Siku kama ya leo miaka 10 iliyopita timu ya Serikali ikielekea mjini Maputo kwenye kesi ya mpaka wa ziwa Nyasa kati ya Tanzania na Malawi. Kutoka kushoto Hamza Johari (mwanasheria), Patrick Tsere...
Wanabodi,
Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Paskali kuwa ni "an enemy of the people!", Ibsen anasema, the strongest man on earth is...
Jana katika ibada ya kumuaga mpendwa wetu Bernard Kamilius Membe pale Karimjee, watu mbakimbali walipata fursa ya kutoa maneno ya rambirambi kwa familia na jamaa wa Marehemu Membe.
Kiongozi wa...
Leo nimeshuhudia watu wakitembea kuwashawishi watu wajiunge na chama chao cha siasa, Watu hao walikuwa wawili walinifuata na mimi wakanambia nijiunge kwenye chama chao ili niwe mwanachama nipate...
Lema ana ujasili wa hali ya juu sana kwenye siasa za kitanzania.
Asema kuwa kufanya siasa hapa Tanzania siyo hisani ya mtu bali ni kwa mujibu wa sheria.
Ally Hapi inabidi ajitafakali maana kama...
Watanzania huwa tunapenda majibu marahisi kwenye maswali magumu.
Huwa tunapenda kusingizia haya yafuatayo kwenye umasikini wetu, hasahasa anguko na mdororo wa uchumi wa miaka ya 80's hadi 90's...
Kichwa cha habari chajieleza na kimepigiwa mstari.
Katwale anawaza kuwa mkuu mbunge tu. Anachowaza ni kumg'oa Kalemani.
Alipoteuliwa ukuu wa wilaya Chato hakuwa na muda kutatua kero za wananchi...
Tetesi zisizo rasmi ni kuwa baadhi ya watawala wa Tanganyika walikuwa wakiwahofia watu wa ukanda huo! Sina uhakika kama hayo ni ya kweli au ni porojo tu.
Hata wengine wameenda mbali kwa kidiriki...
Tumemsoma Spika wa bunge_tz , Ndugu Ndugai kuhusu kikokotoo na mafao, tumewasoma na kuwasikiliza 'Waserikali' wakiwemo SSRATanzania wakitetea unyonyaji na uozo uliopo. Alhamis, Nov 29, CHADEMA...
Hivi Kuhamishia watu kutoka Bonde la Delta ya Rufiji Kunahitaji maombi?
Wakati mnajenga bwawa na kukusanya maji mengi kiasi hiki hamkujua kwamba Kuna siku litakuja kuleta maafa?
Wakati Wana...
Jinai haifi ndugu zangu, hata ikipita karne nzima. Makonda bado anafuatiliwa na jinamizi la kesi za utekaji na mauaji
Ndugu, jamaa, na marafiki wa waathirika pamoja na waathirika wenyewe wa...
Nimekuwa nafuatilia mjadala wa Bunge juu ya KIKOKOTOO kwa Wastaafu.Kwa namna Wabunge Wanaposimama na kukijadili inaonekana kama vile SHERIA ya KIKOKOTOO haikupita BUNGENI kwani Wabunge wanaonekana...
Leo naendelea na hizi makala elimishi kuhusu katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba, alidhamiria nini. Wiki iliyopita nilizungumzia ukuu wa katiba na jinsi wakuu wa mihimili, ya serikali, Bunge...
Matokeo ya kukosekana Kwa Katibu wa CCM mkoa HUO, majibu haya hapa.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi mkoa ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa mkoa, anatukana wanachama...
Asalam Aleykum ndugu zangu wa JF.
CCM ni chama imara na chenye "Intelijensia" bora kabisa duniani. Ndiyo maana pamoja na changamoto ambazo zimekuwa zinatokea ndani na nje ya chama, bado ni moja...
Friends and Our Enemies,
Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.
Watu wengi wakitaka...
Jana, statement toka Ikulu ilieleza kuwa Rais Samia amepokea mapendekezo ya kanuni mpya ya mafao ya Pensheni, kama ilivyoombwa na chama cha wafanyakazi Tanzania (TUCTA) siku ya sherehe za...
Naona Makonda amechukua mwelekeo ambao utarahisisha kazi yake, mwelekeo wa kwenda pamoja na wadudu (masela,) wa Arusha.
Masela (aka wadudu) wa Arusha ni wababe hakuna mfano. Ndiyo maana RC kaamua...
Anachofanya Waziri Mchengerwa kwa wananchi wa Jimbo lake la Rufiji walioathirika na mafuriko ni nadra sana kukiona kikifanyika kwa kiongozi wa ngazi ya juu ya Uwaziri.
Waziri Mchengerwa ambaye...
Kwahiyo ndugu zangu jambo hili ningependa tulielewe vema , Hakuna Mkuu wa Wakuu wa Mikoa zaidi ya Mamlaka ya uteuzi , na kwamba kazi zilizoainishwa kwa wakuu hao wa mikoa Nchi nzima ni zilezile...