Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika mahojiano ya hivi karibuni na M&S Podcast, Mahita amesema kuwa mamlaka za kiserikali zilionesha hekima na ustahimilivu mkubwa kwa kukataa kuingizwa katika mtego wa mapambano ya ghasia...
1 Reactions
3 Replies
164 Views
I was thinking people like IGPs should be different, at least ... repect! ------------------------- House girl sues Mahita over child upkeep FAUSTINE KAPAMA Daily News; Wednesday,September...
4 Reactions
151 Replies
31K Views
Nimeisoma hoja ya mwandishi nguli na mwanasheria, Paschal Mayalla, akihoji: "Nani alitoa amri ya kufyatua risasi?" Ni haki yake kikatiba kutoa maoni, lakini kama mwanasheria na mtu aliyekulia...
9 Reactions
56 Replies
1K Views
"IGP Mstaafu, Omary Mahita kusema wanasiasa wanaingilia jeshi. Tumekuwa tukisema siku zote kwamba sasa hivi vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, mwananchi wa kawaida hawezi kuchora mstari kusema...
6 Reactions
14 Replies
362 Views
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akifanya Mahojiano na Clouds Media leo Mei 28, 2026 "Kuwa na bunge ambalo ni 96% ni chama kimoja huwezi kupata fikra tofauti. Kwa hiyo...
0 Reactions
1 Replies
112 Views
Salaam Wakuu, Kabla ya Yote naomba niwakumbushe, asilimia 98 ya Watu wanaopotezwa, Kutekwa na kuuawa Nchi Tanzania ni Wakristo. Hivyo nakubaliana na hatua zozote Marekani itachukua dhidi ya...
20 Reactions
65 Replies
2K Views
Kwa miaka ya hivi karibuni, maisha ya wananchi wa kawaida yameendelea kuwa magumu kutokana na kupanda kwa gharama za maisha. Bei za mafuta zimepanda, na matokeo yake yameonekana moja kwa moja...
4 Reactions
5 Replies
288 Views
Huku Afrika kipimo cha uzalendo ni kukubali kuteseka, kuficha ukweli uwazi, kutokuwajibika yaani viongozi wa sub sahara wanataka watu wateseke na kujivunia shida zao kama wazalendo, wananchi...
0 Reactions
1 Replies
119 Views
  • Redirect
Moja ya msingi mkuu wa kwenda kufuta dhambi na kutubu kwa yote ambayo mabaya kiumbe uliyoyafanya. Binaadam ktk maisha unakosea na fursa imetolewa kitubu, sisi waislam moja ya fursa hio ni hijja...
0 Reactions
Replies
Views
"Ni kama watawala wetu wanatamani the Chinese way. Wanatamani eh mfumo wetu ungekuwa kama CCP, the Chinese Communist Party. Ninavyoona. Lakini wale China, pamoja na kwamba ni chama kimoja, eh...
2 Reactions
2 Replies
137 Views
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akifanya Mahojiano na Clouds Media leo Mei 28, 2026 "Inaonekana wazi kwamba mazingira yetu sasa hivi ya watu ambao bado wako active kwenye...
1 Reactions
0 Replies
129 Views
Ukisoma hiki kifungu namba 5 kwenye huu mswaada ambao kiuhalisia lazima baadhi ya viongozi wataingia kwenye shida hii kubwa Nimejiuliza Sana mwenyewe kuwa kwanini serikali omepaniki Sana nikaja...
15 Reactions
48 Replies
1K Views
Kauli ya IGP wa Kenya Kwa Askari wa Kenya "Now, enforcement officers najua mko na kazi ngumu, but I want to appeal to you that even as you carry out enforcement duties, let us do it with a human...
2 Reactions
12 Replies
249 Views
  • Redirect
Someni Bill ya USA ya kuifungia Tanzania
0 Reactions
Replies
Views
Kaa mkao wa kula nakuletea full text ya mswada kwenye huu uzi. Kama wewe ni MwanaCCM read at your own risk.
15 Reactions
41 Replies
848 Views
Dar es Salaam 14 Mei, 2026 YAH: KUVUNJWA KWA BODI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amevunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa...
4 Reactions
43 Replies
1K Views
HARAKATI siku zote huwa zina lengo la kupambania yale ambayo tunadhani hayako sawa kwenye jamii na yale ambayo tunadhani yalitakiwa kufanywa kwa mtazamo mwingine kabisa na huwa zinakuwa na lengo...
0 Reactions
2 Replies
158 Views
Tusiwe tunapelekwa kama mazuzu wakati Vitabu vya sheria na Kanuni vimeandikwa vipo. Ili kujiridhisha na ulichokisema Jana kwenye bunge lenu tuambie ni kifungu gani cha PGO kinachosema Mtu...
9 Reactions
17 Replies
310 Views
Kuhusu dhambi ya kuua binadamu mwenzako (kumwaga damu ya mwanadamu), Mungu Yehova katika Biblia anaweka wazi kabisa madhara/matokeo yake 👇🏻 Mwanzo 9:6 SUV "....Atakayemwaga damu ya mwanadamu...
6 Reactions
10 Replies
334 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…