Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Shirika la habari la South Africa walikuwa na mjadala kuhusu Mama Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake. Hoja ya wachambuzi haikuwa kwa nini Tony Blair Bali ilikuwa credibility ya Tony...
25 Reactions
251 Replies
19K Views
Shida iko wapi kujisalimisha na kukubali kuwa kibaraka wa Marekani kama nchi za Gulf za Saudi Arabia, Kuwait, Oman, UAE, Bahrain na Qatar pamoja na nyingine kama za Japan, Korea Kusini na Israel...
2 Reactions
4 Replies
79 Views
Wakuu, Kama unaishi Dar au Arusha alichokisema huyu dada ni kitu ambacho tunakutana nacho kila siku humu mababarani Nisiongee zaidi msikilizeni dada hapa Soma Pia: Wenye magari ya Serikali...
5 Reactions
14 Replies
372 Views
Kama habari ilivyo hapo juu, je mmejaribu kuwaza na kuwazua kuwa hali ya Samia na machawa wake ikoje baada ya waziri wake wa mchongo kuzomewa pale daresalama.
32 Reactions
97 Replies
2K Views
Daily News 6 Oct. Pg3 Toka alivyo ongopea dunia na majeshi yake na ya NATO kuua wananchi wasio na hatia zaidi ya milioni moja, huyo Tony Blair ni mfalme wa kuzimu. Sioni ujasiri wa kumkaribisha...
13 Reactions
71 Replies
8K Views
Wakili Peter Madeleka amesisitiza kuwa uanaharakati hauwezi kufananishwa au kutafsiriwa kama ugaidi chini ya sheria za Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari mnamo Julai 12, 2026, Madeleka...
2 Reactions
2 Replies
178 Views
  • Redirect
Mwenyekiti wa taasisi ya Mufindi Environmental Transformation (MET), Godfrey Mosha amesema taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao kuhusu kupotea na kutekwa kwa watu nchini, ni "uongo mtupu" wenye...
0 Reactions
– Replies
– Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba, alisema kuwa pendekezo la Tume lilikuwa kuunda muundo wa Muungano wenye uwiano zaidi kwa kuipa Tanganyika mamlaka...
1 Reactions
2 Replies
164 Views
  • Redirect
Viongozi wangu wapendwa wa CHADEMA. Natumaini mmemsikia huyo zena alivyotoa uchafu mdomoni kuhusu haki, uongo kuhusu mataifa makubwa eti yanatuonea wivu na vijana kushawishiwa. Katoa uchafu tu...
1 Reactions
– Replies
– Views
Kuna kila dalili na uwezekano mkubwa sana wa kutokea mivutano ya kikatiba na kupelekea timbwili baya sana litakalo vuruga na kuchochea mkutano wa Baraza kuu la chadema taifa kuvunjika bila muafaka...
2 Reactions
69 Replies
870 Views
  • Redirect
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa baadhi ya Mataifa makubwa duniani hayafurahishwi na kasi ya maendeleo ya Nchi zinazoendelea, huku wakiwalaghai Vijana...
1 Reactions
– Replies
– Views
Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026...
1 Reactions
11 Replies
294 Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026 Amesema... Sheria si...
1 Reactions
5 Replies
183 Views
  • Redirect
Rais Samia Suluhu Hassan amesema matumizi ya jina 'Mama Samia' katika kila sekta haileti picha nzuri badala yake yatumike pia majina ya watu wengine waliofanya vizuri nchini.
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Alicia Lissu, mke wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema hajapata nafasi ya kuzungumza wala kumwona mume wake kwa takribani mwaka mmoja tangu alipokamatwa mwezi Aprili 2025 na kufunguliwa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada Zaidi ya miezi kadhaa baada ya makundi ya wanaharakati wa haki za binadamu na mashirika ya kimataifa kuwasilisha maombi kwa Mahakama ya Kimataifa ya...
3 Reactions
6 Replies
179 Views
CCM inapaswa kuacha kutafuta visingizio kuhusu kuporomoka kwa mvuto wake kisiasa. Tatizo kubwa haliko kwa wapinzani, bali kwenye maamuzi ambayo chama chenyewe kimekuwa kikiyafanya. Baada ya kifo...
3 Reactions
5 Replies
185 Views
Kati ya chama kilichowaua watu ,kufanya utekaji na ulawiti wa watu na kuwapiga watu,kufanya ufisadi Nk na chama kingine kinachodai haki kipi ni chama gaidi? Nafikiri CCM mjirekebisheni kwa...
12 Reactions
55 Replies
551 Views
Natoa wito kwa Watanganyika wote na Wazinzabari kuichangia Chadema hii maana ipo kwa ajili ya ukombozi wa taifa letu. Kutoa ni moyo. Watu wachangie bila kuwa na hofu . Pesa na michango ipo salama...
15 Reactions
27 Replies
429 Views
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Gerva Bernard Lyenda amesema kuwa siyo sawa kuzungumzia uchaguzi ujao wakati ule uliopita haukufanyika kwa...
2 Reactions
3 Replies
146 Views
Back
Top Bottom