Mlioko Mbarali, tuleteeni picha ya mafuriko ya wapiga kura huko vituoni

Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
59,014
103,402
Ili tujiridhishe kama bado wananchi wana Imani na chaguzi za nchi hii, walioko mbarali watupie picha ya misururu ya wapiga kura kwenye vituo vya kupigia kura.

Hiyo pia itatupa picha ya hamasa ya wananchi kwa vyama vinavyoshiriki huo uchaguzi.
 
Back
Top Bottom