Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Zanzibar kwa sasa inakaribua kugraduate kuwa tegemezi kqa serikali ya Tanzania bara iliyo vaa koti la serikali ya muungano. Amejenga miiundo mbinu ya kisasa kama fly overs, highways, madaraja...
2 Reactions
4 Replies
595 Views
Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama. Je, hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Maswali yetu na tafakuri yetu yaweza kuwa msaada kupata mwanga kuhusu vifo vya ndugu zetu wawili hawa wa Kitanzania. Tuanze na taarifa ya mwanzo ya mkasa huu wa hawa ndugu zetu hii hapa⤵️ Israel...
3 Reactions
46 Replies
5K Views
Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini Tanzania, zimesababisha kiwanda cha Bagamoyo Sugar Ltd (BSL) kusitisha uzalishaji wa sukari kwa muda. Kiwanda hicho kinachomilikiwa na Kampuni...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwanza nimpongeze Rais Samia kwa kuruhusu Kufanyika Mikutano ya Siasa ambayo ilizuiwa kipindi cha Awamu ya 5. Pili niwapongeze CHADEMA na CCM kwa kufanya mikutano na kusikiliza shida za Wananchi...
0 Reactions
2 Replies
448 Views
Kuna move Madeleka anacheza na serikali kwa mgongo wa wanaharakati na uwakili. Kesi ya Gekul ilikuwa inafanyiwa uchunguzi na jeshi la polisi Nchini. Tukaambiwa jalada limepelekwa kwa DPP; siku...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Wadau BANDARI yetu ilisemekana haifanyi kazi kwa UFANISI na kusababisha Upotevu Mkubwa wa MAPATO.Ili kuifanya Bandari ifanye kazi kwa ufanisi na kukusanya Mapato zaidi ikakabidhiwa kwa Kampuni ya...
2 Reactions
12 Replies
944 Views
Kuna habari nyingine siwezi kuziamini hadi nipate ufafanuzi kutoka upande wa pili. Nimeona clip inasambaa ikieleza kwamba katika jimbo la Ubungo chama cha mapinduzi kimebadili matumizi ya ofsi ya...
0 Reactions
2 Replies
535 Views
1. Mpango wa bima kwa wote. Huu ni msumari wa utosini kwa watanzania. Kelele zitasikika kuanzia January 2024 mpango utakapoanza kutekelezwa. Kulipa TShs 360,000/= kwa kila watu 3 kwa mwaka siyo...
17 Reactions
51 Replies
4K Views
Serikali na Chama wakiwa wanajua Hali halisi ya ugumu wa maisha wanaopitia watanzania kiuchumi wanajitokeza matapeli mfano wa choice variable na Lucas Mwashambwa kwa makusudi au kwa kutumwa na...
11 Reactions
32 Replies
2K Views
Nimelazimika kulisema hili baada ya kuona wananchi wengi wakiteseka kutokana mvua zinazoendelea kunyesha Barabara mbovu kila kona wananchi wanahamasishana kila iitwayo leo kutengeneza barabara za...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa mwaka 2023 Kuna watu wametoa mchango mahsusi katika nyanja mbalimbali za kimaisha ambao umeleta mchango chanya Kwa Ustawi wa Jamii. Hawa wanapaswa kutambuliwa kama Mashujaa wa Taifa angalu...
4 Reactions
57 Replies
2K Views
Za moto moto kutoka mtaa wa Ufipa ni kwamba wameanza kushikana uchawi 😆😆😆😆 Msaliti wa Taifa Tundu Lisu na Kibaraka wa Wazungu ameamua kumshughulikia Mwenyekiti wake 😂😂 Mwanaharakati Ahmed Kombo...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Salaam Wakuu, Tangu nizaliwe, nilikuwa nasikia Viongozi wanaleta Foleni. Nipo huku Shinyanga, tumesimamishwa masaa mawili sasa tukisubiri Dotto Biteko apite. Ng'ombe wangu watafika mnadani saa...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Sasa kama Wewe unataka Katiba mpya ni bora ukatembea na hawa Wawili mh Tundu Lisu na Dr Mdude Mtakuja kunishukuru baadae!
1 Reactions
6 Replies
480 Views
Mtu anajiuliza "nikipiga kura inanisaidia nini? Afadhali Wajumbe wameshachukua chao mapema Kura zitauzwa Nawatakia heri ya mwaka mpya!
1 Reactions
2 Replies
466 Views
Kuna watu wameongeza 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani. Hii Nchi watu...
27 Reactions
446 Replies
25K Views
Mzozo unaendelea Wizara ya Afya, baada ya punguzo la 30% ya Mishahara, sasa Serikali imewaachisha kazi madaktari wote walioajiriwa hivi karibuni (chini ya miezi 6 tangu waajiriwe) waliokuwa...
3 Reactions
177 Replies
37K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, amesema kuwa mtu mnyonge hawezi kufurahia kitu kizuri, mnyonge anafurahia vitu vya hovyo hovyo. Chalamila amesema maneno hayo alipokuwa...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Wabunge wetu Bunge la Muungano wanapokea Msh.wa Sh.Mil.16,000,000/= kwa mwezi. Tuna wabunge 400 na jumla ya Mishahara yao kwa Mwezi ni Tsh Bil.6,400,000,000/= Endapo Kila mbunge atakubaki kukatwa...
0 Reactions
4 Replies
802 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…