Dkt. Kimei, ashauri mikopo ya mabenki ilenge sekta za uzalishaji na biashara

MTANZANIA620

Member
Jun 20, 2023
34
30
Mbunge wa jimbo la vunjo mhe dkt charles stephen kimei atikisa bunge leo kwa mchango wake uliojaa ushauri murua ya namna ya kuongeza pato la taifa, kuzalisha ajira na kuboresha maisha ya kila mtanzania

Ashauri mikopo ya mabenki ilenge sekta za uzalishaji na biashara

Ashauri benki zenye mitaji ya serikali kulenga start up's, kuwapa wajasiriamali uatamizi na usimamizi ili wakue

Ashauri serikali ikope katika mabenki ya kibiashara ili kutunisha mifuko ya uwezeshaji utakaotoa dhamana kwa wakopaji ikiwemo mfuko wa kukopesha vijana, wanawake na watu wenye ulemavu kupitia mfumo wa 4-4-2

Asema utaratibu huu utaingiza fedha kwenye mzunguko, utakuza pato la taifa na kuboresha maisha ya kila mtanzania

Mchango wake wamuibua mbunge wa geita vijijini mhe dkt joseph kasheku msukuma kumpongeza

Sent from my infinix x678b using jamiiforums mobile app
 
Hii idea mbaya, ukakope pesa kwenye mabank ya biashara kwa riba ya 13% ? Kisha uje ufanyishe uatamizi? Kizembe tu hivo ? Bora angesema tuboreshe mfuko wa zile pesa za halmashauri ili kila mtu aweze kopa na ziwafikie wengi zaidiiii,
Ila sio kusema serikali ikakope kwenye bank za kibiashara huo utakuwa mzigo mzito mno kwa serikali
 
Mleta habari ni katibu wa mbunge.
 
😅Mikopo ipo ila vigezo ndio tatizo...Vijana 2a mitaani wengi hawana vigezo ya kukopesheka .

Wengi wanaochukua mikopo ni watumishi wa umma na wafanyabiasha wakubwa weny dhamana.

Serikali ikitaka kuongeza pato la watanzania kwa kuchochoa mzunguko wa pesa lazima kwa waboreshe mishahara na maslahi ya watumishi wa umma ,maana hao wengi ndio wanakopa kama mtu analipwa angalau 3.5 mil anaweza kuchukua mkopo hata wa million 60 na zaidi atafanya biashara haswa walimu wa vijijini kweny ishu za kulima.

Kama mabank ndio Magufuli alichota pesa huko angalia kilichotokea
 
MBUNGE WA JIMBO LA VUNJO MHE DKT CHARLES STEPHEN KIMEI ATIKISA BUNGE LEO KWA MCHANGO WAKE ULIOJAA USHAURI MURUA YA NAMNA YA KUONGEZA PATO LA TAIFA, KUZALISHA AJIRA NA KUBORESHA MAISHA YA KILA MTANZANIA

ASHAURI MIKOPO YA MABENKI ILENGE SEKTA ZA UZALISHAJI NA BIASHARA

ASHAURI BENKI ZENYE MITAJI YA SERIKALI KULENGA START UP'S, KUWAPA WAJASIRIAMALI UATAMIZI NA USIMAMIZI ILI WAKUE

ASHAURI SERIKALI IKOPE KATIKA MABENKI YA KIBIASHARA ILI KUTUNISHA MIFUKO YA UWEZESHAJI UTAKAOTOA DHAMANA KWA WAKOPAJI IKIWEMO MFUKO WA KUKOPESHA VIJANA, WANAWAKE NA WATU WENYE ULEMAVU KUPITIA MFUMO WA 4-4-2

ASEMA UTARATIBU HUU UTAINGIZA FEDHA KWENYE MZUNGUKO, UTAKUZA PATO LA TAIFA NA KUBORESHA MAISHA YA KILA MTANZANIA

MCHANGO WAKE WAMUIBUA MBUNGE WA GEITA VIJIJINI MHE DKT JOSEPH KASHEKU MSUKUMA KUMPONGEZA

Sent from my Infinix X678B using JamiiForums mobile app
Bilq startups kupigwa jeki tutakuwa na long walk to developments
 
😅Mikopo ipo ila vigezo ndio tatizo...Vijana 2a mitaani wengi hawana vigezo ya kukopesheka .

Wengi wanaochukua mikopo ni watumishi wa umma na wafanyabiasha wakubwa weny dhamana.

Serikali ikitaka kuongeza pato la watanzania kwa kuchochoa mzunguko wa pesa lazima kwa waboreshe mishahara na maslahi ya watumishi wa umma ,maana hao wengi ndio wanakopa kama mtu analipwa angalau 3.5 mil anaweza kuchukua mkopo hata wa million 60 na zaidi atafanya biashara haswa walimu wa vijijini kweny ishu za kulima.

Kama mabank ndio Magufuli alichota pesa huko angalia kilichotokea
Kwa model ya uchumi na siasa zetu hili linawezekana. Walimu wapo mpaka vijijini hawa ukiwajengea uwezo kwa kuboresha mishahara na maslai yao maana fedha inafika kijijini. Huko atajenga atalima atafuga n.k. Hapo itakuwa rahisi kukuza uchumi
 
Kwa kweli kwa sababu ndio weny uwezo mkubwa wa kukoposheka kama watu binafsi ...Hawa wengine wanapewa masharti magumu .

Kutokana na mtazamo za Dr Kimei hapo wachache weny biashara Tayar ndio watapata mikopo ila startup ni ngumu sana labda walegeze masharti
 
Hii idea mbaya, ukakope pesa kwenye mabank ya biashara kwa riba ya 13% ? Kisha uje ufanyishe uatamizi? Kizembe tu hivo ? Bora angesema tuboreshe mfuko wa zile pesa za halmashauri ili kila mtu aweze kopa na ziwafikie wengi zaidiiii,
Ila sio kusema serikali ikakope kwenye bank za kibiashara huo utakuwa mzigo mzito mno kwa serikali
Mabenki ya kibiashara ya nje!
 
MBUNGE WA JIMBO LA VUNJO MHE DKT CHARLES STEPHEN KIMEI ATIKISA BUNGE LEO KWA MCHANGO WAKE ULIOJAA USHAURI MURUA YA NAMNA YA KUONGEZA PATO LA TAIFA, KUZALISHA AJIRA NA KUBORESHA MAISHA YA KILA MTANZANIA

ASHAURI MIKOPO YA MABENKI ILENGE SEKTA ZA UZALISHAJI NA BIASHARA

ASHAURI BENKI ZENYE MITAJI YA SERIKALI KULENGA START UP'S, KUWAPA WAJASIRIAMALI UATAMIZI NA USIMAMIZI ILI WAKUE

ASHAURI SERIKALI IKOPE KATIKA MABENKI YA KIBIASHARA ILI KUTUNISHA MIFUKO YA UWEZESHAJI UTAKAOTOA DHAMANA KWA WAKOPAJI IKIWEMO MFUKO WA KUKOPESHA VIJANA, WANAWAKE NA WATU WENYE ULEMAVU KUPITIA MFUMO WA 4-4-2

ASEMA UTARATIBU HUU UTAINGIZA FEDHA KWENYE MZUNGUKO, UTAKUZA PATO LA TAIFA NA KUBORESHA MAISHA YA KILA MTANZANIA

MCHANGO WAKE WAMUIBUA MBUNGE WA GEITA VIJIJINI MHE DKT JOSEPH KASHEKU MSUKUMA KUMPONGEZA

Sent from my Infinix X678B using JamiiForums mobile app
una hakika bunge lilitikisika?
 
una hakika bunge lilitikisika
 
Kwa biyo kwa kuongea hivi nduo katikisa bunge?

Kazi ipo kwa akili hizi za Wabongo...
 
ASHAURI SERIKALI IKOPE KATIKA MABENKI YA KIBIASHARA ILI KUTUNISHA MIFUKO YA UWEZESHAJI UTAKAOTOA DHAMANA KWA WAKOPAJI IKIWEMO MFUKO WA KUKOPESHA VIJANA, WANAWAKE NA WATU WENYE ULEMAVU KUPITIA MFUMO WA 4-4-2
Sent from my Infinix X678B using JamiiForums mobile app
Kimei mbona kawa mpumbavu kiasi hiki? Serikali ikakope kwenye mabenki ili kuwakopesha start ups? Angesema serikali ichukue zile fedha za halmashauri na kuzipa benki zikopeshe wanaostahili kwa riba nafuu. Kuna nchi jirani imeingia makubaliano na benki ya biashata kuwakopesha watu kwa riba ya 5% ambapo benki huchukua 2.5%. Huu utaratibu wa sasa wa Halmashauri kukopesha makada ambao hawarudishi hela haufai.
 
Bora hivyo yeye analeta biashara za mabank badala aongelee riba nafuu ...Hao startups wapate mazingira rafiki kupewa elimu stahili za ujasiriamali.

Vijana wanakopa halafu wanashindwa .
 
Hii idea mbaya, ukakope pesa kwenye mabank ya biashara kwa riba ya 13% ? Kisha uje ufanyishe uatamizi? Kizembe tu hivo ? Bora angesema tuboreshe mfuko wa zile pesa za halmashauri ili kila mtu aweze kopa na ziwafikie wengi zaidiiii,
Ila sio kusema serikali ikakope kwenye bank za kibiashara huo utakuwa mzigo mzito mno kwa serikali
Zile pesa za UVCCM
 
Mimi siungi mkono serikali kukopa katika benki za biashara maana riba yake ni kubwa na itakuwa mzigo wa mateso kwa watanzania wanyonge.

Halafu pia siafiki wazo la kusema serikali ikope pesa kwa ajili ya kuja kukopesha watu ,mkopo ambao kila mtanzania atawajibika kulipa japo yeye hakukopeshwa . serikali kama ikibidi kukopa basi iwe na katika shughuli mahususi zinazogusa maisha ya watanzania wengi,iwe ni kupitia miradi ya maendeleo au miradi ya huduma za kijamii.lakini tukifuata na kubeba ushauri huo wa Dr kimei tutatumbukia Katika korongo la mzigo wa deni kubwa sana la Taifa lisilo na faida. Unawakopesha watu hela halafu kesho huwaoni hata walikopotelea au wengine wanatafuna mtaji wote .
 
Back
Top Bottom