johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,968
- 141,981
Kwanza nimpongeze Rais Samia kwa kuruhusu Kufanyika Mikutano ya Siasa ambayo ilizuiwa kipindi cha Awamu ya 5.
Pili niwapongeze CHADEMA na CCM kwa kufanya mikutano na kusikiliza shida za Wananchi, kipekee Mh. Mbowe, Mh. Tundu Lissu na Komredi Makonda, kongole sana.
Ila kiukweli Mikutano iliyofanyika ni michache sana, mfano CHADEMA walishindwa kwenda Kanda ya Nyasa ambako maandalizi yalishafanyika Kasoro chopa tu!
Hata Komredi Makonda anasubiriwa kwa hamu mkoa wa Kilimanjaro lakini mwaka unakatika hajatokea!
Vyama vingine vyote ni tia maji tia maji, havina hata wafuasi!
Nini kifanyike 2024 tupate Mikutano ya kutosha hasa kutoka Chama kikuu cha Upinzani CHADEMA?
Nawatakia heri ya mwaka mpya!