rais wa Nchi.Watu wanapofuatilia taarifa zako wako sawa asilimia 100. Ukuonekana kwa muda mrefu na serikali na...