Trump: We're winning big with Iran

Trump: We're winning big with Iran

Mwl.RCT

Platinum Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
15,689
Reaction score
22,554
1786764265339.png

Trump: "Tunashinda sana dhidi ya Iran." Lakini ndani ya saa 24 — Marekani yapoteza 25% ya ndege zake za Reaper, meli ya Lincoln yarudi baada ya siku 266, Iran yasisitiza Hormuz ni yake. Ushindi si sawa na kumaliza vita.

Audio2_Hasara

..hebu weka jedwali la hasara kwa pande zote mbili. Weka idadi ya ndege, meli, vifaru, mizinga, askari, hiyo itasaidia kuupata ukweli.
Hasara - Audio

Wanatuongezea gharama ya mafuta tu wamalize maana hawa wahuni nao wanatembea na hilo gap la kuongeza tu bei ya mafuta hata huko yakishuka bei..
 
View attachment 3650544
Trump: "Tunashinda sana dhidi ya Iran." Lakini ndani ya saa 24 — Marekani yapoteza 25% ya ndege zake za Reaper, meli ya Lincoln yarudi baada ya siku 266, Iran yasisitiza Hormuz ni yake. Ushindi si sawa na kumaliza vita.

View attachment 3650546
Audio2_Hasara

View attachment 3650568
Kama kuna jambo ambalo mazafaka Trump analijutia kimoyomoyo ni uamuzi wake wa kuvianzisha hivi vita. He just can’t reverse the whole thing. Otherwise, he would do just that!
 
Kwa hali hii inabidi kuwashangaa wanaoshangilia hii vita. Inawezekana baadhi yao bado wanaishi kwa wazazi, au ndugu zao wa karibu.
Kwa sasa hivi kutoa gari SA haujui mafuta Botswana watakuuzia ngapi ukifika Zambia nao wana bei yao kwa hiyo ni balaa juu ya balaa unashangaa unavyokuja Tanzania eti mafuta yapo bei juu kuliko huku nchi za mbali..
 
Bongo wahuni wanatembelea gap! Kupanda kwa haya mafuta kumesababisha athari nyingi sana za kiuchumi. And no one cares!

Imagine saruji imepanda kati ya elfu 20-33 kwa mfuko! Tutajenga kweli?
 
Bongo wahuni wanatembelea gap! Kupanda kwa haya mafuta kumesababisha athari nyingi sana za kiuchumi. And no one cares!

Imagine saruji imepanda kati ya elfu 20-33 kwa mfuko! Tutajenga kweli?
Vita ya Iran ni faida kwa wauza mafuta Tanzania kwanza wamepewa kutopata hasara wakisafirisha bidhaa yao jamaa kavu sana ila Pepsi iuzwe bei sawa kote lakini sio diesel inabadilika kutokana na umbali alieleta hii mwizi sana..
 
Back
Top Bottom