Anapendwa na anakukubalika na wengi, bara na visiwani. Anaahidi anatekeleza. Anasema na anatenda, matokeo yanaonekana kwa uwazi.
Mbegu bora za mazao na mifugo, mbolea na madawa ya wadudu...
Jamani naomba niulize hivi ni wapi ambapo ni mjini ambapo Kuna taasisi za serikali na makazi ya watu na usafiri na uwepo wa taasisi za kifedha ambapo unaweza kufidiwa square mita moja kwa Tsh...
Wakuu mko vyede,
Kukutana na manyuzi kibao kusema zinaunga mkono juhudi za mama inakata stimu, halafu unakuta ka uzi kenyewe kana mistari mitatu iliyojaa kusifia mwanzo mwisho.
Nyuki wa mama...
Kila siku tunaambiwa ikitoka CCM Madarakani hakuna chama kingine cha siasa chenye uwezo wa kuchukua nafasi yake.
Hivi CCM inafanya kitu gani chanya kwa Tanzania ambacho vyama vingine vya Siasa...
Wanabodi,
Sina uhakika sana humu JF, lakini kati ya JF members wanaozungumzia sana, Katiba, Sheria na Haki, mimi ni mmoja wao.
Nimeandika sana kuhusu katiba, sheria na haki toka enzi za JPM...
Kiuhalisia, uduni wa jamii ya Watanzania, upo katika fikra duni, ubunifu duni, uadilifu duni, unafiki, kutojiamini na kukosa ujasiri.
Umri wa utoto mpaka kufikia umri wa sekondari, ni umri muhimu...
Wananchi wa Jimbo la Iramba hususan wakazi wa Maeneo ya Kinampanda na maeneo jirani tulamlalamikia mbunge wetu Mwigulu Nchemba kwani barabara za vijijini ni mbaya sana na hazipitiki hasa kipindi...
Labda kama hamjui, hii Kanda ndio kupatikana Wanaume, wakuu wa Familia.
Mtaruka ruka wee na majiko ya gesi ya bure mnayodanganyishia Watanzania.
Lakini Kanda ya Ziwa wanajua, Gas imepanda Bei...
Habari wanajukwaa.
Inadaiwa ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL Imekwama Nchini Malta Kwa karibu miaka 4 Toka 2020 Hadi Sasa Kwa kile kilichodaiwa kamba ilipelekwa matengenezo...
Huenda Maneno haya Machache yakaeleweka na watu wachache tu Kwa wengi ndio hao wanaoshabikia Ujinga.
Ipo hivi, ukikaa Kwa kutulia ukaitazama Dunia vizuri, utagundua Raia wengi wa Nchi zote...
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa zilizoandikwa mitandaoni kwamba iliuziwa ndege hii ya Q300 Bombardier ikiwa tayari ‘imechoka’ ikiwa pia ni Ndege ya zamani ambayo ilishakosa...
Ile kampeni kabambe ya kuelimisha wananchi kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya , imemfikia Luhaga Mpina , Mbunge aliyeitwa kichaa na Magufuli ili aendelee kuteketeza nyavu za Wavuvi bila huruma.
Sasa...
VIONGOZI WALA RUSHWA BAADHI KWA NJAA ZAO WANAJITOA UFAHAMU NA KUSIMAMA HADHARANI KUPOTOSHA KAULI ZA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA TUWAONYE WAACHE UJINGA .
Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu...
UZINDUZI WA MAMA SAMIA LEGAL AID KAMPENI - SINGIDA
Kampeni hii ni mahususi kwaajili ya kuwafikia na kutoa msaadabwa kisheria kwa Wananchi wote buree
Kampeni hii itahusisha utoaji wa Elimu ya...
Kwa mara ya Kwanza tangu atenguliwe kwenye Ukuu wa Wilaya , Ndugu Jerry Murro ameonekana hadharani .
Amekutwa ndani ya Bunge huko Dodoma akichangia kuhusu Miswada ya Sheria za Uchaguzi (...
Askari wa Wizara yako walie mpaka lini!? Unafrahia kuongoza Askari wanyonge!
Hizi posho za maji na Umeme serikali inazitoa zinaishia kuliwa na wajanja Wizarani pengine ukiwepo wewe (tetesi zipo)...
Huenda kuna mambo yamenipita, nimeona niulize hapa.
Ninakumbuka takribani miaka mitano iliyopita kulitokea ujio wa Mfalme wa Morocco hapa Tanzania wakati wa kipindi cha utawala wa Magufuli na...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema sheria mpya ya uwekezaji ya mwaka 2023 itakuwa bora Afrika ambayo ataisaini hivi karibuni baada ya...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduz (MNEC) na Mfanyabiashara wa Makampuni ya ASAS, Salim Abri Asas amechangia zaidi ya Tsh. milioni 15 kwa ajili ya ujenzi wa bweni la Wanafunzi wa...
Nimejiuliza sana na kutafakari maoni ya watu wawili ambao wote nawaheshimu kama wadau wenzangu japa jamii forums kwa muda mrefu na sio vizuri kukaa bila msimamo kwenye mijadala kama hii yenye...