Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Uchaguzi Mkuu ulifanyika na kumalizika ile Octoba 25,2015 na matokeo 'halali' yametoka!, aliyeshinda ameshinda, aliyeshindwa ameshindwa kwa mtindo wa "The winner takes it all, and the...
3 Reactions
81 Replies
13K Views
Ninashauri wanaprotokali wa maombolezo na heshima kwa Lowassa kwamba itambuliwe kwamba Lowassa ameiletea heshima nchi yetu akiwa ndani ya CCM na ndani ya CHADEMA. Dunia ilishuhudia ukomavu wa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanabodi, Jumapili ya leo, nimepata tena fursa ya kuendelea kuhamasisha, watu wajitokeze kwa wingi kupiga kura kwa muktadha wa kuchagua kuendelea kuwa masikini, au kuchagua utajiri!. Wakati...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
MR Antonio GUTTERES should resign immediately to protect his honor as we have seen his office has supported HAMAS to invade, kill, abduct, and rape innocent ISRAEL people. This is evidenced by...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Sasa hivi wanajipitisha pitisha eti wanasikiliza kero. Kero gani ambazo hujaziona na kuzifanyia kazi miaka mitano yoote ambazo utatatua kwa miezi michache iliyobaki. Sijaona watu wanafiki kama...
2 Reactions
6 Replies
599 Views
Ni kipi physical ambacho nchi husika zimefaidika nacho, binafsi sioni chochote ambacho labda tunaweza kuiga na kukifuata toka katika nchi hizo ambazo zilialika vyama vya upinzani viwaongoze, zaidi...
2 Reactions
86 Replies
4K Views
Wanabodi, Japo matokeo ya mwisho bado, trends zinaonyesha Mgombea wetu, Edward Ngoyai Lowassa, na wagombea wetu wa Ubunge na Udiwani, wameshindwa!. Nina ushauri ufuatao. Kwanza tukubali...
7 Reactions
335 Replies
38K Views
Wanabodi, Furahi Day ya Leo, nimekaa mahali, kama kawaida yangu, nateremka na Joni Mtembezi wa Alama Nyeusi, mara ukapigwa wimbo huu wa "One More Try", nimeusikiliza huu wimbo kwa makini, mara...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Wakati tunasikitika kumpoteza, Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu, si vibaya tukakumbushana kidogo. Ikumbukwe, baada ya kukatwa kwa jina la Edward katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Mgombea wa...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Ameyasema hayo alipozungumza na gazeti la Mwananchi kufuatia Msiba wa Rafiki yake Lowassa Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Sinyanga na rafiki wa karibu wa Hayati Waziri Mkuu wa zamani...
14 Reactions
41 Replies
5K Views
Wanabodi, Wakati Watanzania tukijiandaa kukumbuka kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwallimu Nyerere, naomba kutoa angalizo la kuizuia kumbukumbu hiyo isitumike vibaya kuupotosha umma eti kuna watu...
6 Reactions
23 Replies
4K Views
Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati anayestaafu Dr Tavsangwa amempongeza na kumshukuru Rais Samia kwa kuyaruhusu Maandamano ya Chadema yaliyofanyika jijini DSM. Askofu amesema yawezekana...
2 Reactions
1 Replies
532 Views
Juzi niliona uwekaji sahihi kuhusu Mradi wa umeme utakaojengwa Mto Malagarasi mkoani Kigoma. Nilijiuliza, kama tutakuwa na Mradi mkubwa Julius Nyerere Hydro Electric Power ambayo itatosheleza...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kiongozi hatokei Kila mahali na Kila kabila. Wamasai ni moto wa kuotea mbali. 1. Sokoine - Monduli 2. Lowassa - Monduli Weka Hapo Msuya , Kilimanjaro. Sio Kila mahali unamchukua hapo Kiongozi.
0 Reactions
1 Replies
498 Views
Wanabodi, Jumapili ya leo. nimepata tena fursa ya kuwahamasisha Watanzania, tujitokeze kwa wingi kupiga kura. Mada yangu ya leo ni nguvu ya kauli za ushindi!. Kuna msemo, kuwa mdomo huumba, au...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Nimepokea kwa mshituko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mheshimiwa Bernard Kamillius Membe. Nimemfahamu miaka mingi, tumetoka nae mbali na tumesaidiana kwa mengi. Familia zetu, na mapito ya...
20 Reactions
52 Replies
8K Views
Baada ya kutoka Kolomije na kufika Dar es salaam Makonda alifikia Lumumba kwa utambulisho wa uCCM. Alilala katika moja ya ofisi za chama hicho siku kadhaa kabla ya Mzee Samwel Sitta kumchukua...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
CHADEMA wamepata Ruzuku ya Zaidi ya 2.7 sababu kubwa ni Kura za Mzee Lowassa lakini cha ajabu fedha hizo zimeishia kuhudumia wanafamilia na si ujenzi wa uimara wa chama badalayake viongozi kujenga...
0 Reactions
2 Replies
484 Views
Kichwa cha uzi ni maneno ya hayati Lowasa kama nilivyoyakuta kwenye ukurasa wa X wa waziri Nape Ahsanteni Sana Nawatakieni Dominica Njema 😄
1 Reactions
11 Replies
667 Views
Paul Makonda ni Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi. Bila kuathiri Muundo wa Utumishi Serikalini, yeye Makonda ni Kiongozi wa Chama Cha Siasa Kama ilivyo kwa Chadema, TLP na CUF. Kwa hiyo chain of...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…