Kila unaposimama Rais Samia Suluhu na CCM wanaonekana - hatumwachi

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
1,398
1,264
Salaam ni jadi yetu watanzania!

Mada ni kuwa hata MTU ajitoe vipi ufahamu lkn kila unaposimama au kuangaza macho kazi ya Rais Samia Suluhu kupitia CCM inaonekana bayana. Iko hivi

Miundombinu ya Reli, Barabara, Viwanja vya ndege vinaonekana - CDM hamvioni?

Ajira kwa vijana zimeongezeka sana walimu, watendaji, madaktari, Polisi, Jwtz, uhamiaji, magereza, wameajiriwa - CDM, ACT nk hamuwaoni?

Maridhiano ya kisiasa - Mbowe, Lissu, Mdude, Slaa, Mwabukusi wamefutiwa mashitaka - kweli CDM hamuoni?

Mikopo ya elimu ya juu kuongezeka na idadi ya wadahiliwa kuongezeka - Serikali imesikia kilio chenu watanzania. Sasa haya CDM hawayaoni?

Hitimisho:
Serikali inayoongozwa na Rais Samia inawajali watanzania na haibagui watu kwa dini, rangi, na kabila. Tuipende kwa umoja wetu.

Ngaika Ndenda
Kigoma.
 
# Miundombinu ya Reli, Barabara, Viwanja vya ndege vinaonekana - CDM hamvioni?

# Ajira kwa vijana zimeongezeka sana walimu, watendaji, madaktari, Polisi, Jwtz, uhamiaji, magereza, wameajiriwa - CDM, ACT nk hamuwaoni?

# Maridhiano ya kisiasa - Mbowe, Lissu, Mdude, Slaa, Mwabukusi wamefutiwa mashitaka - kweli CDM hamuoni?

# Mikopo ya elimu ya juu kuongezeka na idadi ya wadahiliwa kuongezeka - Serikali imesikia kilio chenu watanzania. Sasa haya CDM hawayaoni?

Hitimisho:-

Kigoma huko umesikia W/Mkuu alivyokuta mchwa wengi wanakula hela ya umma bila huruma, watu wa Kigoma mnasifia alafu mnaibia serikali hela
 
Chawa pro max umesahau kuweka namba za simu ili usiachwe mkeka ujao
Umeshanifahamu niteue! # Ninyi mna shahada ya kubishia kila jambo

# Mna udakitari wa kuombea Serikali ishindwe kila jambo!

# Bahati nzuri hata simu uitumiayo ni jitihada Serikali kujenga minara kibao au kuvutia uwekezaji.
 
Salaam ni jadi yetu watanzania!

Mada ni kuwa hata MTU ajitoe vipi ufahamu lkn kila unaposimama au kuangaza macho kazi ya Rais Samia Suluhu kupitia CCM inaonekana bayana. Iko hivi

# Miundombinu ya Reli, Barabara, Viwanja vya ndege vinaonekana - CDM hamvioni?

# Ajira kwa vijana zimeongezeka sana walimu, watendaji, madaktari, Polisi, Jwtz, uhamiaji, magereza, wameajiriwa - CDM, ACT nk hamuwaoni?

# Maridhiano ya kisiasa - Mbowe, Lissu, Mdude, Slaa, Mwabukusi wamefutiwa mashitaka - kweli CDM hamuoni?

# Mikopo ya elimu ya juu kuongezeka na idadi ya wadahiliwa kuongezeka - Serikali imesikia kilio chenu watanzania. Sasa haya CDM hawayaoni?

Hitimisho:-
Serikali inayoongozwa na Rais Samia inawajali watanzania na haibagui watu kwa dini, rangi, na kabila. Tuipende kwa umoja wetu.

Ngaika Ndenda
Kigoma.
 
Salaam ni jadi yetu watanzania!

Mada ni kuwa hata MTU ajitoe vipi ufahamu lkn kila unaposimama au kuangaza macho kazi ya Rais Samia Suluhu kupitia CCM inaonekana bayana. Iko hivi

Miundombinu ya Reli, Barabara, Viwanja vya ndege vinaonekana - CDM hamvioni?

Ajira kwa vijana zimeongezeka sana walimu, watendaji, madaktari, Polisi, Jwtz, uhamiaji, magereza, wameajiriwa - CDM, ACT nk hamuwaoni?

Maridhiano ya kisiasa - Mbowe, Lissu, Mdude, Slaa, Mwabukusi wamefutiwa mashitaka - kweli CDM hamuoni?

Mikopo ya elimu ya juu kuongezeka na idadi ya wadahiliwa kuongezeka - Serikali imesikia kilio chenu watanzania. Sasa haya CDM hawayaoni?

Hitimisho:
Serikali inayoongozwa na Rais Samia inawajali watanzania na haibagui watu kwa dini, rangi, na kabila. Tuipende kwa umoja wetu.

Ngaika Ndenda
Kigoma.
CCM think tank

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifa zitakuja kuwaua, nyie chawa acha nyakati ziongee ,mnatuchosha na sifa zenu nyembamba , lini mtakua na akili , jengeni chama kiwe imara , aya naneno yenu tunataka yasikia kwenye majukwaa huru ya kisisa ,shida hata no hujaweka, weka no bwana upo mkeka unaweza kuja mda wowote
 
Wew ni chawa mzee
 
.
Cupace20230923075117117.jpg
 
Sifa zitakuja kuwaua, nyie chawa acha nyakati ziongee ,mnatuchosha na sifa zenu nyembamba , lini mtakua na akili , jengeni chama kiwe imara , aya naneno yenu tunataka yasikia kwenye majukwaa huru ya kisisa ,shida hata no hujaweka, weka no bwana upo mkeka unaweza kuja mda wowote
Kwamba tuandike yanayowapendeza CDM, ACT, CUF, NCCR, CCK, Umoja parties nk?

Sisi tunaona kazi ya Samia na Serikali anayoingoza - Lissu hajalipwa mafao yake? (Nani kalipa)? Simu yako unatumia minara ya Dubai?
 
Back
Top Bottom