Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni jambo la kusikitisha sana kuona baadhi ya walimu wanaunga mkono kitendo cha Mwalimu Maganga kukataliwa ombi lake. Wanadhani wao watakuwa salama? Hata kama ana makosa, bado kuna kila sababu ya...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Ni wakati sahihi kwa viongozi wetu wa dini zote kukutana na kujadili juu ya kuitaka serikali isiwe mbabe kwenye suala zima la kutupatia wananchi katiba mpya. Inashangaza sana kuona serikali ya...
3 Reactions
9 Replies
825 Views
Akizungumza na wakazi wa baadhi ya vijiji mkoani Ruvuma, bi Jenista amesema mahindi Kwa sasa ni zao la biashara linalowapatia wananchi fedha nyingi. Maana mahindi Kwa sasa si zao la chakula...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Boss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake. Siku tatu zinamtosha kweli au ndo wanamkomoa baba wa watu? Na Biteko akija kujua dili za Luku atamla kichwa mazima. Kaambiwa nenda...
93 Reactions
264 Replies
27K Views
Mh Raisi mulika na maafisa balozi wamejisahau sana . hawa tunao ushahidi jinsi wanavyojibu watu, wenye kwenda kuomba msaada wa kihuduma kwenye ofisi za kibalozi huko nchi walizoko, nafikiri...
10 Reactions
60 Replies
5K Views
Alipata kusema hayati JPM.. Sasa inaonekana wazi kuongoza nchi kwa kuwapapasa papasa watu ni ngumu sana kufanikiwa! Kalemani alikaribia kumaliza tatizo la umeme! Kama ilivyo kawaida ya siasa...
2 Reactions
4 Replies
788 Views
Hakika inaogopesha na kusikitisha sana kuona jinsi fedha za umma ambazo ni kodi za masikini wananchi wanazolipa kwa kukamuliwa na fedha za mikopo tunazokopa toka nje zinavyoliwa na wajanja...
0 Reactions
6 Replies
658 Views
CCM ni chama kinachotumia mbinu duni mno kudanganya , nadhani hii inatokana na chama chenyewe kuwa kichakavu ni cha zamani na hakifahamu lolote kuhusu mbinu mpya. Huko Msomera, kule...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Misenyi: WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza watumishi sita wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi wafuatiliwe ili warejeshe fedha za umma na kisha wachukuliwe hatua za kinidhamu. “Uongozi wa Mkoa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Salaam ni jadi yetu watanzania! Mada ni kuwa hata MTU ajitoe vipi ufahamu lkn kila unaposimama au kuangaza macho kazi ya Rais Samia Suluhu kupitia CCM inaonekana bayana. Iko hivi Miundombinu ya...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Nawakumbusha tu walioingia tano bora kwenye Uchaguzi wa ndani ya CCM 2015 ni hawa wafuatao; Cammilius Membe January Makamba Asha Rose Migiro Amina Salum Ali John Pombe Magufuri Ukiangalia kwa...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Kwa wajuzi wa historia ya Tanzania wameishajua kuwa Tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) la kuhusu mkataba baina ya serikali ya Tanganyika AKA Tanzania na DP World ni kaa la moto...
95 Reactions
270 Replies
19K Views
Hawa jamaa sasa wamekomaa kisiasa. Maana juu ya sakata la Bandari na mkataba tata wamekomaa. Huko nyuma walitaka kuleta siasa za kisanii wakadhani hayati Magufuli anapenda janjajanja. Alipowatosa...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Kauli hii ya Kiongozi wa Chama cha Upinzani kusini mwa Africa imebeba ujumbe mzito sana Sidhani kama Chawa wa Tanzania watamuelewa Nawatakia Dominica Njema Kwa mara ya 6 na ya mwisho Kanisa...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Hongera sana Kwa kuliona hili.Badala ya Wakuu wa Shule kusimamia taaluma na nidhamu kazini wanahangaika na tiles. Badala ya Daktari Mfawidhi au DMO kusimamia utoaji wa Huduma Bora za Afya na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nikimnukuu mwandishi huyo wa habari anasema "Ukienda Loliondo utakaribishwa na Mabango makubwa yanayokuhamasisha ujiunga na mtandao wa simu za mkononi wa uarabuni,na pia utapishana na magari mengi...
9 Reactions
173 Replies
20K Views
CWT kama ilivyo kwa Vyama vingine vya wafanyakazi, imekuwa ikiingiliwa utendaji wake na Wanasiasa. Je,!Sheria zinasemaje kuhusu hili? Imekuwa kawaida kushinikiza makada hasa wa CCM ndio wawe...
2 Reactions
10 Replies
884 Views
Kwa ufupi Kabla ya kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa amekuwa mbunge wa jimbo la Monduli kwa zaidi ya miaka ishirini, huku akishika nyadhifa mbalimbali...
9 Reactions
42 Replies
7K Views
Mbunge wa Nyasa Mhe. Eng. Stella Manyanya ameeleza kuridhishwa kwake na Kasi ya ukuaji wa Utalii katika Wilaya ya Nyasa baada ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kuanza...
0 Reactions
1 Replies
771 Views
Wajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine? Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki...
16 Reactions
195 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…