Hayati Magufuli aliwakomaza vyema CHADEMA sasa wametambua umuhimu wa kupinga ufisadi ili kulinda rasilimali za umma

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Hawa jamaa sasa wamekomaa kisiasa. Maana juu ya sakata la Bandari na mkataba tata wamekomaa.

Huko nyuma walitaka kuleta siasa za kisanii wakadhani hayati Magufuli anapenda janjajanja. Alipowatosa wakaanza kuwa pingapinga.

Wananchi wakadharau na kuwaona wapigaji tu. Ila sasa baada ya kubanwa na hayati Magufuli wametambua umuhimu wa kupinga ufisadi na hii imewakomaza kisiasa.

Sakata la Bandari na mkataba tata limewarejeshea heshima, japokuwa kiduchu.
 
Nadhani wewe ni mtoto sana hujui hata The List 📃 of Shame. Laiti ungeijua usingethubutu kuuweka utoto wako wa kifikra mahali hapa
 
Nadhani wewe ni mtoto sana hujui hata The List of Shame. Laiti ungeijua usingethubutu kuuweka utoto wako wa kifikra mahali hapa
Ukiongelea list of shame nakama unamjua lowasa ndio utaelewa mleta mada anamaanisha nini.
 
Back
Top Bottom