Sheikh Jalala: Mabeberu hawatutakii heri,

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,306
Reaction score
11,687
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge, amesema mataifa ya nje (mabeberu) yanatumia mmomonyoko wa maadili na uzushi wa mitandaoni kama silaha ya kuwagawa Watanzania ili kuwapofua wasiione fursa ya utajiri wa rasilimali zao.

Sheikh Jalala ameyasema hayo mara baada ya kuongoza Swala ya Eid El Adha (Eid ya Kuchinja) iliyofanyika katika Msikiti wa Ghadir Khum, uliopo Kigogo Posta mkoani Dar es Salaam.

Sheikh Jalala amesikitishwa na mataifa na watu wa nje wanaolalamika kuwa Tanzania kuna ukandamizaji wa kidini, akitaja kuwa madai hayo ni ya uongo na yana lengo la kupika chuki kwenye "kisiwa cha amani."

Royal Tv
 
Bado hamjasema....
Nyambaaaaaafuuuuu
 
Sheikh Jalala namkubali sana. Na Washia ni watu wenye kutumia akili. Naye amejiingiza kwenye ujinga wa kuisafisha serikali asione ubaya wa utekaji na mauaji ya watu bila sababu za kueleweka?

Sheikh Jalala anaaibisha Washia nchini
 
Hawa mashehe wanaopewa vyeo kwa kujua kusoma Alifu na bee bila kuwa na elimu kichwani msitegemee wakaongea cha maana hata siku moja.
 
Nilidhani huyu nae atakuwa na akili hata kidogo nae ndio yale yale..
Waislam tuna shisa gani sijui, viongozi wetu vichwani chenga kidogo.. bora hata wale walioamua kukaa kimya, kuliko hawa waliofichua upumbavu wao
 
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge, amesema mataifa ya nje (mabeberu) yanatumia mmomonyoko wa maadili na uzushi wa mitandaoni kama silaha ya kuwagawa Watanzania ili kuwapofua wasiione fursa ya utajiri wa rasilimali zao.

Sheikh Jalala ameyasema hayo mara baada ya kuongoza Swala ya Eid El Adha (Eid ya Kuchinja) iliyofanyika katika Msikiti wa Ghadir Khum, uliopo Kigogo Posta mkoani Dar es Salaam.

Sheikh Jalala amesikitishwa na mataifa na watu wa nje wanaolalamika kuwa Tanzania kuna ukandamizaji wa kidini, akitaja kuwa madai hayo ni ya uongo na yana lengo la kupika chuki kwenye "kisiwa cha amani."

Royal Tv
Sheikh Jalala
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
sheikh Jalala yupo sahihi kabisa 100%,

takbirriii!🐒
 
Sheikh anaamini hatujui kuwa Tanzania ina rasilimali nyingi au mimi ndio sijaelewa?
 
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge, amesema mataifa ya nje (mabeberu) yanatumia mmomonyoko wa maadili na uzushi wa mitandaoni kama silaha ya kuwagawa Watanzania ili kuwapofua wasiione fursa ya utajiri wa rasilimali zao.

Sheikh Jalala ameyasema hayo mara baada ya kuongoza Swala ya Eid El Adha (Eid ya Kuchinja) iliyofanyika katika Msikiti wa Ghadir Khum, uliopo Kigogo Posta mkoani Dar es Salaam.

Sheikh Jalala amesikitishwa na mataifa na watu wa nje wanaolalamika kuwa Tanzania kuna ukandamizaji wa kidini, akitaja kuwa madai hayo ni ya uongo na yana lengo la kupika chuki kwenye "kisiwa cha amani."

Royal Tv
Kazi ya jalala inajulikana
 
Ila hawa jamaa yaan wakishashiba mfukoni awe na buku 20 huku ameweka toothpick mdomon wanaona washamaliza kila kitu duniani!! Kibaya zaid elimu ya kuchanganua mambo kwa kina hawana, wao huenda na upepo tu.
 
sheikhe jalala, jalala? hawa watu mbona wana majina ya ajabu ajabu?
 
Back
Top Bottom