Wananchi jimboni kwa Mwigulu wapaza sauti kuomba msaada wa barabara

Stuka

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
214
686
Wananchi wa Jimbo la Iramba hususan wakazi wa Maeneo ya Kinampanda na maeneo jirani tulamlalamikia mbunge wetu Mwigulu Nchemba kwani barabara za vijijini ni mbaya sana na hazipitiki hasa kipindi hiki cha mvua.

Mfano mdogo barabara ya kuingia Kituo cha Afya Kinampanda imejaa utelezi haipiti Mwigulu ameshindwa kuweka hata molamu lakini pia kuna shida kubwa ya maji.

Swali kwa mbunge wetu fedha anazotumia kufadhili mambo ya ovyo ovyo kwanini asingeleta huku tukaboreshewa miundombinu ya barabara?

Mlio karibu na Mwigulu tunaomba mumfikishie malalamiko yetu wananchi wa Kinampanda Iramba Singida.
 
Kuna Uchaguzi Mkuu.

TUMIENI NAFASI HIYO NA SIO KUMLALAMIKIA WAZIRI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Vipi? Atumie wadhifa wake au tuendelee kufata na kusubiria mipango ya serikali? Au atoe pesa mfukoni?

Nazani pia majimbo yote yaliyo bakia yana Barabara za lami
 
Wananchi wa Jimbo la Iramba hususan wakazi wa Maeneo ya Kinampanda na maeneo jirani tulamlalamikia mbunge wetu Mwigulu Nchemba kwani barabara za vijijini ni mbaya sana na hazipitiki hasa kipindi hiki cha mvua.

Mfano mdogo barabara ya kuingia Kituo cha Afya Kinampanda imejaa utelezi haipiti Mwigulu ameshindwa kuweka hata molamu lakini pia kuna shida kubwa ya maji.

Swali kwa mbunge wetu fedha anazotumia kufadhili mambo ya ovyo ovyo kwanini asingeleta huku tukaboreshewa miundombinu ya barabara?

Mlio karibu na mwigulu tunaomba mumfikishie malalamiko yetu wananchi wa Kinampanda Iramba Singida.
Hapo Kinampanda kuna wajinga wengi,ukiwemo wewe.Miaka yote mmeing'ang'ania CCM.Acha mkomeshwe.Nyau nyie.
 
Wananchi wa Jimbo la Iramba hususan wakazi wa Maeneo ya Kinampanda na maeneo jirani tulamlalamikia mbunge wetu Mwigulu Nchemba kwani barabara za vijijini ni mbaya sana na hazipitiki hasa kipindi hiki cha mvua.

Mfano mdogo barabara ya kuingia Kituo cha Afya Kinampanda imejaa utelezi haipiti Mwigulu ameshindwa kuweka hata molamu lakini pia kuna shida kubwa ya maji.

Swali kwa mbunge wetu fedha anazotumia kufadhili mambo ya ovyo ovyo kwanini asingeleta huku tukaboreshewa miundombinu ya barabara?

Mlio karibu na mwigulu tunaomba mumfikishie malalamiko yetu wananchi wa Kinampanda Iramba Singida.
Uzi wako anausoma moja kwa moja nae ni mwanachama hapa!
 
Kama nyie hamko karibu na mbunge wenu nani mwingine atakuwa karibu naye??
 
Wananchi wa Jimbo la Iramba hususan wakazi wa Maeneo ya Kinampanda na maeneo jirani tulamlalamikia mbunge wetu Mwigulu Nchemba kwani barabara za vijijini ni mbaya sana na hazipitiki hasa kipindi hiki cha mvua.

Mfano mdogo barabara ya kuingia Kituo cha Afya Kinampanda imejaa utelezi haipiti Mwigulu ameshindwa kuweka hata molamu lakini pia kuna shida kubwa ya maji.

Swali kwa mbunge wetu fedha anazotumia kufadhili mambo ya ovyo ovyo kwanini asingeleta huku tukaboreshewa miundombinu ya barabara?

Mlio karibu na Mwigulu tunaomba mumfikishie malalamiko yetu wananchi wa Kinampanda Iramba Singida.
Subirini kidogo bado mwaka mmoja mtaanza kumuona. Hivi sasa yuko busy na mambo mengine.
 
Wananchi wa Jimbo la Iramba hususan wakazi wa Maeneo ya Kinampanda na maeneo jirani tulamlalamikia mbunge wetu Mwigulu Nchemba kwani barabara za vijijini ni mbaya sana na hazipitiki hasa kipindi hiki cha mvua.

Mfano mdogo barabara ya kuingia Kituo cha Afya Kinampanda imejaa utelezi haipiti Mwigulu ameshindwa kuweka hata molamu lakini pia kuna shida kubwa ya maji.

Swali kwa mbunge wetu fedha anazotumia kufadhili mambo ya ovyo ovyo kwanini asingeleta huku tukaboreshewa miundombinu ya barabara?

Mlio karibu na Mwigulu tunaomba mumfikishie malalamiko yetu wananchi wa Kinampanda Iramba Singida.

Kwa kipindi hiki cha mvua nyingi sehemu nyingi barabara ni changamoto sio Singida tu
 
Wananchi wa Jimbo la Iramba hususan wakazi wa Maeneo ya Kinampanda na maeneo jirani tulamlalamikia mbunge wetu Mwigulu Nchemba kwani barabara za vijijini ni mbaya sana na hazipitiki hasa kipindi hiki cha mvua.

Mfano mdogo barabara ya kuingia Kituo cha Afya Kinampanda imejaa utelezi haipiti Mwigulu ameshindwa kuweka hata molamu lakini pia kuna shida kubwa ya maji.

Swali kwa mbunge wetu fedha anazotumia kufadhili mambo ya ovyo ovyo kwanini asingeleta huku tukaboreshewa miundombinu ya barabara?

Mlio karibu na Mwigulu tunaomba mumfikishie malalamiko yetu wananchi wa Kinampanda Iramba Singida.
Mbona Daraja la Msingi limejengwa

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom