KAMATI YA BUNGE YAISHAURI TAMISEMI USIMAMIZI WA MIRADI YA ELIMU
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) imeshauri Ofisi ya Rais, TAMISEMI kusimamia miradi...
Njia ya hakika ya kuwa na dola za kutosha ni kuwa na trade surplus. Yaani uuze kuliko unavyonunua. Lakini hili halipo karibu kwa nchi zote za Afrika. Sasa mbinu iliyobaki ni kukabiliana/kumanage...
Wakuu,
Haya ni baadhi ya majibu kutoka kwenye uzi huu;
Kwanini hupigi kura licha ya kuwa una sifa zinazokuruhusu kufanya hivyo?
Majibu haya yanaakisi majibu ya wengi juu ya zoezi la kupiga...
Wamemwaga misaada ya kutosha kwa waathirika wa mafuriko kule Hanang.
Kwa macho ya kawaida unaweza kushukuru sana na kuwamwagia sifa kibao kuwa jamaa ni wanatupenda sana kwa moyo.
Wana Hanang...
Akiongea Mkoani Dar Es Salaam, Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila amesema "Kwa Miezi michache iliyopita nilisema Dar es Salaam hakuna mafuriko, nilikuwa namaanisha huu Mchezo wa kuitikia mafuriko...
Eneo la Jangwani ilipo Karakana ya Mwendokasi imekuwa ikipigiwa kelele muda mrefu na wadau wa mazingira kuwa ujenzi wake haukuzingiatia tathmini iliyofanywa na NEMC wala haukuzingatia sheria za...
Mwenezi wa CCM Bwana "Daudi Albert Bashite" al maaruf kama Po Makonda, amekuwa na kauli tofauti tofauti dhidi ya mtu yeyote.
So far kishawazodoa karibu viongozi wote,wa kisiasa na kidini...
Fred Lowassa akihojiwa na Millard baada msiba wa Lowassa ameongea mambo kadhaa kuhusu baba yake. Moja ya swali aliloulizwa ni kipi hawezi kusahau kutoka kwa baba yake.
Fred amesema kitu kikubwa...
Nchi ndogo ya Malawi iliyojaa akili nyingi kwa miaka mingi haijawahi kukumbwa na Uhaba wa sukari. Bali mara zote inazidiwa na sukari kiasi cha kuruhusu ivushwe Tanzania ili kuokoa Uhaba wa sukari...
Chifu wa kabila la Wasafwa jijini Mbeya Chifu Rocket Mwashinga amesema anashangaa kusikia kwenye vyombo vya habari maneno yanazungumzwa kwamba machifu wa mbeya wameungana na msafara wa maandamano...
Mpo salama bila shaka!
Mahasimu wakubwa wakihistoria katika imani na dini ambao ni Mungu muumbaji na Lusifa ambaye huitwa shetani licha ya uhasimu wao karibu kutoana roho na kutaka kupinduana...
Mradi wa kuboresha huduma ya maji Bonyokwa uliofikia asilimia 70 ya utekelezaji wake huku ukihusisha ujenzi wa bomba kubwa na kufunga pampu ya kusukuma maji (Booster pump) unatajwa kwenda kujibu...
Lengo la serikali la mfumuko wa bei wa 3% kwa wakati wote halina mashiko sana kwa sababu mfumo wa bei unatakiwa uendane na uhalisia wa hali ya ajira pamoja na hali ya rasilimali fedha na ardhi...
Katibu Mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema takribani miezi miwili sasa Jiji la DSM lina sintofahamu ya Maji na DAWASA hawatoi taarifa yoyote
Mnyika anauliza " DAWASA mnataka tufanye maandamano?"
Kama nchi, tupo katika hali mbaya sana, karibia katika kila eneo.
Siamini kuwa tukichagua wapinzani, mambo yatabadilika mara moja na kuwa mazuri. Uharibifu ufanywe kwa miongo mingi, halafu...
Umeme umekuwa shida kuu hapa nchini, kila kona ni vilio kutokana na uhaba wa umeme.
Mama hasikii kilio cha wanae, tumekuwa watoto yatima ingawa tunaye mzazi.
Nani atakuja kusikia kilio cha...
Ndugu zangu Watanzania,
Mara nyingi sana huwa nawaza sana kuwa CHADEMA huwa inaokota wapi viongozi wake aina ya Godbless Lema ambao bado hawajakomaa na kupevuka kiakili katika masuala ya siasa na...
Lowassa hakuwa Mmasai bali ni Mmeru aliyezaliwa umasaini;
Hakuna mtu aliyefika matanga ya Lowassa na kupata nafasi ya kuongea ambaye hajawahi kumsema Lowassa vibaya;
Lowassa na Kikwete...
Mbunge wa jimbo la vunjo mhe dkt charles stephen kimei atikisa bunge leo kwa mchango wake uliojaa ushauri murua ya namna ya kuongeza pato la taifa, kuzalisha ajira na kuboresha maisha ya kila...
Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametoa kauli hiyo baada ya kufika kutoa pole ya Msiba nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa aliyefariki dunia Februari 10, 2024...