Bendera ya Tanzania kubandikwa na Mtanzania kwenye shamba lake ni kosa vipi bongo zozo kuitembeza nchi mbalimbali

Bendera ya Tanzania kubandikwa na Mtanzania kwenye shamba lake ni kosa vipi bongo zozo kuitembeza nchi mbalimbali

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,160
Reaction score
11,362
Mimi nilifundishwa kuieshimu Bendera ya Tanzania, nilifundishwa ikiwa Ina shushwa au inapandishwa Mimi nisimame MGUU sawa na kubana makalio yangu nisije Jamba ili Hali inapandishwa au kushushwa POPOTE pale.

Leo Kuna mtanzania ametandaza bendera za Taifa kwenye shamba lake sijui alizinunua wapi?
Sijui alipewa kama Bongo Zozo?

Akiwa na mpango wa kuzindua siku ya mapenzi Duniani amezitandaza shambani kwake kote Sasa anasakwa na jeshi la polisi je ni kosa?

Bendera ya Tanzania kubandikwa na mtanzania kwenye shamba lake ni kosa vipi bongo zozo kuitembeza nchi mbalimbali uku akijifutia jasho kila anapotoka kuoga au kumgegeda mkewe nani aloyekosea?

Bendera ya nchi yangu imeshuka thamani yake sanaaa tutafakari kwa pamoja
 
Back
Top Bottom