Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mmoja ya Viongozi toka Jumuiya ya Amani Nchini Sheikh Alhad Mussa Salum amewataka wale wanaojaribu kumchafua mmoja ya Wafanyabiashara wakubwa Tanzania Nilesh Suchak kuacha mara moja. Soma...
1 Reactions
27 Replies
504 Views
https://www.instagram.com/reel/DarhTH8s5Fj/?igsh=eWI5dmwzOGVnenRs
1 Reactions
11 Replies
189 Views
Tuimbe sote wimbo huu kwa nia njema kabisa.
0 Reactions
0 Replies
47 Views
Makonda ni mtoto pendwa maybe kuliko wote ukiondoa Wanu. Sasa Mtaka si akubali yaishe, atapona Ukuu wake wa mkoa? Pia soma: Ni kweli Makonda Ndo ameamua kuchagua rais wa kamati ya Olympic Tanzania?
12 Reactions
28 Replies
1K Views
Wana ccm hivi mnajua POLEPOLE mwana ccm mwenzenu Hana kaburi lake? Mwenzake magufuli yeye analo Sasa mkitaka kuhiji mtaenda wapi?
4 Reactions
19 Replies
307 Views
UTANGULIZI: Kutoka Kwenye Matumaini Makubwa Hadi Kwenye Ukweli Mchungu Ili kuuelewa vizuri uongozi wa Hayati Rais John Pombe Magufuli, ni lazima turudi nyuma kwenye miezi yake ya kwanza kabisa...
9 Reactions
47 Replies
928 Views
Binafsi huwa nikimsikiliza naishia kusikitika, sidhani kama ana akili timamu. Ni kweli kwenye kusaka tonge waweza kufanya lolote, Maana ccm inapenda sana kuwatumia Wajinga, Lakini sidhani kama...
10 Reactions
17 Replies
432 Views
Guys Guys Guys Kufa kwa Nyani miti yote huteleza huku ynapigwa nyundo za ecowas hujakaa vizuri unazomewa na watanzania ŵaliokuchagua kwa 98%. Lakini tukumbuke back then tukio kama hilihili...
10 Reactions
36 Replies
813 Views
Tanzania iko mbioni kupokea mkopo wa takriban shilingi trilioni 1.165 kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), baada ya Bodi ya Wakurugenzi ya shirika hilo kukamilisha tathmini ya mwisho ya...
4 Reactions
12 Replies
299 Views
Hayo yamesemwa na Bw. Godfrey Mosha, Mwenyekiti Mtendaji wa Mufindi Environmental Transformation-MUET.
0 Reactions
4 Replies
141 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KMICC) kati ya Kituo...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nakumbuka mwaka Jana baada ya uchaguzi wa CHADEMA, kundi la G55 lililohamia chaumma lilidai limehama kwa sababu ya CHADEMA kutokushiriki kwenye uchaguzi mkuu kupitia kauli mbiu ya no reform no...
20 Reactions
27 Replies
374 Views
Sikiliza shule ya haki with regard to our Judges. Huwezi kutenda haki kama uliteuliwa na Rais kuwa Jaji. Majaij duniani kote wanaomba kazi ya Ujaji kwa kupitia well regulated strict interview...
2 Reactions
0 Replies
101 Views
  • Closed
My Take Tutaelewana tuu, tena Bora CCM huko CHADEMA kumejaa watu ambao wanawaona kina Heche na Lisu ni miungu watu ambao Kila wanachoambiwa wao ni ndio Mzee Ni hivi zile zama za zidumi fikra...
8 Reactions
73 Replies
946 Views
Hiki kizazi cha milenials + genz lazima CCM itoke itake isitake. Milenials ndiyo kizazi kilichotaka sana mabadiliko sema vitoto vya Nyerere ndiyo vilikuwa kikwazo hivyo milenials wakajikuta wako...
66 Reactions
95 Replies
3K Views
Wakati wa CCM umepita. Chama hiki kwa sasa ni kama simba mzee aliyechoka, anayepigania siku zake za mwisho. CCM sasa haina rafiki wa dhati, wote waliopo ni wanafiki na wanasubiri kwa mbali kuona...
4 Reactions
5 Replies
117 Views
Katika utawala wa Jiwe vijana wake wengi walifanya unyama mwingi sana. Lissu anasema MAKONDA ni jambazi sana aliyetumia jina la Jiwe kuwatapeli wafanya biashara. Alimtapeli GSM kuwa Rais...
35 Reactions
153 Replies
15K Views
Haya jamani mpo?? Sasa ni hivi Bashite hajabadilika hata kidogo. Kumbukeni mwaka jana kulikuwa na story kubwa ya Bashite kung’ang’ania nyumba aliyompora GSM kipindi cha Magu? Kama mnakumbuka hata...
37 Reactions
172 Replies
16K Views
  • Featured
In the chaotic aftermath of Tanzania’s disputed presidential election last month, police and gun-wielding men on patrol shot at groups of protesters, many of whom appeared unarmed or were holding...
29 Reactions
126 Replies
8K Views
Back
Top Bottom