Rais Samia ampandisha cheo ACP Jumanne Muliro kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Muliro Jumanne Muliro, kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (Senior Assistant Commissioner of Police-SACP).

Taarifa iliyotolea na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP,) Camillius Wambura, imeeleza kuwa SACP Jumanne Muliro Jumanne amepandishwa cheo hicho kuanzia Februari 20, mwaka huu 2023.
Muliro.jpg

Muliro 1.jpg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Muliro Jumanne Muliro, kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (Senior Assistant Commissioner of Police-SACP).

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP,) Camillius Wambura, amesema SACP Jumanne Muliro Jumanne amepandishwa cheo hicho kuanzia Februari 20, mwaka huu.
Tanzania_Police_-_Kamishina_Msaidizi_Mwandamizi_wa_Polisi.gif
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Muliro Jumanne Muliro, kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (Senior Assistant Commissioner of Police-SACP).

Taarifa iliyotolea na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP,) Camillius Wambura, imeeleza kuwa SACP Jumanne Muliro Jumanne amepandishwa cheo hicho kuanzia Februari 20, mwaka huu 2023.
Tutarajie kulamba Teuzi kubwa
 
Nadhani alifanya kazi nzuri kufyeka panyaroad,

Hongera sakap muriro, kwa kiha muriro ni mota wachu!

Nimeona pale kwenye kahawa mtaani kwao kigoma wanateta jambo.

Hongera tena afande.
Wacha uongo; murilo kwa kiha ni unyevu.
Mkimaliza mtuambia sasa maana ya Muliro ni ipi, maana hapa mnabishania 'Muriro' na 'Murilo'
 
Back
Top Bottom