Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,111
- 18,327
Zanzibar kwa sasa inakaribua kugraduate kuwa tegemezi kqa serikali ya Tanzania bara iliyo vaa koti la serikali ya muungano.
Amejenga miiundo mbinu ya kisasa kama fly overs, highways, madaraja, viwanja vya ndege , viwanja vya michezo vyenye hadhi ya kimataifa.
Pili amefanya mapinduzi kwenye eneo la mamlaka ya kodi kwa kuipa mamlaka zaudi na kodi inayo kusanywa sasa ni mara tatu ya miaka 3 iliyo pita.
Kuna mradi wa kuzalisha umeme ili zanzibar isitegemee umemewa tanesco na mradi umesha anza.
Amekuwa ni Rais wa maneno machaxhe lakini kazi kubwa.
Hadi natamani kila mkoa ungekua na status ya zanzibar, mikoa kama geita, Njombe, kigoma ingekua mbali sana kiuuchumi.
Heri ya mwaka mpya