Mpumbavu uuona upumbavu ndani ya wengine haraka kuliko wa kwake

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Mpumbavu hawez kujiona kamwe namaanisha nini

Katika kikao cha Umoja wa mataifa huru ya Africa ukianza mjadala wa kuhusu viongozi wa Africa kuacha udictator utayasikia kabisa mawazo mazuri ya watu kuacha udictator yakitoka Kwa
Mugabe, Kagame, Kabila, mpaka mseven,
Kwani nadanganya? Hukumbuki mseven akimsifu Trump Kwa msimamo wake juu ya viongozi wa Africa wanaokaa madarakani Sana??

Hivo hivo ukianza mjadala wa wezi wa rasili mali za umma ,utayapokea mawazo mazuri kutoka Kwa kina E Lowassa, Kina Yona, Mramba ,Mzee lodilofa na Hata Rugemalila wa Escrow,

Linapokuja suala la kujadili demokrasia katika vyama na taasisi mbali mbali Hata nchi,
Utasikia Mbowe anachangia na kuuponda utawala wa Magufuli kwamba ni wa Kiimla, lakin anasahau kwamba yeye ndo amekalia kimabavu Chama cha demokrasia na maendeleo, kuna watoto wamezaliwa wamekuta mbowe ni mwenyekiti mpaka sasa wamemaliza form four kabisa,

Ukianzishwa mjadala wa kukataza vyama vya siasa visivyo na maadili na vinavyokiuka misingi ya ubinadamu , utasikia Chadema wanatoa kauli nzuri na kuiponda CCM lakin wanasahau kwamba Mawazo hatunaye, Wao ndo wanahubiri kumwaga Damu na mengine memgi, wao ndo wanaosema lazima Damu imwagike, lazima afe mtu,

Wanasahau kwamba hawana uwezo huo Bali ni mawazo finyu yafichao upumbavu wa mtu na kuona wa wengine
 
umeongea vzr ila bila kutoa mfano kwa sizonje mawazo yako yanabaki kuwa upuuzi kama upuuzi wa kutuaminisha eti " maiti zinazopatikana ufukweni zinatupwa na watu flani baada ya kukosa ndugu"

Naona umeongozwa na chuki juu ya mbowe/chadema. na kuacha ya upande wa 2
 
MoumbaMp hawez kujiona kamwe namaanisha nini

Hivo hivo ukianza mjadala wa wezi wa rasili mali za umma ,utayapokea mawazo mazuri kutoka Kwa kina Edward Lowassa, Kina Yona, Mramba ,Mzee mkapa na Hata Rugemalila wa Escrow,

Tafuta mwanaume akutulize maana uko ndani ya 14
 
sio kweli mkuu, m pumbavu huwa hauoni upumbavu wake kabisa hata umshauri nakumwonyesha vipi, yeye huwa anaamini yupo perfect ktk kile kitu na huwa hapendi kukosolewa, na huwa haamini kuwa yeye ni mpumbavu. cha muhimu ni kwa wale waliomzunguka wanatakiwa kuchukuliana naye kama alivyo alimradi liende.
 
umeongea vzr ila bila kutoa mfano kwa sizonje mawazo yako yanabaki kuwa upuuzi kama upuuzi wa kutuaminisha eti " maiti zinazopatikana ufukweni zinatupwa na watu flani baada ya kukosa ndugu"

Naona umeongozwa na chuki juu ya mbowe/chadema. na kuacha ya upande wa 2
Msameheni bure inaonekana huyo ni miongoni mwa jamaa waliopewa vyeo kikanda sasa kila Mara anaanzisha Topic baada yakuona tar 26/4 inakaribia so anahisi mungu wa kanda ya ziwa akiokotwa na ocampo nawao mbwembwe kwisha so msameheni tu
 
Mwandiko mreefuu, unataka kuhalalisha upumbavu.Au ni weye ndiye uliyesema kupigwa risasi Tundu Lissu ni kitu cha kawaida? Mpuuzi.
 
MPUMBAVU! MPUMBAVU! MPUMBAVU !

Hivi mtu akiandika upumbavu unamwitaje?
 
sio kweli mkuu, m pumbavu huwa hauoni upumbavu wake kabisa hata umshauri nakumwonyesha vipi, yeye huwa anaamini yupo perfect ktk kile kitu na huwa hapendi kukosolewa, na huwa haamini kuwa yeye ni mpumbavu. cha muhimu ni kwa wale waliomzunguka wanatakiwa kuchukuliana naye kama alivyo alimradi liende.
MKUU MALIZIA SEMA WALIOMZUNGUKA MPUMBAVU HUYU.
 
Mpumbavu hawez kujiona kamwe namaanisha nini

Katika kikao cha Umoja wa mataifa huru ya Africa ukianza mjadala wa kuhusu viongozi wa Africa kuacha udictator utayasikia kabisa mawazo mazuri ya watu kuacha udictator yakitoka Kwa
Mugabe, Kagame, Kabila, mpaka mseven,
Kwani nadanganya? Hukumbuki mseven akimsifu Trump Kwa msimamo wake juu ya viongozi wa Africa wanaokaa madarakani Sana??

Hivo hivo ukianza mjadala wa wezi wa rasili mali za umma ,utayapokea mawazo mazuri kutoka Kwa kina E Lowassa, Kina Yona, Mramba ,Mzee lodilofa na Hata Rugemalila wa Escrow,

Linapokuja suala la kujadili demokrasia katika vyama na taasisi mbali mbali Hata nchi,
Utasikia Mbowe anachangia na kuuponda utawala wa Magufuli kwamba ni wa Kiimla, lakin anasahau kwamba yeye ndo amekalia kimabavu Chama cha demokrasia na maendeleo, kuna watoto wamezaliwa wamekuta mbowe ni mwenyekiti mpaka sasa wamemaliza form four kabisa,

Ukianzishwa mjadala wa kukataza vyama vya siasa visivyo na maadili na vinavyokiuka misingi ya ubinadamu , utasikia Chadema wanatoa kauli nzuri na kuiponda CCM lakin wanasahau kwamba Mawazo hatunaye, Wao ndo wanahubiri kumwaga Damu na mengine memgi, wao ndo wanaosema lazima Damu imwagike, lazima afe mtu,

Wanasahau kwamba hawana uwezo huo Bali ni mawazo finyu yafichao upumbavu wa mtu na kuona wa wengine
Sijui kama wewe unatambua upumbavu wako mpaka ukautoa hadharani
 
Back
Top Bottom