Tanzania inachefua sana

The Whistleblower

Senior Member
Dec 9, 2022
137
224
Tanzania inaendelea kubakia nyuma wakati mataifa mengi ya kiafrika yakipiga mwendo kwenye Demokrasia ya kweli.

Tanzania hakuna Demokrasia ya kweli isipokuwa kuna kiini macho cha Demokrasia au mazingaombwe ya Demokrasia.

Ni Tanzania tu ambako Rais wa nchi ni lazima awe Dokta, yaani mtu anapokuwa Rais wa Tanzania anapewa cheo cha ziada cha Udokta, wakati Rais wa nchi ni mkubwa kwa hadhi Kuliko vyeo vyote, maana yake Baada ya Mungu kwa hadhi anayefuata ni Rais wa nchi.

Lakini kwa Tanzania ni lazima waanze na Dokta, yaani kumwita tu mh Rais wanaona haitoshi.

Senegal Tayari wamepata tena Rais kutoka upinzani huku sisi tukiendelea kuikumbatia CCM, Chama kilichojichokea kabisa na kimekosa Dira ya kuongoza nchi.

CCM ni chama cha watu aina mbili Tu, kundi la kwanza ni watu wanaofaidika na Chama,na kundi la pili ambalo ndo kubwa zaidi ni la mambumbumbu wa kutupwa,ambao akila na kushiba,hata ukimwambia kuwa hii hewa inaletwa na CCM yeye anakubali tu.

Ni Tanzania tu, ambako Rais anapewa kila aina ya sifa na wapambe ili kujikomba.

Ni bora wangefuta kabisa vyama vya upinzani ili wabakie na li CCM Lao Kuliko kuwafanya watu wote hawana akili kabisa.

Yaani inashangaza sana, Tanzania yenye kila kitu kizuri, kuanzia ardhi, Raslimali zote lakini watu wake ni maskini wa kutupwa halafu Chama cha CCM kilichofeli kuongoza nchi eti bado kinawaambia wananchi wakipe ridhaa Tena.

Aisee Tanzania unachefua sana wewe nchi
 
hamia Senegal sasa namakasiriko yako!,maana unafikiri mkichagua mpinzani sijui ndo mmepata sana! swala sio upinzani wala chama kikuu swala ni kupata viongozi wazuri,wazalendo na wenye vision na hali yakutatua matatizo yetu
 
Watahama mafisadi wa CCM,utatoa wapi viongozi Wazalendo katikati ya majizi yenyewe?
 
Tanzania kama nchi kiasili siyo nchi mbaya hata kidogo, tatizo lililopo hapa ni uwepo wa Utawala mbaya na usiofaa. Hilo ndio tatizo lililipo, tatizo hili pia lipo karibia ktk nchi zote za ki-Afrika au nchi zote zenye watu weusi wengi ambao ni watawala ktk nchi hizo.

"Tuliwakataa, tuliwatenga, na kuwaengua kabisa WATU WEUSI kwenye mchakato wa maendeleo ya nchi na ujenzi wake kwa sababu HAWANA AKILI NZURI. Endapo kama tungewajumuisha, basi WANGETUHARIBIA mambo yetu mazuri yaliyopo Afrika ya Kusini leo hii."

Pieter W. Botha, Rais wa zamani wa Afrika ya Kusini enzi za Ubaguzi wa rangi.

[Emphasis is added]
 
Democracy..Democracy work hard ..it won't guarantee you food on the table
The greatest countries in the world have Democracy , China has Democracy within a single ruling Party, But Tanzania doesn't have within CCM, that's why the late Lowassa was chosen in his CCM Party but Kikwete wrote off his name for his personal interest.
And moreover,put in mind that you can't bring developments in your ownself without having good governance.
 
Tanzania inaendelea kubakia nyuma wakati mataifa mengi ya kiafrika yakipiga mwendo kwenye Demokrasia ya kweli.

Tanzania hakuna Demokrasia ya kweli isipokuwa kuna kiini macho cha Demokrasia au mazingaombwe ya Demokrasia.

Ni Tanzania tu ambako Rais wa nchi ni lazima awe Dokta, yaani mtu anapokuwa Rais wa Tanzania anapewa cheo cha ziada cha Udokta, wakati Rais wa nchi ni mkubwa kwa hadhi Kuliko vyeo vyote, maana yake Baada ya Mungu kwa hadhi anayefuata ni Rais wa nchi.

Lakini kwa Tanzania ni lazima waanze na Dokta, yaani kumwita tu mh Rais wanaona haitoshi.

Senegal Tayari wamepata tena Rais kutoka upinzani huku sisi tukiendelea kuikumbatia CCM, Chama kilichojichokea kabisa na kimekosa Dira ya kuongoza nchi.

CCM ni chama cha watu aina mbili Tu, kundi la kwanza ni watu wanaofaidika na Chama,na kundi la pili ambalo ndo kubwa zaidi ni la mambumbumbu wa kutupwa,ambao akila na kushiba,hata ukimwambia kuwa hii hewa inaletwa na CCM yeye anakubali tu.

Ni Tanzania tu, ambako Rais anapewa kila aina ya sifa na wapambe ili kujikomba.

Ni bora wangefuta kabisa vyama vya upinzani ili wabakie na li CCM Lao Kuliko kuwafanya watu wote hawana akili kabisa.

Yaani inashangaza sana, Tanzania yenye kila kitu kizuri, kuanzia ardhi, Raslimali zote lakini watu wake ni maskini wa kutupwa halafu Chama cha CCM kilichofeli kuongoza nchi eti bado kinawaambia wananchi wakipe ridhaa Tena.

Aisee Tanzania unachefua sana wewe nchi
Kabisa CCM ni kikwazo kikubwa cha maendeleo yetu tuikatae.
 
TANZANIA Haiwezi kuwa Nchi ya KIDEMOKRASI ya kweli kwani KATIBA inayotumika haipo KIDEMOKRASIA na VIONGOZI waliopo Wanaogopa KATIBA Mpya
 
Baada ya Mungu anafuata rais??? Nimesoma hadi hapo tuu nkaona huwezi kuwa na point wewe...
nawe unashida mahali Tena kubwa khaaa!!!
 
Saivi hata ukichagua upinzani wezi wanahamia huko huko wanaenda kusifia tunahitaji sheria za kuwawajibisha au kuwabana viongozi

CCM ni janga CDM ni janga zaidi
 
TANZANIA Haiwezi kuwa Nchi ya KIDEMOKRASI ya kweli kwani KATIBA inayotumika haipo KIDEMOKRASIA na VIONGOZI waliopo Wanaogopa KATIBA Mpya
Kwa kuwa katiba mpya inawapa maanufaa ya viongozi wa chama tawala haitakuwa rahisi kwa wao kuibadilosha katiba hii
 
Saivi hata ukichagua upinzani wezi wanahamia huko huko wanaenda kusifia tunahitaji sheria za kuwawajibisha au kuwabana viongozi

CCM ni janga CDM ni janga zaidi
CCM tunaijua sana ni Wezi sasa kuhusu CHADEMA unao ushahidi?
 
Tanzania inaendelea kubakia nyuma wakati mataifa mengi ya kiafrika yakipiga mwendo kwenye Demokrasia ya kweli.

Tanzania hakuna Demokrasia ya kweli isipokuwa kuna kiini macho cha Demokrasia au mazingaombwe ya Demokrasia.

Ni Tanzania tu ambako Rais wa nchi ni lazima awe Dokta, yaani mtu anapokuwa Rais wa Tanzania anapewa cheo cha ziada cha Udokta, wakati Rais wa nchi ni mkubwa kwa hadhi Kuliko vyeo vyote, maana yake Baada ya Mungu kwa hadhi anayefuata ni Rais wa nchi.

Lakini kwa Tanzania ni lazima waanze na Dokta, yaani kumwita tu mh Rais wanaona haitoshi.

Senegal Tayari wamepata tena Rais kutoka upinzani huku sisi tukiendelea kuikumbatia CCM, Chama kilichojichokea kabisa na kimekosa Dira ya kuongoza nchi.

CCM ni chama cha watu aina mbili Tu, kundi la kwanza ni watu wanaofaidika na Chama,na kundi la pili ambalo ndo kubwa zaidi ni la mambumbumbu wa kutupwa,ambao akila na kushiba,hata ukimwambia kuwa hii hewa inaletwa na CCM yeye anakubali tu.

Ni Tanzania tu, ambako Rais anapewa kila aina ya sifa na wapambe ili kujikomba.

Ni bora wangefuta kabisa vyama vya upinzani ili wabakie na li CCM Lao Kuliko kuwafanya watu wote hawana akili kabisa.

Yaani inashangaza sana, Tanzania yenye kila kitu kizuri, kuanzia ardhi, Raslimali zote lakini watu wake ni maskini wa kutupwa halafu Chama cha CCM kilichofeli kuongoza nchi eti bado kinawaambia wananchi wakipe ridhaa Tena.

Aisee Tanzania unachefua sana wewe nchi
Kwa kuwa wa-Tanzania tumezembea kwa kiasi kikubwa sana ktk kuiondoa CCM mapema kutoka madarakani, basi kwa sasa inahitajika KAFARA KUBWA SANA ili kufanikisha Jambo hilo. Tusidanganyane hapa, inahitajika Kafara kubwa nchi hii ili kuondokana na janga hili kubwa lililopo.
 
hamia Senegal sasa namakasiriko yako!,maana unafikiri mkichagua mpinzani sijui ndo mmepata sana! swala sio upinzani wala chama kikuu swala ni kupata viongozi wazuri,wazalendo na wenye vision na hali yakutatua matatizo yetu
Viongozi wa ccm walio wengi kazi yao ni kubeba wasudani na WA Ethiopia kwenye ma V8 na kupeperusha bendera ya chama cha mapinduzi huwezi kupata viongozi huko zaidi ya majambazi yanayovaa suti
 
Tanzania inaendelea kubakia nyuma wakati mataifa mengi ya kiafrika yakipiga mwendo kwenye Demokrasia ya kweli.

Tanzania hakuna Demokrasia ya kweli isipokuwa kuna kiini macho cha Demokrasia au mazingaombwe ya Demokrasia.

Ni Tanzania tu ambako Rais wa nchi ni lazima awe Dokta, yaani mtu anapokuwa Rais wa Tanzania anapewa cheo cha ziada cha Udokta, wakati Rais wa nchi ni mkubwa kwa hadhi Kuliko vyeo vyote, maana yake Baada ya Mungu kwa hadhi anayefuata ni Rais wa nchi.

Lakini kwa Tanzania ni lazima waanze na Dokta, yaani kumwita tu mh Rais wanaona haitoshi.

Senegal Tayari wamepata tena Rais kutoka upinzani huku sisi tukiendelea kuikumbatia CCM, Chama kilichojichokea kabisa na kimekosa Dira ya kuongoza nchi.

CCM ni chama cha watu aina mbili Tu, kundi la kwanza ni watu wanaofaidika na Chama,na kundi la pili ambalo ndo kubwa zaidi ni la mambumbumbu wa kutupwa,ambao akila na kushiba,hata ukimwambia kuwa hii hewa inaletwa na CCM yeye anakubali tu.

Ni Tanzania tu, ambako Rais anapewa kila aina ya sifa na wapambe ili kujikomba.

Ni bora wangefuta kabisa vyama vya upinzani ili wabakie na li CCM Lao Kuliko kuwafanya watu wote hawana akili kabisa.

Yaani inashangaza sana, Tanzania yenye kila kitu kizuri, kuanzia ardhi, Raslimali zote lakini watu wake ni maskini wa kutupwa halafu Chama cha CCM kilichofeli kuongoza nchi eti bado kinawaambia wananchi wakipe ridhaa Tena.

Aisee Tanzania unachefua sana wewe nchi
Democrasia inatusaidia nn wakat nchi inaliwa na hao wanaokutia kichwa cha democracia
 
Back
Top Bottom