Kuelekea maandamano X (Twitter) iko chini asubuhi hii

Msilete taharuki, hakuna kitakachotokea, mtaacha shughuli zenu za kuwaingizia kipato na kwenda kufanya hayo mazoezi ya kutembea na mtarudi majumbani mwenu mkiwa mmechoka.. siku itaisha bila kuingiza hata sumni mfukoni...
 
Siku uliyoshinda hospital kuhangahikia kusafishwa figo uliingiza sh. Ngapi?
Ukichaa huo mwisho utasema musilale maana hamtaingiza chochote.
Si lazima uingize pesa kila siku, pia tambua si kila mtu ni fukara kama wewe kwamba usipopanga viatu vya mtumba barabarani huli.
Watu tuna biashara zetu ambazo tumeajiri watu wafanye kazi.
 
Tusaidiane vpn maana tangu matangazo ya maandamano yatoke, kampuni za simu zimekuwa super low kwenye connection ya data.

Jana kuna vipindi hata JF hauipati na ujaiiona upo online with full bando
 
Mtandao ninaotumia unaifungua vizuri JF bila mkwamo wowote...
 
Tusaidiane vpn maana tangu matangazo ya maandamano yatoke, kampuni za simu zimekuwa super low kwenye connection ya data.

Jana kuna vipindi hata JF hauipati na ujaiiona upo online with full bando
Tanzania hakunaga Waandamanaji 🐼

Acheni visingizio
 
Msilete taharuki, hakuna kitakachotokea, mtaacha shughuli zenu za kuwaingizia kipato na kwenda kufanya hayo mazoezi ya kutembea na mtarudi majumbani mwenu mkiwa mmechoka.. siku itaisha bila kuingiza hata sumni mfukoni...
"Chadema walking and Jogging day " Jan 24, lives physical exercise!
 
Back
Top Bottom