"Sisi hadi tutoke ndio tule"- Kauli ya malofa

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
62,689
Reaction score
105,202
Ukishasikia mtu anasema "sisi hadi tutoke ndio tule" ujue huyo mtu ni zwazwa, mjinga na lofa tu. Hii ni kauli moja ya kijuha na kipumbavu sana.

Nani unamuambia aliyesababisha wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya "hadi utoke ndio ule"?

Nani unataka akuhurumie kwa wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya hadi utoke ndio ule??
 
Mfumo ushakuwa manupulate kwa afrika.

Mimi nimekaa nchi za nje.Ukiwa na bidii unaweza kupata pesa ya kutumia mwezi na miezi ndio maana unaona wanakuja afrika kutembea.Ila ukiwa afrika uwezi kupata pesa ya kwenda kwao kutembea.
 
Ukishasikia mtu anasema "sisi hadi tutoke ndio tule" ujhe huyo mtu ni zwazwa, mjinga na lofa tu. Hii ni kauli moja ya kijuha na kipumbavu sana.

Nani unamuambia aliyesababisha wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya "hadi utoke ndio ule"?

Nani unataka akuhurumie kwa wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya hadi utoke ndio ule??
Umemaliza kazi. Asante sana.
Haya majitu aliya define Karl Marx kuwa ni kama magunia ya viazi , you can treat them the way you like!....sacs of potatoes ( si unajua urusi na ulaya nzima wanalima viazi)
 
Kwasababu wewe una uhakika unaishi nyumban kwa mume wa dada yako, mume wa dada yako anakupa vijisenti unanunua bando, unalalia kitanda cha mwanaume ambaye alinunua kwa jasho. Basi unaona wanaume wengine malofa wajinga eti kwasababu tu hawawezi kula hadi watoke kutafuta maisha.
Nyie vijana wa sikuhizi ndio maana mnafirwwwwa sana
 
Anaza lofa
 
Wewe Pumbavu, kama hadi utoke ndio ule ukianguka kwenye boda uvunjike mguu au mkono nani atakulisha kwa miezi miwili?
Na kwa nini unaniambia mimi ulofa wako badala ya kuimbia serikali yako na wazazi wako??
 
That is one of Marx’s most famous and biting analogies!
Marx used this metaphor to explain why peasants historically struggled to act as a unified political force. He argued that because they farmed small, isolated plots of land, they were fiercely self-sufficient and rarely interacted with one another. Therefore, they formed a massive, atomized group of identical individuals who could not form a united "class for themselves".

Sacs of potatoes to explain unconscious mind to liberation..peasants and labourers!
 
Ukishasikia mtu anasema "sisi hadi tutoke ndio tule" ujue huyo mtu ni zwazwa, mjinga na lofa tu. Hii ni kauli moja ya kijuha na kipumbavu sana.

Nani unamuambia aliyesababisha wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya "hadi utoke ndio ule"?

Nani unataka akuhurumie kwa wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya hadi utoke ndio ule??
Hao ni mtaji mkuu wa CCM.
 
Back
Top Bottom