Rais Samia akemwa Nepotism katika ajira za serikali

Rais Samia akemwa Nepotism katika ajira za serikali

Yaani Uraisi sio taasisi tena?

Kujaza mawaziri vilaza toka Zanzibar kwenye baraza la mawaziri, hadi wakwe na watoto wako, watoto wa rafiki zako na rafiki zako kama kina Riz, Makonda nk huku ukiwaondoa mawaziri very capable toka bara, kuteua wazanzibar tele kuwa wakurugenzi huku bara, sio nepotism?

Kweli nyani...
 
Matumizi ya elimu mbalimbali. Huu ndio wakati wake muafaka. Msingi na sekondari na chuo haviungani mpaka viunganishwe kwa kutumia bolts. ili kitokee cheti cha chuo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Msikilize
well done Dr Samia Suluhu Hassan kwa maelekezo,

Yes,
ikiwa mahali fulani kuna changamoto, ni lazima kusisitiza uwajibikaji na kuitafutia ufumbuzi changamoto hiyo haraka iwezekanavyo.

hilo ni jambo muhimu sana,
na hata wana omba ajira, kama huna sifa zinazotakiwa usilalamiki eti fulani kapendelewa wakani anazo sifa zinazohitajika. :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom