Hekaya za malikia wa SHEBA na TZ tuitakayo

Mr RoundAbout

Member
Oct 6, 2023
70
85
Ndugu zangu watanzania, Taifa letu liko katika kipindi kigumu kuwahi kutokea Kulingana na aina ya uongozi uliopo wa Chama na serikali. Baada ya kushuhudia heka heka nyingi zikiwemo za mikataba ya DP world, kupanda Kwa garama za maisha, matumizi mabaya ya madaraka Kwa walio nayo, ukiukwaji wa sheria Kwa baadhi ya Viongozi na mengine mengi. Bado inaonekana hakuna kiongozi ambaye anawaza na anaweza kulifanya Taifa hili likawa la HAKI na UTULIVU ambao siyo unafiki unaoendelea Sasa. Badala yake wahusika wakuu wameendelea na tabia zile zile za UNYANI pasipo kujali shida na taabu za watanzania maskini ambao wanaunda asilimia 80 ya Taifa letu. Wako bize kufanya mipango na Hila Ili waendelee kukutana katika vikao vikubwa DODOMA, wakilipana posho za walipa Kodi ambao ni maskini pasipo kujali shida zao.
Imefika wahali mtu akisimama Kwa lengo la kukosoa vikundi vya ambavyo vinanufaika na maliasili ya Taifa hili, ataitwa kila aina ya majina Ili mradi tu, aonekane hafai, na baadaye kuondolewa katika nafasi aliyokuwa nayo. Lengo ni kuimarisha mfumo wa kulindani ambao waasisi wake ndiyo kikundi na tabaka la mabwanyenye wa Taifa hili maskini. Mbaya zaidi mamlaka ya juu ya Nchi Iko kimya nayo inatumika Kwa kalamu kuidhinisha upuuzi huu wa wachache kutawala wengi. Ewe QEEN of SHEBA, Je? Utatukuzwa mpaka mbinguni kama mfalume SULEIMANI? Jibu ni HAPANA, Bali utashushwa mpaka KUZIMU ambako alishushwa mfalume JUHA baada ya waliokuwa wanamzunguka kumtengea kiti cha kukaa juu ya shimo ambalo lilikuwa limeandaliwa pasipo yeye mwenyewe kujua kwasababu ya kuendekeza dhuluma, tamaa, majungu, ubaguzi, kujuana, kulindana na taka2 nyingi zinazofanana na hizo.
Zimefika nyakati ambapo hakuna JIWE, litakalo baki juu ya JIWE.......
PASAKA NJEMA!
 
Takataka..
 
Mapepo(demons) a.k.a Chawa wa Malkia wa SHEBA kina chiembe, Sumve 2015 walishatangulizwa kurusha vijimaneno..

Bado mkuu wa mapepo a.k.a Chawa mkuu jamii ya kupe wa Malkia wa SHEBA Lucas mwashambwa ataibuka muda si mrefu na kutema sumu yake isiyo na madhara kwetu...

Akiibuka isikutishe, songa mbele, kaza mwendo na kila mtu aendelee kutumia kila njia na silaha iliyo mbele yake kupigana na mapepo haya na mwisho wa siku shetani mkuu - Malkia wa Sheba aliyekalia kiti cha uongozi wa nchi yetu atapigwa na kitu kizito asikojua kilipotoka na ataanguka kwa kishindo kikuu hawataamini..

Asante kwa tafakuri njema. Na hakika mambo ndivyo yalivyo na mwisho wa shetani kuitawala Tanganyika yetu umeshafika..

Kufumba na kufumbua, watakuja kushangaa wamepoteza kila kitu..!!
 
Mapepo(demons) a.k.a Chawa wa Malkia wa SHEBA kina chiembe, Sumve 2015 walishatangulizwa kurusha vijimaneno..

Bado mkuu wa mapepo a.k.a Chawa mkuu jamii ya kupe wa Malkia wa SHEBA Lucas mwashambwa ataibuka muda si mrefu ataibuka na kutema sumu yake isiyo na madhara kwetu..

Asante kwa tafakuri njema. Na hakika mambo ndivyo yalivyo na mwisho wa shetani kuitawala Tanganyika yetu umeshafika..

Kufumba na kufumbua, watakuja kushangaa wamepoteza kila kitu..!!
Kumekucha, amka sasa,.maana kwa ndoto hizi, unaweza kuota uko maliwatoni unamwaga mzigo, kumbe uko kwenye usafiri wa umma,utazua tafrani
 
HAKI huinua jamii. HAKI huinua taifa..

MUNGU YEHOVA ni Mungu wa HAKI. Mahali popote Pasipokuwa na HAKI yupo SHETANI mwenyewe..

Tunaandika na kuzungumza mambo halisi, hatubahatishi. Hakuna cha ndoto za mchana wala nini..!

Kama mnajipa na kuwapa matumaini hewa hao bwana zenu wanaodhani wana nguvu na wanaweza kufanya lolote kunyanyasa na kutesa na kuinajisi HAKI, basi nakupa taarifa mbaya kwako, kuwa, mmeshachelewa, kwa sababu ktk ulimwengu wa roho, they're no longer powerful...!

Unataka uhakika? Wewe endelea kuwa mjinga maana huelewi kuwa imeandikwa, "...ajidhaniaye kuwa amesimama, basi ni vyema aangalie asije akaanguka..!"
 
Back
Top Bottom