Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ziara hizi zimeratibiwa kiufundi kwa lengo la kisiasa ama imetokea kwa nasibu tu?
8 Reactions
32 Replies
876 Views
Ingekuwa vyema baadhi ya masheikh hasa wa BAKWATA wajitokeze hadharani kukemea, kulaani na kujitenga na jambo analofanya sheikh Mwaipopo la kukusanya makundi ya kupambana na kufanya mapigano.
8 Reactions
34 Replies
638 Views
Sabasaba ni alama ya biashara, uwekezaji na maendeleo. Ili ifikie malengo hayo kikamilifu, kunahitajika mazingira yenye utulivu, yanayojengwa juu ya utawala wa sheria, mazungumzo ya wazi, na imani...
3 Reactions
4 Replies
151 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amejipambanua kuwa mmoja wa viongozi mahiri zaidi katika kusimamia taswira ya nje kwenye siasa za kisasa. Ziara yake ya hivi karibuni katika Hospitali ya Aga Khan...
7 Reactions
34 Replies
753 Views
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa na AMANI ya kweli kama viongozi na wananchi tutazingatia kusema UKWELI. Utamaduni wa kusema UONGO umeharibu nchi yetu Kuteka, kuuwa au kuwabambikia kesi...
2 Reactions
3 Replies
122 Views
  • Featured
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu ameiomba Mahakama ya Rufani kutupilia mbali maombi yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Mkurugenzi wa Mashtaka DPP na amlipe fidia kwa...
22 Reactions
97 Replies
3K Views
Communists wanasema na kuwafundisha Africans kwamba colonial governments benefited by exploiting Africans, wanasema kwamba eti investments zote zilizofanywa na serikali za kikoloni afrika...
1 Reactions
2 Replies
327 Views
Nadhani wakati umefika Sasa Tanzania tufute vyama vyote vya siasa na nchi isiwe na Chama chochote cha siasa. Ujengwe mfumo ambao wananchi wataruhusiwa kuchagua viongozi wao bila ya kupitia vyama...
3 Reactions
14 Replies
201 Views
Hivi ni kweli ni rahisi kulalamika ukiwa nje ya mfumo eti kwa sababu wewe si mnufaika wa moja kwa moja? Kwa mfano, unaweza kusema mtu fulani ni fisadi. Lakini je, ukipewa nafasi ya huyo mtu, una...
11 Reactions
60 Replies
649 Views
Lengo lao wanataka waseme Mama anaupiga mwingi. Kwamba Ufundishaji umeongezeka. Kila kitu sasa ni kuchakachua kuanzia matokeo ya Urais hadi Matokeo ya Wanafunzi. Shule hazina Waalimu, hazina...
11 Reactions
88 Replies
2K Views
HIFADHI YA BARABARA YA MOROGORO INAANGAMIZWA MBELE YA MACHO YETU Je, serikali itaendelea kunyamaza hadi tutakapolazimika kulipa fidia tena? Nianze kwa kurudia RAI yangu kuhusu upanuzi wa...
6 Reactions
11 Replies
358 Views
Wataalamu watusaidie kuitambua hii Sheria kama ndivyo ilivyo ?? SHERIA YA VYAMA VYA SIASA (SURA YA 258) ------------- KANUNI (Zimetungwa chini ya fungu la 22(b)) KANUNI ZA MAADILI YA VYAMA VYA...
3 Reactions
16 Replies
325 Views
guest-1788671453
Ninavyoelewa hii nchi ina majeshi rasmi na Yana majukumu Kwan mujibu wa katiba JWTZ Jeshi la polisi Jeshi la magereza Jeshi la uhamiaji Na Maaskari game Kikosi Cha kutuliza fujo/ghasia ni FFU...
8 Reactions
58 Replies
1K Views
Wasaalam Makampuni ya simu yamekuwa yakituma ujumbe wa kuhimiza wananchi "kudumisha amani." Kwa mtazamo wangu, ujumbe huo unaweza kuwa na nia njema. Hata hivyo, unaibua swali muhimu: je, amani...
8 Reactions
17 Replies
205 Views
Ila hivi vyombo vya habari bhana kuna muda wanatumika mchana kweupe! Yani kuisoma hii habari ilio chapishwa na AFM na C FM zote ni za Dodoma unaona ni propaganda kabisa Kuna mtu mmoja kawapa...
6 Reactions
46 Replies
850 Views
Ukishasikia mtu anasema "sisi hadi tutoke ndio tule" ujue huyo mtu ni zwazwa, mjinga na lofa tu. Hii ni kauli moja ya kijuha na kipumbavu sana. Nani unamuambia aliyesababisha wewe kuishi hayo...
31 Reactions
113 Replies
2K Views
Leo ilikuwa nisafiri kuelekea Dar, siwezi kutaja kutoka mkoa gani, maana nitakuwa namweka wazi aliyenishauri. Mkuu huyu wa vyombo vya ulinzi na usalama, ngazi ya mkoa, aliniambia kuwa siyo salama...
12 Reactions
19 Replies
504 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko...
10 Reactions
57 Replies
927 Views
Boko Haram ilianzishwa mwaka 2002 mjini Maiduguri, Nigeria, na mhubiri wa kiislam mwenye msimamo mkali Sheikh Mohammed Yusuf. Hapo awali, lilifanya kazi kama vuguvugu la kidini baadaye likawa...
18 Reactions
45 Replies
882 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…