Wakati serikali imesema inaingia hatua ya pili ya mkataba katika uwekezaji bandarini Dar kati yake na DP world,ningependa watu wote bila kujali kama mnaunga mkono au kupinga maudhui ya mkataba...
Soko la Serikali harafu haliingizi hata Shilingi Mia mnataka Chalamila awachekee.
Naunga mkono hakuna kucheka na wezi,Bilioni 2 kuliwa na Wajanja aisee Miaka yote Serikali ilikuwa inafanya nini...
Ni leo J'pili tarehe 3/9/2023 alipokuwa akiongea na wananchi katika Kijiji cha Kiabakari - Butiama mkoa wa Mara katika mfululizo wa mikutano ya CHADEMA katika OPERESHENI +255 KATIBA MPYA, OKOA...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema falsafa yake katika kutekeleza majukumu yake ni bidii katika kazi, kufanyakazi kwa umoja pamoja na ustawi watumishi.
Waziri...
Ni akina nani wanahusika na suala la kufanya vetting?
Rais anateua mtu ndani ya muda mchache anamtengua, mara kadhaa makosa haya yanajirudia. Rais anapewa mtu ambaye sio sahihi.
DC wa...
Ikiwa wakiteuliwa wanaachwa wapumzike tu then wanarudishwa tena.
Wakichoka wanapumzishwa uchovu ikiisha wanarudishwa tena. Je, sisi Chawa wa Mama ma Chawa wa Chama ni lini tutaingiamo? Au nafasi...
Nashauri vyama vya siasa kuwa na ubunifu wa kuwa na website ambapo mtu kupitia hiyo aweza kujiunga na chama cha siasa atakacho, na kupata Kadi ya Kimtandao.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeahidi kuiunga mkono Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara mwaka 2030 (EXPO 2030).
Ahadi hiyo imeelezwa na Katibu Mkuu...
Leo Jumatatu tar. 4. 9.2023 Saa 5:00 asubuhi Chama cha @ACTwazalendo kitatoa Uchambuzi, msimamo na Mapendekezo yake kuhusu sakata la #Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na @DPWorldUAE.
-----...
Huyu Shekhe Mungu wa mbinguni ambariki sana
Kuna Watu wanaukataa Mkataba kwa sababu tu DP world ni Waarabu, hii si Sawa hata kidogo
Na kuna Watu wanaukubali Mkataba kwa sababu DP world ni...
Rais Samia ametoa kauli hiyo kwenye ufunguzi wa Kikao cha Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, ambapo amesema amekuwa akipata jumbe zinazoonesha bado kuna Kesi za Kubambikizwa kwenye Vituo vya...
Tanzania, Rais ni zaidi ya mfalme, anateua kila kitu na kila mtu kwa kufuata au kutofuata matakwa ya katiba ya kifalme ambayo iliundwa kwa kuzingatia matakwa ya kulinda chama kimoja -CCM.
Kenya...
Wizara ya Ujenzi ina bajeti kubwa kutokana na miradi yake mingi.
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa ana kazi kubwa mbele kuhusu mikataba na tenda atakazokuta wizarani.
Namaanisha zile zenye...
Kwa kuwa Waziri wa Nishati umepewa na jukumu la kuratibu shughuli za serikali ukiwa kama Naibu Waziri mkuu, ninaamini jukumu hilo limekuja kipindi sahihi na linaweza kukusaidia katika majukumu...
Profesa Lipumba amesema kuwa hakuna sababu ya kutoa elimu ya uraia kwa wananchi kwa miaka mitatu ili kuandika upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Profesa Lipumba ameongeza kuwa Tume ya...
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ameshauri Serikali kuweka utaratibu maalumu wa kuwazingatia kwanza Watumishi wanaofanya kazi za kujitolea wakati Serikali ikiendelea kufanya maboresho ya Sheria...
Naibu Waziri mkuu mh Dr Dotto Biteko ameripoti Ofisi ya Waziri mkuu na kupokelewa na PM Kasim Majaliwa
Dkt. Biteko amesema atamsaidia Waziri mkuu kwa Uaminifu mkubwa na anaamini Kupata...
Leo Jumatano Machi 23, 2022, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Nyumba 644 za Makazi Magomeni Kota Jijini Dar es Salaam kuanzia Saa 4 na nusu asubuhi hii.
Utafuatilia Matangazo...
Leo kwenye ibada ya jumapili kwenye madhabau ya Arise and shine Rais Samia Suluhu Hassani amemtuma mkuu wa mkoa wa DR Chalamila kufikisha sadaka yake ya shukrani kwa Mwamposa.
Niongeze volume...
Ziara ya Biteko Lindi Kampuni ya Indiana yajisalimisha
Tarehe : Aug. 20, 2019, 6:21 a.m.
Na Issa Mtuwa Dodoma
Kufuatia ziara aliyofanya Waziri wa Madini Doto Biteko mkoani Lindi na Mtwara...