Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania mwaka 2015 tulitangaziwa kama imempata RAIS wa WANYONGE Rais ambaye yupo karibu na Wananchi RAIS ambaye yupo kwa ajili ya Wanyonge Rais ambaye alitangaza atahakikisha Wanyonge wanaishi...
2 Reactions
1 Replies
508 Views
"Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walitegemea tutawaletea Polisi na tutawapiga mabomu, nimwambie kaka yangu Freeman Mbowe awamu hii imebadilika, tutawapa kila kitu lakini kura...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Wanaukumbi. Chadema wanapoelekea kwa sasa itakuwa kama UMD kinakufa taratibu, leo hii Chadema wanaandaa Maandamano wanakusanya Bodaboda na Bajaji zaidi ya 200 wajaze Maandamano wanamdanganya...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kuna makosa tumefanya kama nchi, zamani ombi la uraia lazima ulipeleke kwenye kamati za ulinzi na usalama na ilikuwa vigumu sana kupata uraia. Alipopewa wizara Laurence Masha akapokonya hayo...
1 Reactions
10 Replies
950 Views
Jana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima. Mimi binafsi sikuandamana sababu watanzania ni wanafki na kumpigania mtu...
35 Reactions
88 Replies
5K Views
Ushauri Kwa jeshi la polisi maandamano kama njia ndefu sana wawaambie waandaa maandamano kuwe na Ambulance ya wagonjwa nyuma kabla kuidhinisha Mfano ni Jana maandamano ya Chadema Ile njia ya...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Yaani hii nchi sijui tunaelekea wapi, kipindi cha nyuma matokeo ya kidato Cha pili na nne, watu walikuwa wanayafanyia analysis. Na serikali ilikuwa inawajibika aswaa kuboresha Elimu. Sasa hivi...
12 Reactions
192 Replies
30K Views
Salaam ndugu zangu, Matokeo ya Kidato cha nne yametoka leo. Kama ilivyo kawaida kila mwaka, pia takwimu za masomo ya Mwaka huu zinaonesha ufaulu unaongezeka. Kwa upande wangu nimetazama...
1 Reactions
10 Replies
931 Views
Umeingia ofisini saa 2 asubuhi, ukakuta hakuna umeme umekaa siku nzima ukisuniri umeme. Unaamua kuondoka saa 11 jioni, ukijifariji kwamba utaukuta umeme nyumbani angalau ufanye kazi za wateja...
17 Reactions
23 Replies
2K Views
TANGAZO KWA WAKUU WOTE WA SHULE MOSHI MANISPAA: Wakuu wa Shule za msingi Moshi Manispaa, Mkoa wa Kilimanjaro ,tafadhali wasilisheni michango kwa ajili ya chakula cha walimu watakaohudhuria semina...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Bila katiba nzuri wafanyabiashara ambao mnakaa na kuona katiba haikuhusu unajidanganya kwa sababu hii hapa ya msingi. 1. Kwanza maandamano ya juzi sio kwamba serikali ilipenda bali umma umepata...
1 Reactions
4 Replies
646 Views
Mmiliki wa bendi ya mziki ya Twangapepta awagawa watanzania. Asha Baraka ametoa maneno ya chuki na kibaguzi dhidi ya wana ccm na watanzania wengine wasio wana ccm. Ebu msikilizeni ila...
11 Reactions
151 Replies
9K Views
Wafuasi wengi Bado hawajui wanahitaji nini , wenyew wanachojua CCM ni wezi , chama kimeanza kuongoza Toka enzi za babu yangu mpk leo, lkn Bado wamelala awafahamu majukumu Yao kama wanachama...
0 Reactions
1 Replies
326 Views
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema mifumo mipya mitatu iliyobuniwa na kufungwa kwenye utumishi wa umma itasaidia kwa kiasi kikubwa sana kupima utendaji...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania. So acheni kunyooshea Mawaziri na watu wengine wenye Asili ya Nchi jirani Vidole. Ila ni bahati mbaya tumewahi kuwa na Rais...
11 Reactions
127 Replies
9K Views
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa...
28 Reactions
177 Replies
15K Views
Akihojiwa na Waandishi wa Habari ili atoe maoni yake kuhusu anavyoiona awamu ya 6 , Mh Bernard Membe , amezungumza machache lakini kimsingi amesisitiza kwamba katika utawala huu hutosikia Mtu...
43 Reactions
265 Replies
15K Views
Raisi Samia natoa ushauri tu. Wengi wetu sio wanasiasa hapa tunapenda maendeleo ya nchi yetu tu. Tunakuomba uweke maslahi ya nchi mbele kuliko maslahi ya vigogo wa CCM na wewe binafsi. Katiba...
3 Reactions
5 Replies
766 Views
Kwa miaka yote Tulipokuwa tunaelimisha Jamii kuhusu Haki , Uhuru na Demokrasia tulionekana kama vichaa, Kujihusisha na siasa ilionekana kama kujitafutia kifo na ujinga , Mamluki wa Watawala...
22 Reactions
59 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…