Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza Novemba 5, 2025 katika Mjadala wa Nafasi ya Vyombo vya habari katika uchaguzi wa Tanzania na DW ameelezea kuhusu...
Sisi wazalendo wa kweli tulimkubali John Joseph Pombe Magufuli mapema sana na tulimtetea kadri inavyowezekana dhidi ya kundi la wahuni.Yoyote anayejidai kumpenda Magufuli sasa ni mnafiki...
The issue centers around a proposed U.S. Senate bill called the "Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act", introduced by U.S. Senators Jeanne Shaheen and Ted Cruz in May...
Wanabodi,
Hili ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikitoa pongezi kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Deodatus Balile, kwa uzalendo wake kuhusu kile kilichotokea...
Kiukweli PM unafanya kazi nzuri sana za kutatua kero za wananchi..
Ukitangaza tu ziara sehemu yoyote kiukweli watendaji wa serikali wanawajibika kwa wananchi 100%..juzi ulitangaza kwenda mkoa X...
Huenda hawakujua kwamba wanajiandalia mateso makali na mahangaiko yasiyo na faida wanayopitia hivi sasa kisiasa.
Halafu mbaya zaidi,
nonsense ya No reform No elections ndio inawaathiri na...
Hatuna wasi kuhusu Saba Saba.
Lakini October 29 pia hatukuwa na wasiwasi, lakini ikatokea balaa iliyotokea.
Mpaka sasa watu wanaongea tu inaonekana hawajaamua wafanye nini Saba Saba.
Tunasubiri...
Daa maisha yanabadilika sana ila Nimecheka sana hapo anaposema Waliofahamiana Wakiwa Watumishi wameblock namba zake isipokuwa RC mmja tuu 😁😁😁😁.
Maisha ya Watanzania ndio yalivyo yanazungukwa na...
Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeee
Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
RPC wa mkoa wa Pwani, ACP Salim Morcase amezuia shughuli za Chadema za uzinduzi wa vizimba iliyokuwa ifanywe na Katibu Mkuu John Mnyika asubuhi ya leo Jumamosi, Juni 13, 2026.
RPC huyo...
Swali dogo, kama ambavyo tunaona CCM imeshaingia mikonon mwa mtu mmoja,
Chama kikuu Cha upinzani kina
Kina ubavu wa kumwondoa mwenyekiti wake madarakani kama ANC ya Afrika Kusini ilichomfanyia...
Naanza na ushauri Kwa msajili wa vyama USITHUBUTU KUIFUTA CHADEMA, WAACHE WACHOKE WENYEWE KAMA ILIVYOKUWA NCCR NA CUF Sisi ni nchi ya utawala wa kidemokrasia
Kwa makosa yanayoshabihiana na ugaid...
Mpumbavu hawez kujiona kamwe namaanisha nini
Katika kikao cha Umoja wa mataifa huru ya Africa ukianza mjadala wa kuhusu viongozi wa Africa kuacha udictator utayasikia kabisa mawazo mazuri ya watu...
Habari za usiku , wengine habari za asubuhi na wengine habari za mchana,
Nasema hivo kwasababu wasomaji wa nyuzi hapa Jf wako sehem mbali mbali
Nina uhakika tunao wamarekani, wa Sweden cc Wilbroad...
Mheshimiwa magufuli mtetezi wa wanyonge tunatambua kiu ulokuwa nayo ya kuwatumikia watanzania na kuwatoa misiri kuwapeleka kanaani
lakin kwa maoni ya watanzania inaonekana kama vile kanaani...
Hivi chama tawala cha siasa kinaweza kufata amri ya chombo cha usalama( Polisi, Jeshi au Magereza) au chombo cha usamala i.e Polisi, Jeshi, Magereza ndo kinafata amri ya chama tawala cha...
Salaam Wakuu,
Kwa roho iliyooneshwa 29 Oct 2025 na Samia Suluhu Hassan, Mwenyeji wa huko Zanzibar ambaye anapenda kutembelea maeneo ya Tunguu.. Hakika damu ya Watanzania ipo mikononi mwake.
Bado...
Saa kumi na mbili kasoro,
Wasira yupo kwa mangura,
Rais mwinyi yupo anamzika msanii onyango.
Kenani kihongosi anatangazia UMMA yakuwa vyanzo vya TAARIFA vya kuaminika vinasema CHADEMA inapanga...