Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Museveni aliyempa maharamia ya kuja kuua watoto wa Tanganyika yeye alimaliza Uchaguzi uliokuwa na mikiki mikiki yote lakini hakuua hata mbu. Kagame alishangaa unawezaje kuua watu ambao kimsingi...
3 Reactions
7 Replies
197 Views
Tanzania ni Nchi huru na isiyoweza kuingiliwa na Nchi nyingine kwenye masuala yake ya ndani. Sasa, kwa nini tunawa-bembeleza waa-Amerika wasituwekee vikwazo? Kwa nini tusiwapuuze waa-Amerika kwa...
0 Reactions
1 Replies
93 Views
Humphrey Polepole ndiye angekuwa kiungo cha Maridhiano Nchini na Duniani.
11 Reactions
25 Replies
634 Views
Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Sisi Watanzania tuna utamaduni wa kuchangiana kwenye sherehe au misiba, hivyo ili Tanzania tuweze kupata maendeleo ya kweli...
4 Reactions
16 Replies
257 Views
Lissu kashindikana mafisadi watajaribu kila njia . Asiamini hata watu ndani ya Chadema. Hawawezi kumshinda kwa hoja, kukubalika kwenye jamii, akili, kutokuwa fisadi, na kujitoa muhanga. Hivyo...
3 Reactions
10 Replies
195 Views
Tanzania inahitaji fidia kutoka kwa mabeberu yaliyochota mali na kuchukua watu utumwani. Hii ni sambamba na kutoa idadi kamili ya maafa yaani waliouawa kwa mijeledi na kunyongwa nyakati za ukoloni
2 Reactions
30 Replies
436 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hicho ni kiapo chetu watanzania,Ni Kiapo Cha Ulinzi kwa Rais wetu ,ni kiapo cha Utetezi kwa Rais wetu, ni kiapo cha Utii kwa Rais wetu ,Ni kiapo cha kutomsaliti Jemedari...
4 Reactions
86 Replies
1K Views
Hilo Kundi linadai kua 'Mali zao na Fedha walizipata tangu za Nyerére, Mwingi, Mkapa, Kikwete, Magufuli. Kundi hili linasema kwa namna yoyote, Mali na Fedha zao hazina uhusiano na SAMIA. Kundi...
13 Reactions
28 Replies
791 Views
Wananchi wanahanhaika kupata hata maji safi, dawa na hata chakula tu. Alafu Waziri mwenye dhamana na wizara ya afya anaenda Bungeni na mkoba wenye thamani ya mil 14. Hayati Magufuli alikuwa na...
14 Reactions
140 Replies
2K Views
  • Redirect
Kombo: Polisi ukimlengea jiwe utaona, general oder yake inamwambia attack first. Tumeshaliponya Taifa acheni chokochoko
0 Reactions
Replies
Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Babati mkoani Manyara, imetoa zuio la muda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuchukua hatua zozote kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Amri ya...
1 Reactions
39 Replies
971 Views
Habari za Jumapili. 1. Ndugu zangu bado tupo kwenye Wajibu. 2. Vyovyote iwavyo asitokee mtu akauawa. Ni hatari sana. 3. Muibie mtu atakusamehe ukimrudishia fidia. Mfunge MTU kwa kesi hata za...
5 Reactions
23 Replies
633 Views
Kwenye mahojiano na Jamhuri TV, Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema kwenye Vita ya Kagera, vijana wengi waliuawa na adui. Aidha, ukilinganisha na takwimu zinazozungumziwa sasa, idadi ya waliokufa...
43 Reactions
79 Replies
3K Views
  • Redirect
Pamoja na wauaji kulipa $45,000 kila mwezi kusaidia sera ziwe rafiki ya wauaji wetu bado imegoma. Hongera kwa wakina Libe , Katili na Fue kwa kazi kubwa ya kuongea na Ma senator wa Marekani...
1 Reactions
Replies
Views
Kiongozi wa dini wa mchongo eti anaitaka serikali ya Marekani iwakemee Maseneta mara moja utadhani anamwamlisha mke wake, hivi huyu anamjua Trump.
14 Reactions
56 Replies
1K Views
Mwandishi wa habari mkongwe Pascal Mayalla amesema kuwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 1995, ambao ulikuwa uchaguzi wa kwanza wa mfumo wa vyama vingi nchini, alitangaza kuwa Maalim Seif Sharif...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge, amesema mataifa ya nje (mabeberu) yanatumia mmomonyoko wa maadili na uzushi wa mitandaoni kama silaha ya...
0 Reactions
17 Replies
232 Views
Rais Mteule wa Senegal Bassirou Diomaye Faye Asikubali kamwe kuwa Rais kivuli na WA kupangiwa na Kuendeshwa na Bwana Ousmane Sonko ambae anajiona ndio amefanikisha Jamaa kuwa Rais. Mara kadhaa...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Tulitoa angalizo mapema kuwa hili litakuja kutuletea matatizo, SA kajibiwa live kwa sababu ni big fish sisi tutajibiwa kimya kimya. US house of Foreign Affairs: No friend of the Ayatollah is a...
2 Reactions
6 Replies
315 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…