Mitungi 71,000 ya Gesi Kugawiwa Mikoa 26 Nchini

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,035
Mitungi ya gesi 71,000 yenye thamani ya Sh3 bilioni inatarajiwa kusambazwa na kugawiwa bure katika mikoa 26 ya Tanzania Bara, lengo likiwa ni kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia.

Mitungi hiyo itagawiwa baada ya Serikali kutoa ruzuku ya asilimia 100 kwa awamu ya kwanza na tayari kampuni nne, ikiwemo Oilcom, Lake Oil, Oryx na Taifa zimeshatangazwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwamba zitakuwa zinasambaza mitungi hiyo.

Akizungumza kwenye shughuli ya utiaji saini mkataba na kampuni tatu kati ya nne zitakazokuwa zinasambaza
mitungi hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa REA, Hassan Saidy alisema mpango huo unahusisha usambazaji mitungi ya gesi, vipikio pamoja na kichomeo kidogo (bana).

Alisema katika ugawaji wa mitungi hiyo kwa awamu ya kwanza wataanza na taasisi zinazohudumia kuanzia
watu 100, huku akieleza kuwa wanategemea mkakati huo utaongezeka kulingana na gharama halisi ya mradi huo.
"Gharama za mradi ni Sh3 bilioni ambazo zitawezesha usambazaji wa mitungi 71,000 na mtungi mmoia kulingana na bei tuliyoingia mkataba utakuwa kwa Sh 38,000 hadi Sh 45,000 kutegemea kampuni na mkoa. Mfano Dar es Salaam ni Sh38,000," alisema.

Alisema mikoani bei itapanda kutoka Sh41000 hadi 45,000, huku akieleza Serikali inatoa ruzuku hiyo ili iwe chachu kwa kuwa kuna sababu nyingi zinazochangia watu wasitumie nishati safi, ikiwemo uelewa na hali yao ya uchumi.
 
Hii nchi inamatukio khaa! Kama kwel wapo serious kuhamasisha matumiz ya nishat salama wapunguze bei ya gas iwe affordable kwa kila mtanzania wa hali ya chini huko kijijin!! Hii mamb ya kugawa mitungi cjui elf 71 while raia wapo mo than 30 thousands vijijin hakuna kitachofanikiwa!!
 
Kagera mitungi inagawiwa kwa kujificha ficha
 
Hii nchi inamatukio khaa! Kama kwel wapo serious kuhamasisha matumiz ya nishat salama wapunguze bei ya gas iwe affordable kwa kila mtanzania wa hali ya chini huko kijijin!! Hii mamb ya kugawa mitungi cjui elf 71 while raia wapo mo than 30 thousands vijijin hakuna kitachofanikiwa!!
"wanatuona manyani" sasa hiyo mitungi haita kwisha gesi?!! Yaani mtungi wa 38,000 nao ni kujitapa eti umemsaidia mwananchi? Wangesema wamewapa majiko ya umeme na watatumia umeme bure
 
Mnajulikana, Ghaddafi aliwapa raia wake kila kitu bure, mpaka aliwaoza kwa gharama za serikali, mwisho wa siku mkamgeuka.

Mpo wanga wengi tu duniani.
 
Kuna kitu kidogo tu kilimponza!!! Basi kama hicho ndio kigezo basi kuna baadhi ya nchi za ulaya zisingekuwa na chaguzi kabisa.
 
Back
Top Bottom