Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,753
- 40,311
Tusiwe tunapelekwa kama mazuzu wakati Vitabu vya sheria na Kanuni vimeandikwa vipo. Ili kujiridhisha na ulichokisema Jana kwenye bunge lenu tuambie ni kifungu gani cha PGO kinachosema Mtu akielekeza jiwe Kwa Polisi he has to shoot at first kama ulivojinasibu Jana.
Kama hutataja basi toka hadharani useme dhahiri ulidanganya.
Pia soma Waziri Kombo: Raia akimrushia jiwe polisi, general order yake inamwambia 'Attack first'
Kama hutataja basi toka hadharani useme dhahiri ulidanganya.
Pia soma Waziri Kombo: Raia akimrushia jiwe polisi, general order yake inamwambia 'Attack first'