Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,407
- 17,687
Communists wanasema na kuwafundisha Africans kwamba colonial governments benefited by exploiting Africans, wanasema kwamba eti investments zote zilizofanywa na serikali za kikoloni afrika zilitokana na kodi ambazo waafrika walikuwa wanakatwa na serikali za kikoloni.
Sasa tuangalie kwa nchi yetu yani reli (wakati wa colonial governments mkoa wa tanga uliunganishwa kwa reli na moshi/arusha plan kufikisha kanda ya ziwa ilingiliwa na vita, walijenga reli kuunganisha nachingwea na bandari ya mtwara na zilikuwa zinafanya kazi leo hii hakuna treni inayotoka tanga kuelekea moshi/arusha), barabara (barabara zote tunazojitapa kujenga leo hii hakuna mpya hata moja kwa maana ya upimaji wa ramani kila kitu kilishafanywa), bandari (colonial governments walijenga bandari 3 dar, tanga na mtwara, kila ziwa victoria na tanganyika walijenga bandari zilizounganishwa na reli),walifanya geographical survey i.e kupima nchi nzima, kuchunguza vyanzo vya mito, ku-introduce mazao (ambayo tunayatumia mpaka leo) kama kahawa, chai, mahindi, tumbaku, geological survey i.e ramani za madini yaliyopo ardhini, hata mafuta na gesi huko kusini mtwara au songo songo expolaration ilifanywa na colonial governments, kujenga shule na technical colleges, ku-introduce samaki kwenye maziwa yetu hawa samaki wa ziwani kama victoria tunaokula leo hii hawakuwepo kabla ya Christians kuja, Christians waliweka samaki kwenye maziwa yetu, waliweka vyombo vya usafiri kama mv liemba ziwa tanganyika tunatumia mpaka leo hii, walichora ramani ya kuunganisha ziwa nyasa na bandari ya mtwara southern corridor i.e kuunganisha mbaba bay na mtwara port kwa reli hii wanaoita mtwara au sijui southern corridor ni kwamba wanafukuwa makabrasha tu lkn plans zote ziliachwa na wakoloni, liganga makaa ya mawe na chuma kila kitu geological survey ilifanywa na wakoloni, hata bwawa la Mwalimu Nyerere dam tulilojenga sasa hivi plans zote tumechukuwa tu ktk kwa wakoloni waliacha.
Sasa haya yote yalifanywa kutokana na kodi ya kichwa ambayo waafrika walikuwa wanakatwa na mnaamini hilo? i mean, hiyo kodi waliokuwa wanakatwa ilikuwa ni kiasi gani mpaka kuwezesha kujengwa yote hayo ndani ya miaka 50 tu wazungu waliokaa hapa kwetu? msisahau miji na wilaya zetu zote zilianzishwa na kujengwa na wakoloni, nyumba karibia zote za serikali mikoani na wilayani ni from colonial time sasa hiyo kodi waliokatwa watu wetu iliyojenga yote hayo ilikuwa ni kiasi gani na walikuwa wanalipwa ujira wa kiasi gani hadi waweze kumudu kulipa kodi yote hiyo ukichukulia wakoloni walikaa hapa kwetu kwa miaka kama 50 tu na miaka 10 kati ya hiyo 50 kulikuwa na vita kuu za dunia mbili, kwanza communists wametawala kwa muda mrefu tanzagiza klk serikali yoyote ile ya kikoloni, sasa wamefanya nini mpaka sasa hivi? tozo zinafanya nini? wana kipi cha kuonyesha kwa maana kama ni kodi ni kama zote.