This is very ridiculous..
Kumbe wanajua fika kuwa bila CHADEMA, hakuna kitu kinachoitwa maridhiano haijalishi watazuga na kujifanya hamnazo kwa kiwango gani..!
Hata hivyo, Ts & Cs za kuifanya...
Ukimsikiliza katika dakika ya 6.09 , Fr. Kitima anasisitiza kuwa LAZIMA KUMTII KIOGOZI ALIYEAPISHWA.
Najua ni philosophy yenye nia nJema ili kuleta harmony, kuepusha mauaji, uvunjifu wa sheria...
Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia ina aleji kubwa na miradi ya kimkakati iliyoanzishwa kwa lengo la kumaliza matatizo ya watanzania.
Rais Samia amegoma kuuzindua mradi wa bwawa la...
Taarifa za uhakika na za moto moto zilizotufikia Jana ni kwamba ni kweli kuna vigogo CHADEMA wamekula Pesa za CCM ili kuivuruga CHADEMA.
CCM Walichofanya ni kuwanunua baadhi ya Viongozi wakubwa...
Uhuru wa kujieleza ni haki ya kila mtu, lakini uhuru huo haupaswi kuwa sababu ya kumvunjia mtu au viongozi heshima. Tunaweza kukosoa, kuuliza na kutoa maoni kwa nguvu ya hoja, bila matusi, dharau...
Nimeskikitishwa sana na kitendo cha mbunge wa CCM kutoonesha nidhamu kwa upande wa pili ambao ndo mrekebishaji wa mabaya yetu sisi chama Tawala,
Tulio wengi hatuna busara lakin angalau tu act...
Trump: "Tunashinda sana dhidi ya Iran." Lakini ndani ya saa 24 — Marekani yapoteza 25% ya ndege zake za Reaper, meli ya Lincoln yarudi baada ya siku 266, Iran yasisitiza Hormuz ni yake. Ushindi si...
Kwa kile kinacho onekana kuendelea kukomoa raia yeyote anae enda kinyuma na usawa na haki , Mhimili wa Dola , Mahakama na Polisi wameamua kufungulia kesi za Ugaidi wote watakaoisema serikali ya...
Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema...
Utamhoji vipi mtu polisi kwa kosa kama hili ambalo kiuhalisia hufanyika kwenye viunga vya mahakama mbele ya jaji au hakimu. Hata kama ni nje ya mahakama Jaji au hakimu hutoa amri ya mkosaji...
Kwanza wamekwishampa uhalali wa kumtambua kuwa yeye ni "Mheshimiwa Rais" halali licha ya waTanzania kutomchagua kwa kura halali.
Mwezi August, 2025 waliomba wakutane naye kujadili maswala muhimu...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Everlasting Legal Aid Foundation (ELAF), Wakili Dkt. Khamis Masoud, ametoa ufafanuzi kufuatia baadhi ya kurasa za mitandao ya kijamii kuchukua vipande vya mahojiano yake...
Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) tumeandaa Rasimu ya Muswada wa Mfano (Model Bill) wa Sheria ya kuongoza Mchakato wa Maridhiano nchini.Lengo la Muswada huu wa Mfano ni kushawishi...
Madeleka ana bahati sana hajapotezwa.
Baada ya Presha ya Mitandaoni Polisi wakiri kumshikilia.
====
TAARIFA KWA UMMA
POLISI DAR ES SALAAM INAMSHIKILIA WAKILI PETER MADELEKA KWA TUHUMA ZA...
Kama sio chawa ni kumfurahisha Mama na masiha yake tu
Wabara wamekuwa kama watume wa Malikia Samia! Mungu ni lini Tanzania tutakuwa huru?
https://youtu.be/Ur_aGlVQTkA?si=PpXpuKdFaQp7D22f
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 10 Agosti, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania kupitia...
Kuwa kipindi chote wananchi wa Zambia walikuwa na imani kubwa sana na Rais wao Hichilema, hata ule mgogoro wa maziko ya Edgar Lungu haukuwa Tatizo kwa Wazambia
Ugomvi wake na Wazambia ulianza...
Serikali imeona njia pekee ya kupambana na upinzani ni kuwapa lesi za ugaidi na uhaini nadhani wana hamu sana na ugaidi wenyewe na inaonekana wanautamani sana