Prof. Henry Mollel, Rasi wa Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya, anasema kuwa “forum ya Mihadhara vyuoni inayoendeshwa na Kafulila kupitia PPPC ni muhimu sana kwani ni nafasi kubwa kwa vijana wetu...
Ni hotuba ambazo ni za kipekee sana, za kizalendo na kijasiri mno, ambazo kwa kiwango cha juu sana zinahamasisha uzalendo na kufanya waTanzania wote kua tayari kulilinda taifa kwa wivu mkubwa, kwa...
Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema:
“Tutasaidiwa kuiharibu nchi yetu...
Anachoongea Mwandambo kwa maandishi akimtuhumu Heche kwa Ufisadi, akisema kuwa Mnyika hawezi kumsafisha Heche kwani hasafishiki.
Anasema "Mnyika! Mnyika nakwambia, Heche ni mchafu. Yaani Heche...
Yaliyotokea katika uchaguzi wa TOC ni Salam LOUD AND CLEAR kuwa ndani ya CCM lile kundi kubwa la wezi, wabadhilifu, watekaji, waongo na kila ubaya hawakutaki kabisa na sisi watu wa kawaida tunajua...
Hamjambo!
Walianza na harakati za ufisadi miaka hiyo. Enzi hizo.
Kukemea mafisadi, kuyataja mafisadi. Waliopo na ambao hawapo.
Enzi hizo kina Slaa na wenzake. Walipaza sauti.
Kipindi hicho...
Nayaomba mashirika haya yafungue page zao rasmi humu JamiiForums ili iwe rahisi sisi wananchi tuliotelekezwa na vipeperushi vya CCM tuteme nyongo.
Naamini ujumbe huu utaenda viral kwenye...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Ndg. John Heche amezungumza na watanzania jioni ya Tarehe 11 July 2026 nyumbani kwake Tarime mjini ambapo amewashukuru kwa...
Nimeona chawa wawili hapa Lucas Mwashambwa na jamaa yake wamefungua nyuzi za kumtuhumu makamu mwenyekitinwa Chadema John Heche kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha
Soma pia John Heche hasafishiki...
Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania na ile ya Zanzibar zinamapungufu upande wa sifa za wagombea Urais na Ubunge hata Udiwani. Tatizo wao Chadema wanataka Katiba ya KUINGIA IKULU na CCM...
Walikukataa hata kabla hujawa Rais. Hawakutaka uapishwe kuwa Rais baada ya kifo cha Rais Magufuli, hawakutaka ugombee nafasi ya urais, hawakutata uchaguzi ufanyike. hata baada ya uchaguzi...
Tangu kuanzishwa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mwaka 1992, nafasi ya Katibu Mkuu imekuwa na mchango mkubwa katika kusimamia shughuli za kila siku za chama, kuratibu utekelezaji...
Katika siasa za kisasa, nguvu ya mwanasiasa haipimwi tu kwa nafasi aliyonayo, idadi ya mikutano anayofanya, au ukubwa wa chama anachowakilisha. Mara nyingi hupimwa kwa kiwango cha human capital...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu wana Akili Za Nyumbu Sijapata Kuona . CHADEMA wana Matatizo makubwa sana vichwani Mwao. Ni watu ambao hawajua wanapigania nini na wanataka nini. Ni watu wasio na...
Habari za Sabato!
Kuna ile unafikiri watu wanakuheshimu kwa kiwango cha juu. Kiasi kwamba hata ukitema shudu, pumba, ukitoa boko basi watu kwa heshima waliyonayo kwako watakustahi.
Ni kweli mtu...
Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amesema Katiba Mpya inayohitajika nchini inapaswa kulenga kutatua changamoto za wananchi, badala ya...
Kwa yaliyotokea 29 Oktoba 2025, ni laana kwa Nchi. Jina lake libaki kwenye Misikiti alojenga pekee.
Kwenye Utawala wake aliruhusu Watanzania kuuana wao kwa wao ili yeye asalie madarakani...
Kwanini hadi leo Serikali haijajenga chuo kikuu Mwanza ?
Mwanza ni jiji la pili nje ya Dar tangu 2000,
Mwanza ni hub ya mikoa ya kanda ya ziwa, eneo lenye idadi kubwa zaidi ya watu nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.