My worry is rhis ; Mafwele does not need going to the USA

Very useless kumfungia mtu asiye na mpango wa kwenda huko.

Bashite alifungiwa ila hadi leo anadunda tu. US waache huu ujinga wa kudhani kila mtu anataka kwenda huko.
For sure!
 
Hata kama mtu haendi Marekani, kutajwa rasmi na serikali ya Marekani kama mhusika wa ukiukwaji wa haki za binadamu huathiri sifa yake kimataifa. Taasisi nyingine, nchi nyingine, na mashirika ya kimataifa huanza kumchukulia kwa tahadhari. Hata hapo South Africa ambapo familia yake inaishi wataanza kuwa na mashaka naye.

US pia inatuma ujumbe kwa serikali kwamba inaona kuna tatizo. Mara nyingi si mtu mmoja tu anayelengwa, bali ni onyo kwa mfumo mzima wa uongozi au vyombo vya dola
 
Gentleman,

Hauujui utamu wa kwenda US?
sasa mwafwele anaweza kwenda kufanya nini kwa mfano gentleman?

kuutazama world cup final au?🤣

sidhani kama mwafwele aliwahi hata kufikiria kwenda Uganda, achilia mbali USA🐒
 
Hata kama mtu haendi Marekani, kutajwa rasmi na serikali ya Marekani kama mhusika wa ukiukwaji wa haki za binadamu huathiri sifa yake kimataifa. Taasisi nyingine, nchi nyingine, na mashirika ya kimataifa huanza kumchukulia kwa tahadhari. Hata hapo South Africa ambapo familia yake inaishi wataanza kuwa na mashaka naye.

US pia inatuma ujumbe kwa serikali kwamba inaona kuna tatizo. Mara nyingi si mtu mmoja tu anayelengwa, bali ni onyo kwa mfumo mzima wa uongozi au vyombo vya dola
Watu hawajui kwamba hapa ishu sio kufungiwa kwenda Marekani,ishu ni kwamba ukishatajwa tu ni tayari unawekwa kwenyw black book ya Marekani na jinai yako haifi hata kwa miaka 100.Huyu Bashite wanayesema anadunda kuna sehemu tu atakwama na hapo ndioo Marekani itamsomea kesi yake
 
kwa hatua hiyo ni kwamba yeye ndiye mkuu wa nchii hii Mafwele? kuna walioko juu yake wanaopaswa kumshughulikia ndani ya nchi , sijaona logic ya USA zaidi ya utoto . Bora kuandika barua ya kushinikiza uongozi kumpa adhabu sio kumzuia , kwani huko USA ni kwao ? Mtu mwenyewe anasogeza siku apate pension.
 
Watu hawajui kwamba hapa ishu sio kufungiwa kwenda Marekani,ishu ni kwamba ukishatajwa tu ni tayari unawekwa kwenyw black book ya Marekani na jinai yako haifi hata kwa miaka 100.Huyu Bashite wanayesema anadunda kuna sehemu tu atakwama na hapo ndioo Marekani itamsomea kesi yake
Hapa kuna full imagination.
 
Ishu sio kumfungia; ishu ni kumuanika dunia ifahamu kuhusu ufala wake huo.
Hiki mtu anaweza kuona ni kidogo, lakini ni kitu kikubwa sana kimefanyika, dunia imefahamu juu ya ufala wake huo.
Unamkataza mbwa wa bwana z kubweka halafu wakati huo unapiga story na bwana Z
 
Back
Top Bottom