Mnyika: DAWASA mnataka tufanye maandamano ya Maji DSM ndio mtoe majibu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,012
142,044
Katibu Mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema takribani miezi miwili sasa Jiji la DSM lina sintofahamu ya Maji na DAWASA hawatoi taarifa yoyote

Mnyika anauliza " DAWASA mnataka tufanye maandamano?"

Maji.png
 
Again

Maandamano hayatabadili kitu
M

Hatujawahi kuchange kitu kwa maandamano

Tunakosa good governance
 
Huko dsm ni kumotoo,umeme ziii maji ziii,aiiiii mnaishije sasa?
Huduma za jamii nazo ni kubeg jameni!
Kazi mnayo.
 
Hili suala la Maji linatia aibu sana. Wenye Water Bowser wanaRun Jiji magari yanafanya biashara ile mbayaaa.
Tumewapa Vijana wa Mjini Mamlaka wacha kwanza tusomeshwe namba.

Wale waliosimamia Vzuri mliwaita Washamba na Madikteta.
Watendaji hawaogopi wala kuheshimu watawala!
 
Hili suala la Maji linatia aibu sana. Wenye Water Bowser wanaRun Jiji magari yanafanya biashara ile mbayaaa.
Tumewapa Vijana wa Mjini Mamlaka wacha kwanza tusomeshwe namba.

Wale waliosimamia Vzuri mliwaita Washamba na Madikteta.
Mtanikumbuka 😂🔥
 
Katibu Mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema takribani miezi miwili sasa Jiji la DSM lina sintofahamu ya Maji na DAWASA hawatoi taarifa yoyote

Mnyika anauliza " DAWASA mnataka tufanye maandamano?"
hamna katibu mkuu apo...

pupeti pia alowahi kusema bei ya maharage iwekwe kwenye katiba eti yamepanda bei sana :D
 
Kwa wapumbavu kama nyinyi ndio maana nchi inakosa maji na umeme miaka 60+ ya uhuru, tungekuwa na binadamu wanaojielewa hao wapumbavu wachache wasingefikia hatua hii
na ndio maana hayupo wa kuwaelewa zaidi ya nyinyi wenyewe na kakaundi kenu ka malalamiko na mihemko,

kutwa kucha kulialia tu na hamna mipango mbadala, nani atawafuata wala kuwaskiza sasa :D
 
Mi nilishasahau maji ya bomba. Maana huku kwetu maji ya bomba yaliletwa kipindi cha Magufuli, kabla tulikuwa tunatumia ya visima yenye chumvi. Tumefaidi maji ya bomba kipindi chote. Amekufa na maji hakuna tena. Kibaya zaidi tulishavitelekeza visima.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Mtanikumbuka 😂
 
Baada ya JPM tulihitaji series nyingine ya viongozi watata wa aina ile au zaidi ya aina ile waongoze Kwa miaka mingine 100.

Watanzania wanahitaji fimbo,mijeledi na mateso mengi ili waweze kufanya kazi Kwa bidii na kuacha wizi.
 
Back
Top Bottom