Nimjuavyo Samia, Hawezi Kufanya Hayo Wanayotaka Wao

Kalamu

Platinum Member
Joined
Nov 26, 2006
Posts
22,769
Reaction score
33,106
Kwanza wamekwishampa uhalali wa kumtambua kuwa yeye ni "Mheshimiwa Rais" halali licha ya waTanzania kutomchagua kwa kura halali.

Mwezi August, 2025 waliomba wakutane naye kujadili maswala muhimu kuhusu uchaguzi wa Oktoba, kakataa kukutana nao kwa kujua nia yao ilikuwa ni kushawishi akubali pawepo marekebisho muhimu kabla ya uchaguzi ili uweze kuonekana kuwa huru na wa haki.

Alikataa ushauri huo, kwa sababu tayari alikuwa amekwishafikia uamzi kwamba ni lazima abaki madarakani kwa njia yoyote hata kwa mabavu.
Uamzi wa kukataa kukutana na maaskofu hauna tofauti na yale aliyokwishawafanyia katika swala la kukabidhi bandari kwa DPWorld; wakati alipofanya kila kitu kuwa-ignore' na kuwatangazia kwamba yeye ni "chura kiziwi".

Mara hii kakubali kukutana nao walipoomba wao, yeye hakuwa na shida ya kukutana nao.

Sasa wanapomwambia pawepo na "ukweli" na mambo mengine wanayotaka wakubalie; haya hayana uzito wowote kwake; kwa sababu lengo lake tayari analo mkononi; lengo la kuwa kwenye madaraka hadi 2030.

Wakati huu, anaweza kuwakubalia lolote walitakalo, hata hilo la "ukweli" ambalo anaweza kulifanya lisiwe la ukweli; mradi tu lisiathiri lengo la madaraka hadi 2030; na pengine zaidi ya hapo.

Kwa hiyo, kwa upande wa Maaskofu, hiyo kazi ni kama ameimaliza, Huko hakuna tishio tena.

Jambo pekee lililobaki sasa kuwa tishio ya kutotimiza leng lake, ni CHADEMA. Kama watakataa na kuendelea kutotambua ushindi wake, na kushawishi waTanzania wakatae kutawaliwa kwa mabavu.

Hili pekee ndilo linnalomnyima usingizi; hasa akijuwa uovu mkubwa aliowafanyia waTanzania.
 
Jambo pekee lililobaki sasa kuwa tishio ya kutotimiza leng lake, ni CHADEMA. Kama watakataa kuendelea kutotambua ushindi wake, na kushawishi waTanzania wakatae kutawaliwa kwa mabavu.

Hili pekee ndilo linnalomnyima usingizi; hasa akijuwa uovu mkubwa aliowafanyia waTanzania.
Mkuu,Kalamu. Umeona kama ninavyoona Mimi. Na kama ni kweli kwamba TEC ndiyo wameomba wakutane nae basi TEC nao wanapaswa kutiliwa shaka.
Wanataka wakutane nae ili wamwambie nini ambacho hawajamwambia kabla?. Hicho walichomwambia kina maslahi kwa nani?

Nikimsikiliza Kitima between the lines napata hisia kwamba kuna uwezekano mkubwa kwamba TEC wanataka kutumiwa kupush agenda ya kuwashawishi CHADEMA wakubali maridhiano kwa namna ambayo SIRIKALI inataka!.

I can smell something fishy. Ngoja nisikilizie nione kama pua yangu inachokinusa ndicho au sicho!
 
hi CHADEMA wakubali maridhiano kwa namna ambayo SIRIKALI inataka!.
Hili linaweza kuwa tatizo; lakini bahati nzuri ni kwamba Samia anaendelea kufanya yaleyale ya ukandamizaji na watu kupotea na kupekwa gerezani kwa kesi za ajabu ajabu sana.

Sioni CHADEMA wakishinikizwa kuyafumbia macho haya yanayoendelea; kana kwamba yaliyopita hayatoshi.

Samia yupo 'focused' kubaki kwenye madaraka kwamba mambo mengine yote kwake hayana nguvu sana.
 
Mkuu,Kalamu. Umeona kama ninavyoona Mimi. Na kama ni kweli kwamba TEC ndiyo wameomba wakutane nae basi TEC nao wanapaswa kutiliwa shaka.
Wanataka wakutane nae ili wamwambie nini ambacho hawajamwambia kabla?. Hicho walichomwambia kina maslahi kwa nani?

Nikimsikiliza Kitima between the lines napata hisia kwamba kuna uwezekano mkubwa kwamba TEC wanataka kutumiwa kupush agenda ya kuwashawishi CHADEMA wakubali maridhiano kwa namna ambayo SIRIKALI inataka!.

I can smell something fishy. Ngoja nisikilizie nione kama pua yangu inachokinusa ndicho au sicho!
Akili za nyumbu bwana. Kwani hao wangese waitwao chadema Wana nini' Cha maana Hadi watumike TEC kuwalazimisha kwenye maridhiano?!!! Wasiporidhiana wao wataisumbia katika lipi Tanzania yetu kwa mfano?!!!! Mbona mpaka Sasa Tanzania inaenda swaaafi kabisa Huku wao wakitamani Shari na vurugu lakini watanzania tumewakataa.
 
Hili linaweza kuwa tatizo; lakini bahati nzuri ni kwamba Samia anaendelea kufanya yaleyale ya ukandamizaji na watu kupotea na kupekwa gerezani kwa kesi za ajabu ajabu sana.

Sioni CHADEMA wakishinikizwa kuyafumbia macho haya yanayoendelea; kana kwamba yaliyopita hayatoshi.

Samia yupo 'focused' kubaki kwenye madaraka kwamba mambo mengine yote kwake hayana nguvu sana.
Upo sahihi Mkuu,matendo yake yanaeleza uhalisia wa nia yake!
 
Akili za nyumbu bwana. Kwani hao wangese waitwao chadema Wana nini' Cha maana Hadi watumike TEC kuwalazimisha kwenye maridhiano?!!! Wasiporidhiana wao wataisumbia katika lipi Tanzania yetu kwa mfano?!!!! Mbona mpaka Sasa Tanzania inaenda swaaafi kabisa Huku wao wakitamani Shari na vurugu lakini watanzania tumewakataa.
Nesi kichaa..uta overdose wagonjwa wewe....upumzishwe kazi..
 
Kwanza wamekwishampa uhalali wa kumtambua kuwa yeye ni "Mheshimiwa Rais" halali licha ya waTanzania kutomchagua kwa kura halali.

Mwezi August, 2025 waliomba wakutane naye kujadili maswala muhimu kuhusu uchaguzi wa Oktoba, kakataa kukutana nao kwa kujua nia yao ilikuwa ni kushawishi akubali pawepo marekebisho muhimu kabla ya uchaguzi ili uweze kuonekana kuwa huru na wa haki.

Alikataa ushauri huo, kwa sababu tayari alikuwa amekwishafikia uamzi kwamba ni lazima abaki madarakani kwa njia yoyote hata kwa mabavu.
Uamzi wa kukataa kukutana na maaskofu hauna tofauti na yale aliyokwishawafanyia katika swala la kukabidhi bandari kwa DPWorld; wakati alipofanya kila kitu kuwa-ignore' na kuwatangazia kwamba yeye ni "chura kiziwi".

Mara hii kakubali kukutana nao walipoomba wao, yeye hakuwa na shida ya kukutana nao.

Sasa wanapomwambia pawepo na "ukweli" na mambo mengine wanayotaka wakubalie; haya hayana uzito wowote kwake; kwa sababu lengo lake tayari analo mkononi; lengo la kuwa kwenye madaraka hadi 2030.

Wakati huu, anaweza kuwakubalia lolote walitakalo, hata hilo la "ukweli" ambalo anaweza kulifanya lisiwe la ukweli; mradi tu lisiathiri lengo la madaraka hadi 2030; na pengine zaidi ya hapo.

Kwa hiyo, kwa upande wa Maaskofu, hiyo kazi ni kama ameimaliza, Huko hakuna tishio tena.

Jambo pekee lililobaki sasa kuwa tishio ya kutotimiza leng lake, ni CHADEMA. Kama watakataa na kuendelea kutotambua ushindi wake, na kushawishi waTanzania wakatae kutawaliwa kwa mabavu.

Hili pekee ndilo linnalomnyima usingizi; hasa akijuwa uovu mkubwa aliowafanyia waTanzania.
TEC KUPITIA PADRI KITIMA WAPASUA JIPU. HATUKUITWA NA SAMIA. BALI TULIENDA KUMWAMBIA TENA YALE YALE TULIYOMWAMBIA NOVEMBER 2025

View: https://www.facebook.com/share/v/1CiQYZZ3xe/
 
Your GIFTED FOOL..
Akili za nyumbu bwana. Kwani hao wangese waitwao chadema Wana nini' Cha maana Hadi watumike TEC kuwalazimisha kwenye maridhiano?!!! Wasiporidhiana wao wataisumbia katika lipi Tanzania yetu kwa mfano?!!!! Mbona mpaka Sasa Tanzania inaenda swaaafi kabisa Huku wao wakitamani Shari na vurugu lakini watanzania tumewakataa.
 
Lisu ndo asprin ya Homa ya hii nchi, tuwekeni nguvu kwake! Achaneni na Hawa waasherati na wazinzi waliokataa kuoa!
Umeonaa..eeh!Mimi mashaka yalikuwa makubwa kwa jinsi walivyokuwa wanalalamikia Mauaji na Ukatili wa OKTOBA,29 kwamba yalifanyika mpaka katika baadhi ya Hospital,Zahanati na Vituo vya Afya vinavyomilikiwa na Kanisa Katoliki...kwa Maneno tu bila hata ku release hata -Footage-tu.Walitaja mpaka Masista wao( Manesi kuwa wanawapigia Maaskofu simu juu ya hali hiyo bila hata kurekodi video!?).Yaani Taasisi inayoaminika na kusifika hasa Kielimu hawana/hawaja funga hata CCTV -Camera kwenye maeneo yao nyeti..Kamera zipo mpaka za Elfu 80???Hata waliotaka kumteka Kitima walipaswa kujulikana kwa Sura siku hiyo hiyo ..ina Maana hata sijui Msimbazi Senta au Kurasini hakuna CCTV Surveillance System!!??Wanazidiwa ujasiri na raia wa kawaida walioamua ku risk Maisha yao kwa kurekodi matukio kwa simu zao na kumtumia yule Mkenya wa CNN???!!!

Sasa kama wao wanakuwa waoga na wao wana nafasi ya kutambuliwa kama -Wafia Dini- kama wale wa Uganda...hata kama CCM watawaua au Kitima mwenyewe atauawa kwa kuipigania Haki/Dini?!! Si ni sawa au.?
 
Akili za nyumbu bwana. Kwani hao wangese waitwao chadema Wana nini' Cha maana Hadi watumike TEC kuwalazimisha kwenye maridhiano?!!! Wasiporidhiana wao wataisumbia katika lipi Tanzania yetu kwa mfano?!!!! Mbona mpaka Sasa Tanzania inaenda swaaafi kabisa Huku wao wakitamani Shari na vurugu lakini watanzania tumewakataa.
Akil zako zimejaa mav
 
Kwanza wamekwishampa uhalali wa kumtambua kuwa yeye ni "Mheshimiwa Rais" halali licha ya waTanzania kutomchagua kwa kura halali.

Mwezi August, 2025 waliomba wakutane naye kujadili maswala muhimu kuhusu uchaguzi wa Oktoba, kakataa kukutana nao kwa kujua nia yao ilikuwa ni kushawishi akubali pawepo marekebisho muhimu kabla ya uchaguzi ili uweze kuonekana kuwa huru na wa haki.

Alikataa ushauri huo, kwa sababu tayari alikuwa amekwishafikia uamzi kwamba ni lazima abaki madarakani kwa njia yoyote hata kwa mabavu.
Uamzi wa kukataa kukutana na maaskofu hauna tofauti na yale aliyokwishawafanyia katika swala la kukabidhi bandari kwa DPWorld; wakati alipofanya kila kitu kuwa-ignore' na kuwatangazia kwamba yeye ni "chura kiziwi".

Mara hii kakubali kukutana nao walipoomba wao, yeye hakuwa na shida ya kukutana nao.

Sasa wanapomwambia pawepo na "ukweli" na mambo mengine wanayotaka wakubalie; haya hayana uzito wowote kwake; kwa sababu lengo lake tayari analo mkononi; lengo la kuwa kwenye madaraka hadi 2030.

Wakati huu, anaweza kuwakubalia lolote walitakalo, hata hilo la "ukweli" ambalo anaweza kulifanya lisiwe la ukweli; mradi tu lisiathiri lengo la madaraka hadi 2030; na pengine zaidi ya hapo.

Kwa hiyo, kwa upande wa Maaskofu, hiyo kazi ni kama ameimaliza, Huko hakuna tishio tena.

Jambo pekee lililobaki sasa kuwa tishio ya kutotimiza leng lake, ni CHADEMA. Kama watakataa na kuendelea kutotambua ushindi wake, na kushawishi waTanzania wakatae kutawaliwa kwa mabavu.

Hili pekee ndilo linnalomnyima usingizi; hasa akijuwa uovu mkubwa aliowafanyia waTanzania.
Mkuu unafikiri wenyewe hawajui kuwa pale hakuna kitakachofanyika ?, kamsikilize vizuri kitima, kumbuka wale ni viongozi wa dini, hawawezi daima kwenda jiwe kwa jiwe, chuma kwa chuma, lazima waendelee kushauri, wafundishe, waonye na watahadharishe.

kuna mawili
mosi: hiyo ni kama tahadhari na kuepusha lawana for their next move kama wakiendelea kupuuzwa (ninahisi kuna maamuzi mazito sana mbele ya safari maana jamaa wanamtaji wa waumini wengi sana), yaani ni kama kusema ila tulionya na kushauri mapema hata baada ya kujipa uraisi ………….

Pili: inawezakuwa aliwahitaji ila akawa anaona aibu au kushindwa namna ya kuwaendea na kuwafikia. so maaskofu ndio wakaona wajishushe au kujiongeza (kama nilivokuambia wale ni viongozi wa dini sio chama cha siasa) msikilize vizuri kitima hapo akifafanua kuhusu kuhusu viongozi kama spika walioenda kumuona kwake utaelewa hii point yangu ya pili
 
Back
Top Bottom