britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,154
- 47,704
Habari za usiku , wengine habari za asubuhi na wengine habari za mchana,
Nasema hivo kwasababu wasomaji wa nyuzi hapa Jf wako sehem mbali mbali
Nina uhakika tunao wamarekani, wa Sweden cc Wilbroad slaa , Nyani Ngabu hapo tirana USA
Kila nikitafakari siasa za Tanzania nakumbuka mengi na ninajuta kuna wakati haukutumika Vema katika siasa hasa kutoka vyama vya upinzani,
Tunacho chama kikuu cha Upinzani Chadema ambach kimekuwa kuwa kwenye peak ya upinzani Kwa miaka 12 Sasa times 2005
Lakin kuna makosa madogo madogo yanawagarimu ,
Kuna Jambo consistency
Ili suala limewashinda Chadema Kwa muda mrefu sana, Nina mifano ya hatua nzuri zilizokuwa zikifanywa na CHADEMA lakin katika wanasahau wameanza nini Nani mwanzilishi, Nani akamilishe na Nani atimize,
2008, Chadema ilijijenga katika misingi ambayo Kwa Africa mashariki hakuna chama cha Upinzani kilichokuwa na Sera mathubuti, watu makini, na mipango mikakati kama chama cha demokrasia na maendeleo,
Vijana muhim kama
1. Mnyika kabla hajawa mbunge aliposhindwa na Yule mama idara ya maji CCM ubungo, alikuwa anahoja hoj kweli kabisa zinasaidia
2. Zitto zuberi Kabwe , huyu anajulikana mno Kwa uwezo wake wa kupanga hoja na kutetea hoja
3. Mkumbo Kitila Kitila Mkumbo kipindi hicho amekuwa na nafasi kubwa Sana ya kushawishi wanafunzi wa chuo kikuu kupitia nafasi yake aliyokuwa nayo Pale UDSM , tuwe wakweli kina Humphrey Polepole na wengine wameshawishika kuingia kwenye siasa kisa Mr mkumbo, Hata wengine Akina mtatiro Julius,
4. Kuna mtu makini akiitwa Chacha Zakayo wangwe R.I.p ,
5. Kuna Freeman Alkael Mbowe
6. Mzee mwenyewe Dr Peter Slaa
7 .Tundu Antipass Lissu
8. Samson Mwigamba
Na wengine wengi vijana makini ambao walikuwa wakikusanyika kutoa hoJa CCM ilikuwa matumbo joto haya serikali Kwa Ujumla,
Baada ya CCM kugundua kwamba CHADEMA Ni chama cha vijana wasomi Kwa wakati ule wakaamua nao kuwekeza katika vijana na kuwapa nafasi vijana
"VYAMA VYA UPINZANI TUJIFUNZE KU ENDORSE MADARAKA NA SIASA KWA VIJANA KAMA WANAVYOFANYA CHAKA CHA MAPINDUZI" ilikuwa kauli ya Julius Mtatiro akishtuka kwamba sasa CCM inawaandaa akina Nape, Makonda, Bashe na Pole pole kushika nafasi kubwa kubwa wakati wapinzani kipindi hicho walionekana kuwatumia vijana kwenye kushawishi Tu na maandamano lakin si kuwapa madaraka,
Maamuzi sahihi ambayo CHADEMA Waliwahi kufanya
1. Kuthubutu kuwataja watu hadharani ambao walishutumiwa na wizi wa rasli Mali za nchi
2. Kupata uwezo wa kupata Nyaraka muhim kutoka sehem nyeti za serikali kipindi hicho
3. Kuanzisha movement na operations mbali mbali nchini ambazo ziliwasaidia kupata wanachama wapya wanaowasikiliza
4. Kuchagua agenda muhim zinazopendeza masikioni mwa watanzania masikini , nikimaanisha agenda kuu Tatu
A. Ufisadi na wizi wa mali za Umma
B. Kupunguza matumizi yaan serikali Kubana matumizi
C. Kurudi misingi ya kuwajibishana kama ilivyokuwa wakati wa Nyerere , hizo ndizo zilikuwa agenda muhim zilizoijenga CHADEMA, Hata kama walifanya exagration Kwa baadhi ya mambo lakin ukweli ni huo
5. Kuwekeza Sana katika siasa za mitandao na kueleza kile ambacho wanataka wananchi wajue,
6. Kuwa na urafiki na vyama vya upinzani vya baadhi ya nchi ambazo nzimeendelea especially ujerumani
7. Chama kupokea michango mbali mbali kutoka Kwa wananchi maskini nna kujiona chama ni cha wananchi mpaka wadau KAMA SABOBO Wakawasaidia hii ilisaidia Chadema isife kama vyama ambavyo vilikufa Kwa kutegemea Ruzuku Tu,
8. Kumpa Dr Slaa ukatibu MKUU na akawa na naibu wote wazuri kuanzia Kwa Zitto na Mnyika
MAKOSA AMBAYO YATAWAGHARIMU CHADEMA MILELE
1. Kukubali kuendelea kuwa kwenye ushindani wa kisiasa bila Kwanza kuwepo vyombo huru vya Dola visivyopendelea CCM
2. Kukubali kujiweka kwenye mazingira ya kuhusiswa na ukabila na ukanda, hakuna Siri isoyofichuka,
3. Kukubali minyukano ndani ya chama kuwa exposed Hata Kwa wasio wanachama,
4. Kutokuvumiliana pale wanapotofautiana kimtizamo ndani ya chama na kuanza kusengenyana
5. Wameruhusu baadhi ya wanachama kujipendekeza Kwa mwenyekiti na kuyaona mawazo ya mwenyekiti ndo alpha na omega
6. Kutothamini michango ya watu mbali mbali waliokijenga chama mfano bendera ya Kwanza kuwekwa Kigoma ya Chadema iliwekwa na Zitto kabwe mwaka 1993 ,akiwa Kijana mdogo na Zitto anakumbuka kipindi wazee wa CCM wananfuata amemaliza kucheza mpira bado hajaoga wakasema Kijana huwa tunaona Una bendera za vyama, hebu njoo twende wewe ndo utagombea, hiyo ilikuwa sababu mgombea wa CCM mwaka 2005 aliwaudhi wanakigoma, Zitto ukipitia hapa utakumbuka Mzee Chakupewa,
Mfano mwingine ,Kitila mkumbo na Samsoni Mwigamba, Bila kusahau mtu alopata ulemavu wa maisha Dr Slaa kisa siasa
7. Kosa jingine ni ni kutowaweka wazi wahisani wanaowasaidia Kwa baadhi ya matumizi yenu,
8. Kudhania kwamba kila anayetoka CCM kwenda CHADEMA ameichoka CCM La hasha wengine ni kazi maalumu,
Kuna watu mmewapa mpaka nafasi za juu kabisa bila kuwachunguza vya kutosha, cc katambi wengine ni vitengo
9. Kusahau mapema hawafiki mwisho wa move moja wakaanza nyingine,
Mfano M4C, SANGARA, OPERATIONS AGAINST TULIA, DICTATOR UCHWARA, MARA KUTISHIRIKI UCHAGUZI KISA TUME SI HURU LAKIN WANASHIRIKI,
kuna hata mambo ya msingi yanasahaulika, La Ben, la mawazo, la akwilina na mengine washayasahau
10. Kumnyima Ben saanane uenyekiti wa BAVICHA,
11. Kumreplace Katibu Mkuu thabiti na mashinji
12. Kosa lingine kubwa Sana Sana Sana Sana ni kumsimamisha mheshimiwa Lowassa kuwa mgombea wenu , huyo kawa cost mnoo
Wasiojua logic wanasema kwamba Lowassa kaongeza Kura za wapinzani mkasahau kwamba hata angegombea mbowe zingekuwa Zaid ya hapo kwabsababu hizi
A.CCM ilikuwa imechokwa
B. Vijana kila mwaka wanatimiza miaka 18 wakati wazee wanaoipenda CCM wanakufa kila mwaka(switching)
C. Muungano wa vyama vyote vya upinzani vilikuwa na mwamko na kuhamasishana,
Kupitia hayo utaona Chadema Haina cinsistency katika slogan na policy wanayoamini wao wanabadirika kulingana na baadhi ya viongozi wao wanataka nini,
Mi ngumu mnoo Sana kuiondoa CCM madarakani, labda tuambiwe kwamba CHADEMA haipo kushika nafasi hiyo ya Dola tuelewe,
Lakin pamoja na kuyumba wamebaki vijana wasioyumbishwa tindo BAK
Sijajua msimamo wa Pascal Mayalla na wengine kama jmushi1 na Petro E. Mselewa jingalao Obuma