Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,748
- 50,170
Ziara hizi zimeratibiwa kiufundi kwa lengo la kisiasa ama imetokea kwa nasibu tu?
Kwanini sasa na si siku zingine zoteZiara hizi zimeratibiwa kiufundi kwa lengo la kisiasa ama imetokea kwa nasibu tu?
Labda imetokea kwa nasibu tu!!Kwanini sasa na si siku zingine zote
Sio kwa chama cha majambaziLabda imetokea kwa nasibu tu!!
Mwisho mtasema Pacome ameumizwa kwa sababu za kisiasa.Kwanini sasa na si siku zingine zote
Mt 25:35-40Ziara hizi zimeratibiwa kiufundi kwa lengo la kisiasa ama imetokea kwa nasibu tu?
Bandiko reefu lakini halina uhusiano na kinachozumgumziwa. Zungu na Samia wanaamini hilo andiko ulilonukuu?Mt 25:35-40
kwa maana nalikuwa na njaa, mkanipa chakula; nalikuwa na kiu, mkaninywesha; nalikuwa mgeni, mkanikaribisha; nalikuwa uchi, mkanivika nalikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama; nalikuwa kifungoni, mkanijia. Ndipo wenye haki watakapomjibu, wakisema, Bwana, ni lini tulipokuona una njaa, tukakulisha, au una kiu tukakunywesha? Tena ni lini tulipokuona u mgeni, tukakukaribisha, au u uchi, tukakuvika? Ni lini tena tulipokuona u mgonjwa, au kifungoni, tukakujia? Na Mfalme atajibu, akiwaambia, Amin, nawaambia, kadiri mlivyomtendea mmojawapo wa hao ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.
🐒
huyu jamaa alijisogeza sana jikoni ila mamlaka zilishtuka mapema sana![]()
50 reactions · 9 comments | Mhaini wa kizungu @bongozozo_tanzania utafanya mpaka soda za watu zitekwe. @7up come help us | Rose-ney TZ
Mhaini wa kizungu @bongozozo_tanzania utafanya mpaka soda za watu zitekwe. @7up come help uswww.facebook.com
Hahahahahahaaaaa! Umeona eee?!!! Nimeona Kuna mzee akili za hapo juu, "kwanini wametembelewa Sasa?" Nilipomaliza kusoma nikasema, "hiiiii"!!Mwisho mtasema Pacome ameumizwa kwa sababu za kisiasa.
Kabisa... Walistuka mapema na ndiyo maana walimpa ubalozi wa Tanzania wa heshima.huyu jamaa alijisogeza sana jikoni ila mamlaka zilishtuka mapema sana
You are trying to make sense of each and everything and best believe kwamba mnafanya uganga tu, hakuna mnachojua.Ziara hizi zimeratibiwa kiufundi kwa lengo la kisiasa ama imetokea kwa nasibu tu?
bongo kila mtu anajifanya anapajua jikoni. Hamjui kitu, acheni kudanganyana.huyu jamaa alijisogeza sana jikoni ila mamlaka zilishtuka mapema sana
Mother alienda kumuona mzazi Othuman Masoud Makamu wa 1 smz aliyemaluza muda wake...Ziara hizi zimeratibiwa kiufundi kwa lengo la kisiasa ama imetokea kwa nasibu tu?
Sasa wewe ndiyo unajua jikoni pakoje?bongo kila mtu anajifanya anapajua jikoni. Hamjui kitu, acheni kudanganyana.
Bila kusahau ile jama ama juzi ya warioba.Ziara hizi zimeratibiwa kiufundi kwa lengo la kisiasa ama imetokea kwa nasibu tu?