INACHEKESHA SANA

INACHEKESHA SANA

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
315
Reaction score
308
20260521_133829.jpg

Na Dr. Zack✍️.

Jana mida ya saa moja jioni kaka yangu mmoja Mwalimu,Chuo cha Ualimu Wilayani Rungwe alinipigia.Alikuwa anataka "opinioni-MAONI" yangu kutokana na "kituko" cha Chadema cha KUTEKWA kwa Msaidizi wa Ndugu Lissu.

Swali lake kubwa ilikuwa ni je,hiki TUKIO LA KUTEKWA LA BWANA YULE sio kisa cha kutengenezwa?SIKUTAKA KUMJIBU YES OR NO,Nilijaribu tu kumuambia,inawezekana VIPI "ASKARI" WOTE WATANO waondoke kwenye gari ambayo ndugu Jumbe(MTEKWAJI) alikuwemo na kupambana kupambana na BODABODA?

Kuna "principle-KANUNI" MOJA ya Ulinzi/VITA inaitwa "Concetration to the AIM",Askari wenye mafunzo hawawezi kufanya "UJINGA" AMBAO JUMBE "ANATUJAZA".

Kama ni kweli basi SIO JESHI WALA VYOMBO AMBAO walimteka Jumbe.INAWEZEKANA JUMBE ANA ISHU ZAKE ZA KITAA

Leo wakati nasoma COMMENT YA kaka yangu Mwandambo,nikacheka sana,swali lake ni lile lile👇🏽👇🏽

Inawezekana vipi TARGET ONE" -MKEKWAJI) AACHAWE KWENYE GARI,ILI KWENDA KUPAMBANA NA TARGET 2?(BODABODA)?😅😅😅

Chadema wanafeli sana.HAUWEZI KUMTOA TUNDU LISSU GEREZANI KWA DRAMA ....
 
View attachment 3593203

Acha UJINGA kama kweli ni drama za Chadema mbona police ndio waliofungua pingu? Mungu akitaka kumuokoa mtu ana njia nyingi. Kupitia hili tukio ndio sababu ya mafwele kufungiwa kwenda USA. Japo wametoa sababu nyingine nyingine.
Na huu utawala unazidi kupoteza, Tena ndio sababu ya vurugu na kutokuwa na amani na utulivu Tanzania. Hamuwezi kuongoza nchi kwa utekaji, kiburi, na ubabe lazima muwe wa sikivu kwa wananchi mnaowaongoza. Hata vyombo vya ulinzi wameanza kuwachoka ni suala la muda kutalipuka
 
View attachment 3593203

Na Dr. Zack✍️.

Jana mida ya saa moja jioni kaka yangu mmoja Mwalimu,Chuo cha Ualimu Wilayani Rungwe alinipigia.Alikuwa anataka "opinioni-MAONI" yangu kutokana na "kituko" cha Chadema cha KUTEKWA kwa Msaidizi wa Ndugu Lissu.

Swali lake kubwa ilikuwa ni je,hiki TUKIO LA KUTEKWA LA BWANA YULE sio kisa cha kutengenezwa?SIKUTAKA KUMJIBU YES OR NO,Nilijaribu tu kumuambia,inawezekana VIPI "ASKARI" WOTE WATANO waondoke kwenye gari ambayo ndugu Jumbe(MTEKWAJI) alikuwemo na kupambana kupambana na BODABODA?

Kuna "principle-KANUNI" MOJA ya Ulinzi/VITA inaitwa "Concetration to the AIM",Askari wenye mafunzo hawawezi kufanya "UJINGA" AMBAO JUMBE "ANATUJAZA".

Kama ni kweli basi SIO JESHI WALA VYOMBO AMBAO walimteka Jumbe.INAWEZEKANA JUMBE ANA ISHU ZAKE ZA KITAA

Leo wakati nasoma COMMENT YA kaka yangu Mwandambo,nikacheka sana,swali lake ni lile lile👇🏽👇🏽

Inawezekana vipi TARGET ONE" -MKEKWAJI) AACHAWE KWENYE GARI,ILI KWENDA KUPAMBANA NA TARGET 2?(BODABODA)?😅😅😅

Chadema wanafeli sana.HAUWEZI KUMTOA TUNDU LISSU GEREZANI KWA DRAMA ....
Ilikuwaje hao watekaji wafike na kuingia maeneo ya idara ya usalama wa taifa na kujibanza humo ndani?Waliokuwepo waliwakamata?Taarifa?Acha kuandika ujingaujinga kama unapigwa miti.
 
View attachment 3593203

Na Dr. Zack.

Jana mida ya saa moja jioni kaka yangu mmoja Mwalimu,Chuo cha Ualimu Wilayani Rungwe alinipigia.Alikuwa anataka "opinioni-MAONI" yangu kutokana na "kituko" cha Chadema cha KUTEKWA kwa Msaidizi wa Ndugu Lissu.

Swali lake kubwa ilikuwa ni je,hiki TUKIO LA KUTEKWA LA BWANA YULE sio kisa cha kutengenezwa?SIKUTAKA KUMJIBU YES OR NO,Nilijaribu tu kumuambia,inawezekana VIPI "ASKARI" WOTE WATANO waondoke kwenye gari ambayo ndugu Jumbe(MTEKWAJI) alikuwemo na kupambana kupambana na BODABODA?

Kuna "principle-KANUNI" MOJA ya Ulinzi/VITA inaitwa "Concetration to the AIM",Askari wenye mafunzo hawawezi kufanya "UJINGA" AMBAO JUMBE "ANATUJAZA".

Kama ni kweli basi SIO JESHI WALA VYOMBO AMBAO walimteka Jumbe.INAWEZEKANA JUMBE ANA ISHU ZAKE ZA KITAA

Leo wakati nasoma COMMENT YA kaka yangu Mwandambo,nikacheka sana,swali lake ni lile lile

Inawezekana vipi TARGET ONE" -MKEKWAJI) AACHAWE KWENYE GARI,ILI KWENDA KUPAMBANA NA TARGET 2?(BODABODA)?

Chadema wanafeli sana.HAUWEZI KUMTOA TUNDU LISSU GEREZANI KWA DRAMA ....
Jiulize kwanza,

Ilikuwaje risasi zilizoelekezwa kwa Tundu Lissu zilishindwa kumuua? Je, alikuwa sio target? Au bado unakataa hawakuwa polisi?

Ilikuwaje kundi kubwa la watu wafanye mafunzo ya kupindua nchi mita 10 tu kutoka kituo cha polisi kwa miezi kadhaa na polisi wasijue? Hii maana yake Chande anajaribu kuuambia nini ulimwengu kuhusu mafunzo ya polisi wa Tanzania?

Yule mfanyabiashara aliyetekwa mitaa ya kimara, akafungwa pingu lakini wakashindwa kumuingiza kwenye gari yeye hakuwa target number moja? Au bado huamini kama wale walikuwa polisi? Nenda ukaombe profile yao kwenye mahakama iliyowatia hatiani ujue walikuwa kina nani. Wao hawakupata mafunzo?
 
View attachment 3593203

Na Dr. Zack✍️.

Jana mida ya saa moja jioni kaka yangu mmoja Mwalimu,Chuo cha Ualimu Wilayani Rungwe alinipigia.Alikuwa anataka "opinioni-MAONI" yangu kutokana na "kituko" cha Chadema cha KUTEKWA kwa Msaidizi wa Ndugu Lissu.

Swali lake kubwa ilikuwa ni je,hiki TUKIO LA KUTEKWA LA BWANA YULE sio kisa cha kutengenezwa?SIKUTAKA KUMJIBU YES OR NO,Nilijaribu tu kumuambia,inawezekana VIPI "ASKARI" WOTE WATANO waondoke kwenye gari ambayo ndugu Jumbe(MTEKWAJI) alikuwemo na kupambana kupambana na BODABODA?

Kuna "principle-KANUNI" MOJA ya Ulinzi/VITA inaitwa "Concetration to the AIM",Askari wenye mafunzo hawawezi kufanya "UJINGA" AMBAO JUMBE "ANATUJAZA".

Kama ni kweli basi SIO JESHI WALA VYOMBO AMBAO walimteka Jumbe.INAWEZEKANA JUMBE ANA ISHU ZAKE ZA KITAA

Leo wakati nasoma COMMENT YA kaka yangu Mwandambo,nikacheka sana,swali lake ni lile lile👇🏽👇🏽

Inawezekana vipi TARGET ONE" -MKEKWAJI) AACHAWE KWENYE GARI,ILI KWENDA KUPAMBANA NA TARGET 2?(BODABODA)?😅😅😅

Chadema wanafeli sana.HAUWEZI KUMTOA TUNDU LISSU GEREZANI KWA DRAMA ....
Iwapoi ni Dr. Lazima uwe wa jalalani!
 
Huyu kaandika akiwa na theory kwamba hao jamaa wana akili na tunajua wazi kuwa wote ni la saba au form 4 failure
 
View attachment 3593203

Na Dr. Zack✍️.

Jana mida ya saa moja jioni kaka yangu mmoja Mwalimu,Chuo cha Ualimu Wilayani Rungwe alinipigia.Alikuwa anataka "opinioni-MAONI" yangu kutokana na "kituko" cha Chadema cha KUTEKWA kwa Msaidizi wa Ndugu Lissu.

Swali lake kubwa ilikuwa ni je,hiki TUKIO LA KUTEKWA LA BWANA YULE sio kisa cha kutengenezwa?SIKUTAKA KUMJIBU YES OR NO,Nilijaribu tu kumuambia,inawezekana VIPI "ASKARI" WOTE WATANO waondoke kwenye gari ambayo ndugu Jumbe(MTEKWAJI) alikuwemo na kupambana kupambana na BODABODA?

Kuna "principle-KANUNI" MOJA ya Ulinzi/VITA inaitwa "Concetration to the AIM",Askari wenye mafunzo hawawezi kufanya "UJINGA" AMBAO JUMBE "ANATUJAZA".

Kama ni kweli basi SIO JESHI WALA VYOMBO AMBAO walimteka Jumbe.INAWEZEKANA JUMBE ANA ISHU ZAKE ZA KITAA

Leo wakati nasoma COMMENT YA kaka yangu Mwandambo,nikacheka sana,swali lake ni lile lile👇🏽👇🏽

Inawezekana vipi TARGET ONE" -MKEKWAJI) AACHAWE KWENYE GARI,ILI KWENDA KUPAMBANA NA TARGET 2?(BODABODA)?😅😅😅

Chadema wanafeli sana.HAUWEZI KUMTOA TUNDU LISSU GEREZANI KWA DRAMA ....
Kwa akili yako, unaona ni rahisi zaidi kuamini kuwa CHADEMA wame engineer msaidizi wa Mwenyekiti atekwe, afungwe pingu (CHADEMA wana access na pingu) apigwe na vitako vya bunduki na kuteswa KULIKO kuamini kuwa askari watano wametoka ndani ya gari wakimwacha mfungwa kwenye pingu akiwa kapigwa, wakiamini hawezi kutoroka? Na polisi kusema wapewe access ya huyu jamaa wamfungulie pingu (Sijui nani kawaambia kafungwa pingu). Kuna matatizo makubwa na reasoning capacity yako. Ni kama ya Samia alivyosema polisi waliofunzwa hawawezi kupiga risasi 40 na mtu asife hivyo waliompiga risasi Tundu sio polisi.
 
Kwamba pingu chadema wanazimiliki? Huyo mwandambo unayemtaja amewahi kupitia mafunzo ya utekaji au wewe umewahi kupitia mafunzo ya utekaji? Kwamba chadema inaweza kumdhuru mfuasi wake Kwa kupasua kichwa? Kwamba chadema ndio walimpeleka ndugu Djumbe kwenye msitu wa usalama wa Taifa unaolindwa masaa yote? Kwamba Golugwa aliposema alimpigia mafwele ambaye alimjibu kuwa hizo pingu ngumu sana unamaanisha mafwele alifahamu kuwa pingu hizo alizowekewa na chadema ni ngumu sana? Kwamba yule Askari aliyeenda Ofisi za chadema na kumhoji Golugwa kuwa kumbe ametoroka Askari alikuwa ni mpango wa chadema?
Nyie wajinga wajinga pamoja na huyo mwandambo ni swala la muda tu mtaona moto wenu kama hamtakimbia nchi au kujiuwa, wajinga nyinyi kama viongoz wenu huko ccm wanaoendesha magenge ya kuuwa watu na kufila.
 
View attachment 3593203

Na Dr. Zack✍️.

Jana mida ya saa moja jioni kaka yangu mmoja Mwalimu,Chuo cha Ualimu Wilayani Rungwe alinipigia.Alikuwa anataka "opinioni-MAONI" yangu kutokana na "kituko" cha Chadema cha KUTEKWA kwa Msaidizi wa Ndugu Lissu.

Swali lake kubwa ilikuwa ni je,hiki TUKIO LA KUTEKWA LA BWANA YULE sio kisa cha kutengenezwa?SIKUTAKA KUMJIBU YES OR NO,Nilijaribu tu kumuambia,inawezekana VIPI "ASKARI" WOTE WATANO waondoke kwenye gari ambayo ndugu Jumbe(MTEKWAJI) alikuwemo na kupambana kupambana na BODABODA?

Kuna "principle-KANUNI" MOJA ya Ulinzi/VITA inaitwa "Concetration to the AIM",Askari wenye mafunzo hawawezi kufanya "UJINGA" AMBAO JUMBE "ANATUJAZA".

Kama ni kweli basi SIO JESHI WALA VYOMBO AMBAO walimteka Jumbe.INAWEZEKANA JUMBE ANA ISHU ZAKE ZA KITAA

Leo wakati nasoma COMMENT YA kaka yangu Mwandambo,nikacheka sana,swali lake ni lile lile👇🏽👇🏽

Inawezekana vipi TARGET ONE" -MKEKWAJI) AACHAWE KWENYE GARI,ILI KWENDA KUPAMBANA NA TARGET 2?(BODABODA)?😅😅😅

Chadema wanafeli sana.HAUWEZI KUMTOA TUNDU LISSU GEREZANI KWA DRAMA ....
Screenshot_20260520-120305~2.png
 
Kwa akili yako, unaona ni rahisi zaidi kuamini kuwa CHADEMA wame engineer msaidizi wa Mwenyekiti atekwe, afungwe pingu (CHADEMA wana access na pingu) apigwe na vitako vya bunduki na kuteswa KULIKO kuamini kuwa askari watano wametoka ndani ya gari wakimwacha mfungwa kwenye pingu akiwa kapigwa, wakiamini hawezi kutoroka? Na polisi kusema wapewe access ya huyu jamaa wamfungulie pingu (Sijui nani kawaambia kafungwa pingu). Kuna matatizo makubwa na reasoning capacity yako. Ni kama ya Samia alivyosema polisi waliofunzwa hawawezi kupiga risasi 40 na mtu asife hivyo waliompiga risasi Tundu sio polisi.
Naomba kuuliza pingu walipozifungua zilienda wapi au waliondoka nazo k
 
Back
Top Bottom