Wizara ya TAMISEMI ni Injini ya Taifa letu. Hii Wizara inamgusa kila mwananchi. Asilimia zaidi ya 60 ya Watumishi wa Umma wanasimamiwa na TAMISEMI.
Sasa Wizara hii ikiongea ujue kuna jambo na leo...
Serikali mkoani Pwani nchini Tanzania yatoa tahadhari kwa wakaazi na wakulima waliopo katika bonde la mto Rufiji
Mh. Abubakar Kunenge mkuu wa mkoa wa Pwani amesema taarifa hiyo muhimu ni kuweka...
TRA Tanzania hii hoja naiweka mezani kwenu.
Mnakusanya kodi kwa niaba yetu ili tuweze kuwekeza kwenye maendeleo ya nchi.
Lakini sasa, serikali inashindwa kuprovide umeme wa uhakika na kupelekea...
Wadau nawasalimu.
Kwa wale wenye kumbukumbu nzuri hayati Samweli Sitta alikuwa mwenyekiti wa bunge la katiba na Rais Samia alikuwa Makamu mwenyekiti wa bunge la Katiba.
Binafsi baada ya Rais...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora.
Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele...
Kwa mujibu wa Taarifa ya Fedha ya NSSF kufikia Juni 30, 2023!
1. Mikopo Miradi ya Serikali TZS 611bn
2. Mikopo kwa Wabunge TZS 1.2bn
3. Mikopo kwa Taasisi, Udhamini wa Serikali TZS 89bn
4. Mikopo...
"Tofauti na kipindi kilichopita, awamu hii ya Rais Samia tumeona watu wanaruhusiwa wanaandamana barabarani, mama ameruhusu na anawapa na ulinzi kwa sababu mama anajiamini, Mheshimiwa Rais Samia...
Labda tukiondoa Korea kaskazini, Tanzania inaweza ikawa nchi inayofuatia kwa kuwa na media ambazo kazi yao kubwa ni kumsifia rais. Ukiangalia magazeti karibu tote, radio na TV station yote ni...
Pamoja na kuwa na wabunge zaidi ya 300 Bungeni, lakini kutokana na CCM kuwa na uchakavu, bado kinamhitaji Humphrey Polepole kupokea Simu za wananchi, ili kiweze kuisimamia Serikali.
AIBU SANA!!
Wakuu Kwema?
Nimekutana na habari X huko inasema kutokana na Sera za PBS (Public Broadcasting Service) wanaofanya kipindi cha Royal Tour, Peter hakutakiwa kulipwa pesa yoyote kutoka serikali ya...
CCM sasa imetulia na Chama kimerejea kuwa kimoja baada ya ule mgawanyiko wa 2015
2025 Kazi imeshaisha sasa tunaangalia kuelekea 2030
Mungu wa mbinguni mbariki Dr Nchimbi
Rais ambaye ndiye mlinzi namba moja wa KATIBA ya nchi anasema ni KIJITABU.... na hakuna uwajibikaji wowote kwenye hilo (Ibara ya 26.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kufuata na kutii Katiba hii nasheria...
Hivi karibuni waziri Bashe, ametoa kauli ya ajabu, kauli inayoashiria kukosa weledi na busara kama kiongozi.
Nasema amekosa weledi, kwa sababu mawazo yake yameishia pale alipokuwa amesimama bila...
Naona vituo vya Radio eg Wasafi na magazeti kibao ziko dalili za kupokea mkwanja ili kumsifu hata asipo stahili Rais wetu?
Sasa anapokosea nani atakuwa na uwezo wa kukemea atakaye.
Hii ni aibu!
WanaJF,
Yaliyosemwa na retired CDF kuhusu matukio yaliyotokea muda mchache kabla ya Magufuli kufariki miaka 3 iliyopita tumeyasikia.
Baadhi ya matukio ni kikundi fulani kutaka katiba...
Majuzi nilibahatika kutembelea Kwala kule ilipotengenezwa bandari kavu na kukuta baadhi ya shughuli ndogo ndogo zikiendelea.
Sasa kwa sababu nimekuwa ni mtu wa kupenda kujua vitu na kufanya...
Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) chini ya Mwenyekiti wake Ndg. Mary Pius Chatanda unapenda kuwatakia Uchaguzi mwema Wagombea wote wa nafasi za Udiwani wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi kwa...
SERIKALI IMEJIPANGA KUFUNGUA MKOA WA LINDI KWA KUBORESHA MIUNDOMBINU: WAZIRI BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt...
ASANTE DKT.JPM ,PONGEZI DKT.SAMIA
Na.Amon Nguma.
Tarehe 17 Machi mwaka huu wa 2024 tumetimiza miaka mitatu tangu kufariki Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...